Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.

Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule Dodoma nikishuhudia katiba ikisiginwa bila woga wowote. Kitendo cha Rais Samia kumpendekeza Nchimbi kuwa mgombea mwenza wake, hivyo automatically kuwa makamu wa Rais ikiwa CCM ikishinda kiti cha urais, ni ubaguzi mkubwa sana kwa waziri mkuu, Kassim Majaliwa. Majaliwa amefanya kazi chini serikali ya Magufuli tangu Rais Samia akiwa makamu wa Rais na baadaye kuwa rais. Ina maana kwa muda wote huo bado hajaona kama Majaliwa anafaa kwa lolote hadi anaenda kumuokota mtu aliyekiasi chama na kujiunga na team Lowassa ndiye awe makamu wa rais? Hili jambo mimi kama kada mwaminifu wa CCM linanisikitisha na kunikatisha tamaa kupindukia. Rais kama hamtaki majaliwa na anaona hafai kuwa kiongozi si amshauri ajiudhuru kama alivyofanya Philip Mpango?

Nina wasiwasi hata Mpango hukutakiwa kwenye uongozi wa sasa ndio maana alishauriwa ajitoe kwenye nafasi yake kwa kuandika barua halafu watu wanakuja kutuletea drama kwamba eti alikataa mwenyewe. Ashindwe kukataa kipindi cha Magufuli aliponyweshwa sumu aje kujiuzuru kipindi hiki ambacho tayari afya yake imeishaimarika? Tatizo mnatuona watanzania wote ni mazombie!

Hata kama hupendi kufanya kazi na mtu sio kumbagaza kiasi hiki mbele ya jamii na kusigina career yake ya kisiasa aliyoijenga kwa muda mrefu. Haipendezi hata kidogo.

Sote tumeshuhudia marais wakisuka safu zao za uongozi ndani ya chama chetu tangu kipindi cha mwalimu Nyerere lakini hatukuwahi kuona ubaguzi wa kiwango hiki. Na kibaya zaidi ubaguzi huu hauanzii kwenye uongozi wa juu tu bali hadi huku chini ni ubaguzi tupu. Ni katika utawala huu ndipo tumeshuhudia wazanzibar wakiteuliwa kushika nyadhifa za watanganyika wakati watanganyika hawawezi kupata nafasi kama hizo ktk nchi ya Zanzibar. Hivi inakuwaje raia kutoka Pemba anateuliwa kuwa RAS wa mkoa hapa Tanganyika? Hata Magufuli alikuwa dikteta lakini hatujawahi kushuhudia akifanya ubaguzi kama huu. Kwanza yule mpemba aliyepo kule baraza la mitihani aliingiaje pale? Haya mambo yanatia hasira sana. Yaani watanganyika wanakosa nafasi za ajira halafu wapemba wanakuja kujazwa kwenye nafasi za ajira za watanganyika? Ni nini hiki jamani?

Ujenzi wa Kizimkazi umetumia matrilioni ya fedha za watanganyika. Kana kwamba hii haitoshi, bado wapemba wanakuja kuchukua nafasi za watanganyika. Kwani Tanganyika imegeuzwa kuwa koloni la Zanzibar? Viongozi mnaofanya teuzi mnatuletea mambo ambayo yanaweza kuja kupelekea mauaji ya kimbari siku za usoni ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa kuacha kasumba hii mara moja. Time will tell.
Pengine umri ni tatizo, Kassim ana 64 akaona aende na Nchimbi ambaye kiumri ni mdogo
 
Mkuu kuwa serious basi. Wewe unaona Sa100 kukata jina la Majaliwa na kuleta jina la Nchimbi ambaye ni muasi wa chama ni haki na sawa?
Yeye Samia ndiyo kampendekeza Dr.Nchimbi siyo kama kaletewa majina likiwemo la Majaliwa usema eti kalikata jina la Majaliwa,acha uongo.
 
Siasa za Tanzania zinahitaji kubalance dini angalau kuwaridhisha makundi yote. Hivyo asingeweza kuteua mgombea mwenza muislam, itokee waziri mkuu naye muislam, yeye muislam Rais Zanzibar muislam, jambo hilo haliwezi kutokea.
 
Huu upumbavu hatupaswi kuuendekeza kamwe vipi akitokeq mpagani tutafanyaje hebu tuache kuendekeza ujinga aise nchi haijawahi kuwa na dini
Hatupaswi mimi na wewe ila sio kwa yale majamaa
 
Siasa za Tanzania zinahitaji kubalance dini angalau kuwaridhisha makundi yote. Hivyo asingeweza kuteua mgombea mwenza muislam, itokee waziri mkuu naye muislam, yeye muislam Rais Zanzibar muislam, jambo hilo haliwezi kutokea.
Haya yapo kwenye kifungu gani cha katiba mkuu?
 
Yeye Samia ndiyo kampendekeza Dr.Nchimbi siyo kama kaletewa majina likiwemo la Majaliwa usema eti kalikata jina la Majaliwa,acha uongo.
Kwanini hakamteua PM Majaliwa ambaye amefanya naye kazi kwa muda mrefu anakuja kupendekeza jina la muasi?
 
Mkuu kwani Zanzibar ni taifa la CCM? Ninachojua ni kwamba Zanzibar ni taifa la kiislamu. Ungeniambia kuwa ili kupata kitambulisho cha mzanzibar mkazi lazima uwe na cheti cha uislamu ningekuelewa.
Sasa kama unataka kują na experience zako na mitazomo yako sawa ila me nipo zanzibar huu ni mwaka wa 15.So your welcome
 
Raisi Samia -muslim
Majaliwa -Muslim

mkuu hapa tanzania ingekua ngumu kuwa na VP toka bara mwislamu ikiwa Raisi nj mwislamu......

kwenye hili nadhani unakosea, huwa inawezekana kuwa na Raisi toka bara mwislamu na makamu toka zenji mwislamu kaa sababu zenji wakristo kwenye siasa ni kama hawapo!
Case closed
 
DR samia yupo sahihi kabisa kufanya mabadiliko baada kuona utendaji wa wasaidizi wake. Waziri mkuu kasim majaliwa muda wake wa kuwa waziri mkuu umeisha fika kikomo baada ya kuwa waziri mkuu miaka kumi. ukija kwa Philipo Mpango ni mchumi na mtaalamu sana wa mambo ya fedha . Kwa kumbebesha mzigo wa kuitumikia nchi kisiasa wakati yeyey ni mtaalamu wa fedha sioni kama anatumiwa vema kipaji chake.

kama kamuona DR Nchimbi atamfaa huko mbeleni basi mama samia kaona mbali.
Watanzania msizoee kuabudu majina ya watu wawapo madarakani jifunzeni kuzoea mabadiliko.
 
Mbombea mwenza hua makamu na sio wazir mkuu kikwete mgombea mwenza alikua samia
Wazir mkuu huchaguliwa na bunge baada ya kupigiwa kura mwana ccm kindaki ndaki hujui katiba ya chama chako
 
Raisi Samia -muslim
Majaliwa -Muslim

mkuu hapa tanzania ingekua ngumu kuwa na VP toka bara mwislamu ikiwa Raisi nj mwislamu......

kwenye hili nadhani unakosea, huwa inawezekana kuwa na Raisi toka bara mwislamu na makamu toka zenji mwislamu kaa sababu zenji wakristo kwenye siasa ni kama hawapo!
Yani ipo ivi sikuzote usichokijua nisawa na usiku wa giza!!! Mleta mada amejionyesha lengo lake kupotosha Rais wetu Mama Samia am'bebeshe ubaguzi japo sio udini lkn lengo lake limekwama usichokijua ni sawa n usiku w giza Zanzibar wapo Wanyamwezi wengi kutoka Bala ukienda kwa ma Shekha ndio utaelewa kuwa kuna jamiii kutoka Bala wameshika nafasi uko Zanzibar tofaut yake na wale wa kisiwani ujionyesha kuwa ni wazanzibar tofaut na uku Bala akitoka kiongozi uko kisiwani RAIS SAMIA sio m'baguzi mkutano wa CCM yeye akuomba achaguliwe wala Rais mwinyi kabla ya mwez w 7 lkn wajumbe kamati kuu ndio ilitoa ilo pendekezo pengine kama kuwalaumu awa sio Rais Wetu mana ikiwa ni kosa ni wao ata Rais Samia na rais mwinyi awakujua icho kitu ndio mana aligoma kutoka mwanzo. Akujiandaa na ilo la kumpitisha mapema mana ilitakiwa apitishwe mwezi w 7 pengine kamati kwa kujali matumizi ya pesa zilizotumika na mkusanyiko ule tena uje mwengine kama ule kwasababu tu yakuwaizinisha tu kugombea tena wakaona apana pesa zitatumika maeneo mengine RAIS SAMIA sio m'babuzi kikao kile chote viongozi wapya walioteuliwa wate kutoka BALA wote CRISTIAN mzee Wasira na JOHN NCHIMBI , RAIS SAMIA sio m'baguzi ikiwa ni kweli anataka kumchagua PM CRISTIAN ndio mwandelezo wa safari yetu nchi ktk uchaguzi ujao inchi inaenda kwa CRISTIAN kuteule Waziri mkuu kutoka CRISTIAN ni mpango mkakati kujua mawaziri wote utendaji wao ata wale Waislamu watakaopenya kwenye balaza jipya la 2030-35 nikukumbushe mtoa mada usione vinaelea vimeudwa rip JPM alimwacha majaliwa kimkakati JPM alijua nchi inaenda kwa Waislam 2025-30 sasa bahati mbaya JPM alitutoka, MAJALIWA ana baya lalote wala kashfa yoyote wala ugomvi wowote na RaIS SAMIA lkn anajua kitakachotokea cheo chake anakivaa mwengine na ni cristian kwaiyo kutoka 2025-30 pm atakuwa CRISTIAN sijui nani lkn sio lazima uyo atakae teule awe niyeye mgombea urais lkn kuna mkakati atafanikisha kumsadia mwenyekiti wa chama ktk uteudhi wa uko 2030-35 waziri mkuu uyu atakaekuja mawaziri muwe makini sana atakuwa na nguvu zaid. anafika popote kwa wepesi kazi kwenu, LISU mshehereshaji ktk safari ya urais nafasi yake kubwa kumsaidia RAIS ajae kujua nani anakashfa gani tunaomba MH LISU usituangushe watanzania ktk jukum ili jepesi kwako. Ili CCM ipate viongozi makini waadilifu. Tanzania isonge mbele.
 
Siasa za Tanzania zinahitaji kubalance dini angalau kuwaridhisha makundi yote. Hivyo asingeweza kuteua mgombea mwenza muislam, itokee waziri mkuu naye muislam, yeye muislam Rais Zanzibar muislam, jambo hilo haliwezi kutokea.
Ujinga huu kwani kuna shida gani wote wakiwa Waislamu ila wanaleta tija hizi mambo za dini ni ulimbukeni na ujima unaoturudisha nyuma ikitokea akawa mpagani itakuwaje?
 
CCM KWA mapenzi yao kwa RAIS SAMIA wenyewe wameona mwezi wa7 mbali akidi inatimia kwanini tusimpe jukum ili mapema asije uko mbele akagoma kutuongoza wanaCCM wakamchagua mapema ata yeye alishangaa kuna kitu cha kujifunza kwa RAIS SAMIA nacho kutoa kupaumbele kwenye kuijenga nchi kusimamia miradi na mengine mengi aliofanya Uyu ndio RAIS na NI MAMA yetu wote watanzania tunampenda kama MAMA,, ona uyu LISU alinukuliwa ikijibu swali kwann mke wako na watoto wako wapo nnje ya nchi. LISU alijibu mke wake anashangaa kwann mm nakuja Tanzania baada ya matatizo yote ayo mke wangu anaogopa kuja apa na watoto akajibu ivyoivyo kuwa wanaona ni hatari kubaki Tanzania. Daaaa mimi nilishangaa jamaa uyu kujua kumbe mamake mzazi yupo Tanzania yani kaamisha mke watoto lkn mamake mzazi kumwacha kijijini apambane na aliyake!!!!! Aisee nani kama MAMA sio kwake LISU, tuchekeche akili zetu vizuli,,
 
Basi kama hamtaki Majaliwa kwa sababu zake binafsi, amuombe ajiuzuru kama alivyofanya kwa Mpango. Isiwe shida bhana, tumechoshwa na ubaguzi wao.
Ajiuzuru kwenda wapi watu wanazungumzia 2025-30 baada ya uchaguzi sio sasa. Kwani mpango mbona mpaka sasa ndio makam Rais.
 
Siasa za Tanzania zinahitaji kubalance dini angalau kuwaridhisha makundi yote. Hivyo asingeweza kuteua mgombea mwenza muislam, itokee waziri mkuu naye muislam, yeye muislam Rais Zanzibar muislam, jambo hilo haliwezi kutokea.
Awa jamaaa ni waDINI sana sasa RAIS SAMIA,, kawavuruga na kuja kwa JONN NCHMBI NA WASIRA uku wanashajua PM nae anakuja cristian sasa wao agenda yao ilikuwa udini wa RAIS SAMIA lkn sasa awana pakushika kwenye kumzonga Rais Samia. Ndio mana wanalalamika kwanini mama asiteuwa waislamu ila ni ujinga wao tu atengetuuwa Bado RAIS SAMIA angeshinda uchaguzi mapema tu. Sasa apo walipo wanawaza washapata fununu PM ajae ni Mkatoliki kutoka kanda ya ziwa watapitia wapi hoja ya dini chaliiii kanda ya ziwa daraja jipya ndio ilo tayali la Busisi JPM. Watu wakusini wanampenda MAMA SAMIA sio lazima atoke uko PM kitu pekee watakachofanya kina LiSU ni kususia uchaguzi kwa Sababu za katiba lkn Nafasi ana pengine adi 40-45 akija rais mpya muislam ndio waje uwongo uwongo wao kudanganya watu udini na ushuzi mwengine ndio nikasema LISU msheheleshaji wa shughuli tu lkn atakuja kuapiswa kama rais kwenye hii Jamhuri kupitia chama chochote ata aje CCM awampitishi uyo LISU . Jamhuri na uchaguzi wa CHADEMA vitu tofaut acheni ujinga. Uko kwwnyewe kashinda kwa tofaut ya kura 31 tu. Nakupa ushauri mzee LISU fanya siasa miez 6 miez sita mengine itumie kula bata ULAYA kila mwaka alakati zako zisikufanye ukose kupumua vizuli mtii mungu wako sana mungu anamakusudi yake kukuacha uendelee kuishi sasa tumia muda wako vizuli na famiry yako pia ,,,
 
Kwanini hakamteua PM Majaliwa ambaye amefanya naye kazi kwa muda mrefu anakuja kupendekeza jina la muasi?
CCM imeamua kuanza upya mchakato wa kuteua wagombea wa Urais wa Zanzibar na JMT hivyo bila shaka watazingatia pendekezo lako.😂
 
Je, mbona wazanzibar wana baraza lao la mitihani (ZEC) si angemtafutia nafasi huko badala ya kuja kujaza nafasi za watanganyika? Kwani huku Tanganyika alikosekana mtu wa kuongoza NECTA hadi wamlete mpemba kuchukua nafasi ya watanganyika? Wewe unadhani ni haki na sawa wapemba kuchukua nafasi za watanganyika kizembe hivyo?
Kuwa mwelewa ndugu. Hilo Baraza la Mitihani la Zanzibar linasimamia mitihani ya STD 4, 6/7 na FORM 2 ,CERTIFICATE na (nadhani) DILOMA ya UALIMU.
FORM 4 na 6 ni NECTA.
Tanganyika ndio wanaotakiwa kuanzisha NECTA yao kwa ile mitihani ambayo si ya kimuungano na sio kufanya CHUKI kwa mtu Mwenye haki kushika hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom