Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hakika mkuu.Watu wanaongea bila kua na taarifa au wanajitoa ufahamu.
Nchi hii ya kusadikika hakuna kitu ambacho hakiwezekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu.Watu wanaongea bila kua na taarifa au wanajitoa ufahamu.
Nchi hii ya kusadikika hakuna kitu ambacho hakiwezekani.
Kwenye post hii #155 nimejiridhisha kua General Knowledge Yako kuhusu nchi yako Iko chini sana au akili na nafsi yako inasumbuliwa na maradhi ya CHUKI na husda kwa RAIS au watu wanaotokea upande wa pili wa Jamhuri.Twende taratibu.....
1. Ni wapi imeandikwa kwenye katiba kuwa mtu akiwa PM hawezi kuwa VC?
2. Bi Tozo kuwajaza wapemba wenzake kwenye nafasi za watanganyika anatumia kigezo gani cha kikatiba au wewe umezoea kuona ukiukwaji wa katiba ulioanzishwa na dikteta Magufuli?
3. Kizimkazi ni sehemu ya nchi ya Zanzibar na Chato ni sehemu ya nchi ya Tanganyika. Kwanini Bi Tozo anatumia rasilimali za Tanganyika kuendeleza Kizimkazi ya Zanzibar?
Sisi tuna asili ya Kilimanjaro. Baba yangu mkubwa aliishi Zanzibar kikazi toka mwanzoni kabisa mwa miaka ya 80s, hadi alipofariki katikati mwa miaka ya 90s akiwa tayari ana vitambulisho vyote vya Uzanzibar yeye na familia yake, including shangazi yangu mdogo ambae aliishi kule.Inaonesha hakuna unachokijua kuhusu uraia wa Zanzibar, ndo maana kuna kitambulisho cha uraia wa Tanzania na kitambulisho cha mzanzibar mkazi. Sàsa wewe njoo na chogo lako uone kama utapewa kitambulisho cha mzanzibar mkazi.
Alifanya kazi gam?Sisi tuna asili ya Kilimanjaro. Baba yangu mkubwa aliishi Zanzibar kikazi toka mwanzoni kabisa mwa miaka ya 80s, hadi alipofariki katikati mwa miaka ya 90s akiwa tayari ana vitambulisho vyote vya Uzanzibar yeye na familia yake, including shangazi yangu mdogo ambae aliishi kule.
Hivi ninavyoongea watoto wake wakija Tanganyika wanahisabika ni wabara na wakienda Zanzibar wanahisabika ni wazanzibar.
Nina imani kama wakijisogeza sogeza kwenye siasa za Zanzibar na kuamua kugombea uongozi fulan haswa kupitia CCM, wana uwezekano mkubwa sana wa wao kutusua na vichogo vyao.
Huyo mkuu wao wa sasa, miaka yote hakuwahi kutumikia kisiasa wala kielimu huko Zanzibar. Ame spend zaidi ya umri wake wote huku alipotokea baba yake na babu zake, na kuwa mbunge wa kwao Mkuranga kwa zaidi ya miaka 20.
Yani kaenda Zenji kwa lengo la kwenda kuwatawala wazenji tu.
Ndiyo maana nimesema kuna vigezo kupewa hadhi ya mzanzibar mkazi. Hao unaowasema wametimiza masharti ya kuishi Zanzibar miaka mitano mfululizo. Kuhusu kugombea uongozi ni kipaji cha mtu binafsi. Mfano kuna waziri Tabia Mwita.Sisi tuna asili ya Kilimanjaro. Baba yangu mkubwa aliishi Zanzibar kikazi toka mwanzoni kabisa mwa miaka ya 80s, hadi alipofariki katikati mwa miaka ya 90s akiwa tayari ana vitambulisho vyote vya Uzanzibar yeye na familia yake, including shangazi yangu mdogo ambae aliishi kule.
Hivi ninavyoongea watoto wake wakija Tanganyika wanahisabika ni wabara na wakienda Zanzibar wanahisabika ni wazanzibar.
Nina imani kama wakijisogeza sogeza kwenye siasa za Zanzibar na kuamua kugombea uongozi fulan haswa kupitia CCM, wana uwezekano mkubwa sana wa wao kutusua na vichogo vyao.
Huyo mkuu wao wa sasa, miaka yote hakuwahi kutumikia kisiasa wala kielimu huko Zanzibar. Ame spend zaidi ya umri wake wote huku alipotokea baba yake na babu zake, na kuwa mbunge wa kwao Mkuranga kwa zaidi ya miaka 20.
Yani kaenda Zenji kwa lengo la kwenda kuwatawala wazenji tu.
😂😂😂😂Andiko lako lina mantiki sana lkn siku nyingine uwe unafanya kuandika machache. Sasa angalia tunataka kuchangia lkn hatuna sehemu ya kuandika.
Yaani umemaliza ukurasa mzina
Nyinyi si mlikuwa mnashingilia kwa nderemo na vifijo. Acheni uchawa na unafiki, mkilalamikia hapa JF haitoshi kuweni jasori muyaseme haya kwenye vikao vyenu.Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule Dodoma nikishuhudia katiba ikisiginwa bila woga wowote. Kitendo cha Rais Samia kumpendekeza Nchimbi kuwa mgombea mwenza wake, hivyo automatically kuwa makamu wa Rais ikiwa CCM ikishinda kiti cha urais, ni ubaguzi mkubwa sana kwa waziri mkuu, Kassim Majaliwa. Majaliwa amefanya kazi chini serikali ya Magufuli tangu Rais Samia akiwa makamu wa Rais na baadaye kuwa rais. Ina maana kwa muda wote huo bado hajaona kama Majaliwa anafaa kwa lolote hadi anaenda kumuokota mtu aliyekiasi chama na kujiunga na team Lowassa ndiye awe makamu wa rais? Hili jambo mimi kama kada mwaminifu wa CCM linanisikitisha na kunikatisha tamaa kupindukia. Rais kama hamtaki majaliwa na anaona hafai kuwa kiongozi si amshauri ajiudhuru kama alivyofanya Philip Mpango?
Nina wasiwasi hata Mpango hukutakiwa kwenye uongozi wa sasa ndio maana alishauriwa ajitoe kwenye nafasi yake kwa kuandika barua halafu watu wanakuja kutuletea drama kwamba eti alikataa mwenyewe. Ashindwe kukataa kipindi cha Magufuli aliponyweshwa sumu aje kujiuzuru kipindi hiki ambacho tayari afya yake imeishaimarika? Tatizo mnatuona watanzania wote ni mazombie!
Hata kama hupendi kufanya kazi na mtu sio kumbagaza kiasi hiki mbele ya jamii na kusigina career yake ya kisiasa aliyoijenga kwa muda mrefu. Haipendezi hata kidogo.
Sote tumeshuhudia marais wakisuka safu zao za uongozi ndani ya chama chetu tangu kipindi cha mwalimu Nyerere lakini hatukuwahi kuona ubaguzi wa kiwango hiki. Na kibaya zaidi ubaguzi huu hauanzii kwenye uongozi wa juu tu bali hadi huku chini ni ubaguzi tupu. Ni katika utawala huu ndipo tumeshuhudia wazanzibar wakiteuliwa kushika nyadhifa za watanganyika wakati watanganyika hawawezi kupata nafasi kama hizo ktk nchi ya Zanzibar. Hivi inakuwaje raia kutoka Pemba anateuliwa kuwa RAS wa mkoa hapa Tanganyika? Hata Magufuli alikuwa dikteta lakini hatujawahi kushuhudia akifanya ubaguzi kama huu. Kwanza yule mpemba aliyepo kule baraza la mitihani aliingiaje pale? Haya mambo yanatia hasira sana. Yaani watanganyika wanakosa nafasi za ajira halafu wapemba wanakuja kujazwa kwenye nafasi za ajira za watanganyika? Ni nini hiki jamani?
Ujenzi wa Kisimkazi umetumia matrilioni ya fedha za watanganyika. Kana kwamba hii haitoshi, bado wapemba wanakuja kuchukua nafasi za watanganyika. Kwani Tanganyika imegeuzwa kuwa koloni la Zanzibar? Viongozi mnaofanya teuzi mnatuletea mambo ambayo yanaweza kuja kupelekea mauaji ya kimbari siku za usoni ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa kuacha kasumba hii mara moja. Time will tell.
Huyu jamaa ni team jk hataki kutoka hata umtukane na kumuacha lazima aliwe timing sio kirahis ninavyoonq huyu mama anajua hatakiwi ila siku hazigandinkunq vita ambayo wapiganaji wanajuana silaha wanazotumiw kwa hyo ninone mistake one goal.Kwanini asijouzulu mwenyewe akabaki kuitwa PM mstaafu na kula mafao
Me ni mtanganyika na nafanya Kazi SMZUkweli kabisa watanganyika ni wapumbavu sana. Zanzibar hakuna upumbavu kama huo. Eti mtu atoke chamwino akawe mkuu wa wilaya pemba!
Sasa toa solution siyo kulalamika tuu
Una vigezo umekidhi na lazima una kitambulisho cha mzanzibar mkazi. Halafu siyo mgalatia.Me ni mtanganyika na nafanya Kazi SMZ
Kitambulisho mzanzibar mkaazi kukipata Kazi rahisi as long as kama Una Kadi ya ccm na NI mwanachama hai Basi📌Una vigezo umekidhi na lazima una kitambulisho cha mzanzibar mkazi. Halafu siyo mgalatia.
Hujainuka kabisa, wenzio walipunga kukubali walipoambiwa ambaye hakubali hukusimamaMkuu ulishuhudia kilichotokea mle ukumbini hadi mwisho? Ungejua nilivyopambana usingekuja hapa kunilaumu.
Mkuu siasa za Tanganyika zinaendeshwa kwa mujibu wa katiba sio kwa mujibu wa historia. Nyie wanahistoria ndio mnaosababisha wanasiasa waendelee kuichezea nchi hii na kutapanya rasimali za taifa kwa manufaa yao bnafsi.Sio lazima PM awe mgombea mwenza ni nani alisha pata nafasi ya kuwa Vp baada ya kuwa PM huko nyuma ? Ili kujenga hoja kama hiyo pitia historia au matukio ya nyumba yanayo husiana na mada au hoja hiyo.
Kisimkasi ni jina la demu wako nini? Hapa limekujaje? Kama ulikusudia Kizimkazi, ningekushauri ukatembelea ukajionea huo ujenz unaozungumza. Umekuwa kama Abunuwasi!!!Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule Dodoma nikishuhudia katiba ikisiginwa bila woga wowote. Kitendo cha Rais Samia kumpendekeza Nchimbi kuwa mgombea mwenza wake, hivyo automatically kuwa makamu wa Rais ikiwa CCM ikishinda kiti cha urais, ni ubaguzi mkubwa sana kwa waziri mkuu, Kassim Majaliwa. Majaliwa amefanya kazi chini serikali ya Magufuli tangu Rais Samia akiwa makamu wa Rais na baadaye kuwa rais. Ina maana kwa muda wote huo bado hajaona kama Majaliwa anafaa kwa lolote hadi anaenda kumuokota mtu aliyekiasi chama na kujiunga na team Lowassa ndiye awe makamu wa rais? Hili jambo mimi kama kada mwaminifu wa CCM linanisikitisha na kunikatisha tamaa kupindukia. Rais kama hamtaki majaliwa na anaona hafai kuwa kiongozi si amshauri ajiudhuru kama alivyofanya Philip Mpango?
Nina wasiwasi hata Mpango hukutakiwa kwenye uongozi wa sasa ndio maana alishauriwa ajitoe kwenye nafasi yake kwa kuandika barua halafu watu wanakuja kutuletea drama kwamba eti alikataa mwenyewe. Ashindwe kukataa kipindi cha Magufuli aliponyweshwa sumu aje kujiuzuru kipindi hiki ambacho tayari afya yake imeishaimarika? Tatizo mnatuona watanzania wote ni mazombie!
Hata kama hupendi kufanya kazi na mtu sio kumbagaza kiasi hiki mbele ya jamii na kusigina career yake ya kisiasa aliyoijenga kwa muda mrefu. Haipendezi hata kidogo.
Sote tumeshuhudia marais wakisuka safu zao za uongozi ndani ya chama chetu tangu kipindi cha mwalimu Nyerere lakini hatukuwahi kuona ubaguzi wa kiwango hiki. Na kibaya zaidi ubaguzi huu hauanzii kwenye uongozi wa juu tu bali hadi huku chini ni ubaguzi tupu. Ni katika utawala huu ndipo tumeshuhudia wazanzibar wakiteuliwa kushika nyadhifa za watanganyika wakati watanganyika hawawezi kupata nafasi kama hizo ktk nchi ya Zanzibar. Hivi inakuwaje raia kutoka Pemba anateuliwa kuwa RAS wa mkoa hapa Tanganyika? Hata Magufuli alikuwa dikteta lakini hatujawahi kushuhudia akifanya ubaguzi kama huu. Kwanza yule mpemba aliyepo kule baraza la mitihani aliingiaje pale? Haya mambo yanatia hasira sana. Yaani watanganyika wanakosa nafasi za ajira halafu wapemba wanakuja kujazwa kwenye nafasi za ajira za watanganyika? Ni nini hiki jamani?
Ujenzi wa Kisimkazi umetumia matrilioni ya fedha za watanganyika. Kana kwamba hii haitoshi, bado wapemba wanakuja kuchukua nafasi za watanganyika. Kwani Tanganyika imegeuzwa kuwa koloni la Zanzibar? Viongozi mnaofanya teuzi mnatuletea mambo ambayo yanaweza kuja kupelekea mauaji ya kimbari siku za usoni ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa kuacha kasumba hii mara moja. Time will tell.
Sasa wewe kwa nini bado upo CCM, chama kilichooza?Mkuu umeandika madini adimu sana leo. Nakuhakikishia kwamba huyu mama ni dikteta kuliko Magufuli. Mambo yote ya ovyo yanayoendelea ndani ya chama na katika uongozi wa nchi, chanzo ni yeye.
Naomba mtuletee Tundu Lissu uchaguzi ujao. Sisi tuliomo ndani ya CCM tunaogopa kusema hadharani kwa kuogopa kupotezwa. Nyie mliopo nje ya mfumo, tunaomba sana mtusaidie kuondokana na jinamizi hili. Na mkifanya hivyo itakuwa fursa nzuri kuwafurusha wapemba wote waliotapakaa hapa Tanganyika warudi nchi kwao.
Hv unatumia akili au makalio? Majaliwa ni waziri mkuu, amefanyiwa Nini, ht angempumzisha ni uamuzi wa Rais na si kt kigeniKwani Mwinyi alimfanyia nini kibaya Salim kuliko hiki ambacho Sa100 amemfanyia Majaliwa?
Mkuu kwa sheria ipi kipengele gani kifungu kipi kinacho eleza kuwa PM awe makamu wa 1 au wa 2 au mgombea mwenza???Mkuu siasa za Tanganyika zinaendeshwa kwa mujibu wa katiba sio kwa mujibu wa historia. Nyie wanahistoria ndio mnaosababisha wanasiasa waendelee kuichezea nchi hii na kutapanya rasimali za taifa kwa manufaa yao bnafsi.
Ndio ww unazani Kuna wa kumzuia samiaKwani Nchimbi yeye sasa ameishakuwa makamu wa Rais mkuu?