Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

ndugu zangu wa kike walijifunza miaka hiyo Playstation 1 kupitia sisi wa kiume. na wakawa makonki mpaka hivi leo
 
Hapa naunga mkono hoja kwa kuwa nimeyaona kwangu.

Madem zangu wote walikua si wapenzi wa mpira hata kidogo

Wakutana na mlevi wa boli hapa ghafla ni wapenzi wa timu yangu na mpaka leo huwambii kitu kuhusu mnyama japo wengine ni maEX.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi ni shabiki mkubwa wa soka na timu zangu ni Yanga na Arsenal.

Yanga nilianza kuishabikia nikiwa na miaka 9, Arsenal na miaka 13. Hivyo hoja yako sio kwa wanawake wote.
Dah mkuu hapa tumefanana kwa kila kitu.
Arsenal na yanga klabu zangu pendwa mnoo
 
Je ukimuona mwanaume anapenda Sana UMBEYA kafundishwa na nani?
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha kuwa na video games nyumbani ni ishara ya utajiri?

Wasichana hawako interested sana na video games tena hasa ziwe za mpira hata kama nyumbani ipo ni boys tu wanakuwa busy nazo

Kuna mawili afuundishwe na boy nyumbani au mpenzi wake. Lazima mwanaume ahusike
kila la kheri mkuu
 
Xi Jinping, Simba niliipenda kisaa ilikuwa inafunga yanga,tofauti na hapo ni timu ya familia, wanaipenda na asilimia kubwa timu ambazo watu wanazipenda sana sana wadada ni wanaume walio kwenye timu. Sio eti unashadadia hivyoo huu ni uongo kabisa
 
Back
Top Bottom