Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
- Thread starter
-
- #81
πWadangaji wakijazana ujingaKweli kabisa, hakuna kuvumilia ujinga.
Anawafanya wenzie kanyaboyaUnawadanganya wenzio wakati wewe mambo safiπ
Mkuu umefukua kaburi kiustadi mnoπYeah ni kweli boss wake hana kosa, maana ukizingatia alishamwambia kua ana mchumba anatarajia kuoa lakini hakusikia..
Nimejaribu tu kumliwaza kwa namna tofautiπ
πwewe
Kuna Jamaa alikutia mimba akaikataa nini? Sasa hayo ni matatizo yenu labda aliona hujatulia na hata wewe pengine huna uhakika kama huyo jamaa mtoto ni wake kweli pengine ulitaka umpe mtoto asie wake kwasababu ana uhafadhali kiuchumi tofauti na wale wengine ulio wafolenisha.So idadi ya watoto wote waliokataliwa duniani nzima wote sio wa kweli eh?
Ngoja yamkute binti yako mtarajiwa Ndio tutaelewana vizuri
Imekaa Kishangingi sana ipo kimatumizi na siyo kutengeneza nayo familiaHebu angalia mwenyeweView attachment 2921926
Pia ni ujambazi mwanaume kumkimbia mwanamke aliyemvumilia wakati wa dhiki na alipopata tu akaona mwanamke aliyemvumilia si wa hadhi yake,shame on youMwanamke kama alikuwa kahaba au jamvi la wageni lazma mwanaume atamkataa mtoto maana lazma anaweza kuwa siyo wake, kumkimbia mwanaume akifilisika ni UJAMBAZI na USALITI, matokeo yake ni mauwaji ya kinachoitwa wivu wa mapenzi.
Ona unavoonesha hujiamini kwa kutumia profile picture za watu wengineHebu angalia mwenyeweView attachment 2921926
Kama ww picha unavoiba picha za watu na kuziweka na kutamani kuwa wao πππππImekaa Kishangingi sana ipo kimatumizi na siyo kutengeneza nayo familia
Njoo nikuoe nikusadie kutunza mtoto ili usiwe na jazbaKama ww kichwa chako kilivo kibovi
Ww unanijua mm mpaka uanze kunifananisha na watu wa humu mmxxiiieeuww
Weeeeh sema haki ya mungu!πWadangaji wakijazana ujinga
over my dead bodyNjoo nikuoe nikusadie kutunza mtoto ili usiwe na jazba
Nimekutumia mesej ijibu bas pmover my dead body
Kama nyie jinsia k mmeliona hili sisi ni nan tupingeLawama zote ziende kwa yule boss wako aisee,, maana mental illness aliyokuacha nayo sio ya nchi hii
Mbona mm sijakuelewa mkuu?Yes ni sahihi kabisa mkuundugu mtoa mda. Kama alikataa bila sababu ni sawa ila kuna ka upande ka pili usiombe kakukute. Hawa wadada kuna muda huwa wana vituko vya kiwanfo cha SGR. Mkuu umewahi kuambia hii mimba sio yako, au ukaulizwa una uhakika gani huyu mtoto ni wako? Halafu ukionesha reaction anakuambia nilikua nakutania tu au zilikua hasira tu. Mkuu hii isikie isikukute.
Mkusikia mwanaume kakataa mtoto muwe manafuatilia kwanza ndio mtoe hukumu, shida ni kwamba wabinti wanaaminika kirahisi sana na akijiliza ndio kabisaa, hata useme nini itachukua muda sana mwanaume kueleweka na vile huwa hatuongei ndio shida.
Nina mikasa miwili ya rafiki zangu wawili tofauti.
1. Wa kwanza alizaa na binti aliyemtolea mahari ila hawakufunga ndoa. Baada ya mtoto kukua binti alianza sarakasi za kufa mtu hio ilikua 2018, 19. Kufikia 2021 ilibidi waachane. Mwaka huu jamaa ndio kaja kufunguka vituko vya yule binti. Anasema amewa kuulizwa ana uhakika gani kama ile mimba ni yake? Ila jamaa alikua mvumilivu alifunika kombe na sasa kapata binti mwingine na mtoto yupo nae na bunti amekua muuza baa.