Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Ww mtoto wa LUCIFER inaelekea ndo zako hizo kutelekeza watoto Ndio maana imekuuma kukimbiwa ukikosa hela 😂😂😂
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Hebu angalia mwenyewe
JamiiForums-443301505.jpg
 
Yeah ni kweli boss wake hana kosa, maana ukizingatia alishamwambia kua ana mchumba anatarajia kuoa lakini hakusikia..
Nimejaribu tu kumliwaza kwa namna tofauti😃
Mkuu umefukua kaburi kiustadi mno😂
 
Kichwan hauko sawa kuna mtu kakwambia umefanana na unique flower ila unique flower ana hafadhali
 
So idadi ya watoto wote waliokataliwa duniani nzima wote sio wa kweli eh?
Ngoja yamkute binti yako mtarajiwa Ndio tutaelewana vizuri
Kuna Jamaa alikutia mimba akaikataa nini? Sasa hayo ni matatizo yenu labda aliona hujatulia na hata wewe pengine huna uhakika kama huyo jamaa mtoto ni wake kweli pengine ulitaka umpe mtoto asie wake kwasababu ana uhafadhali kiuchumi tofauti na wale wengine ulio wafolenisha.

Hasira zako usimalizie kwa wanaume wote acha kuwapa ushauri mbaya mabinti waliotulia maana tutawaoa na tutalea nao watoto pamoja katika shida na raha.
 
Mwanamke kama alikuwa kahaba au jamvi la wageni lazma mwanaume atamkataa mtoto maana lazma anaweza kuwa siyo wake, kumkimbia mwanaume akifilisika ni UJAMBAZI na USALITI, matokeo yake ni mauwaji ya kinachoitwa wivu wa mapenzi.
Pia ni ujambazi mwanaume kumkimbia mwanamke aliyemvumilia wakati wa dhiki na alipopata tu akaona mwanamke aliyemvumilia si wa hadhi yake,shame on you
 
Yes ni sahihi kabisa mkuundugu mtoa mda. Kama alikataa bila sababu ni sawa ila kuna ka upande ka pili usiombe kakukute. Hawa wadada kuna muda huwa wana vituko vya kiwanfo cha SGR. Mkuu umewahi kuambia hii mimba sio yako, au ukaulizwa una uhakika gani huyu mtoto ni wako? Halafu ukionesha reaction anakuambia nilikua nakutania tu au zilikua hasira tu. Mkuu hii isikie isikukute.

Mkusikia mwanaume kakataa mtoto muwe manafuatilia kwanza ndio mtoe hukumu, shida ni kwamba wabinti wanaaminika kirahisi sana na akijiliza ndio kabisaa, hata useme nini itachukua muda sana mwanaume kueleweka na vile huwa hatuongei ndio shida.

Nina mikasa miwili ya rafiki zangu wawili tofauti.
1. Wa kwanza alizaa na binti aliyemtolea mahari ila hawakufunga ndoa. Baada ya mtoto kukua binti alianza sarakasi za kufa mtu hio ilikua 2018, 19. Kufikia 2021 ilibidi waachane. Mwaka huu jamaa ndio kaja kufunguka vituko vya yule binti. Anasema amewa kuulizwa ana uhakika gani kama ile mimba ni yake? Ila jamaa alikua mvumilivu alifunika kombe na sasa kapata binti mwingine na mtoto yupo nae na bunti amekua muuza baa.
Mbona mm sijakuelewa mkuu?
 
Back
Top Bottom