Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Ajiuzuru kwenda wapi watu wanazungumzia 2025-30 baada ya uchaguzi sio sasa. Kwani mpango mbona mpaka sasa ndio makam Rais.
Mkuu hujaelewa theme ya somo bado. Hebu rudia kusoma tena
 
hakuna wa kuuvunja muungano acha kujidanganya. Sio huyo samia wala chadema
wakikujua tu una hilo wazo utavunjika wewe kabla ya muungano
 
Kama ulikuwepo ukumbini na ukuongea hupaswi kuja huku kulalamika.
Sisi wengine tunalalamika kwa sababu hatupo kwenye vikao vya maamuzi.
Wanaccm toka bara watalaaniwa na watanganyika kwa kushindwa kuitetea.
 
hakuna wa kuuvunja muungano acha kujidanganya. Sio huyo samia wala chadema
wakikujua tu una hilo wazo utavunjika wewe kabla ya muungano
Tangu uzaliwe hadi sasa muungano umeingiza shilingi ngapi mfukoni mwako?
 
Tangu uzaliwe hadi sasa muungano umeingiza shilingi ngapi mfukoni mwako?
usiwe mpuuzi.
wewe muungano umekuchukulia sh ngapi mfukoni mwako? Umedandia comment yangu bila kuelewa context. Sijautetea muungano, nimesema β€˜wenyewe’ hawaruhusu uvunjwe kwa gharama yoyote ile.
 
Kassim mwenyewe angefungasha virago wanasema dalili ya mvua ni mawingu
 
Majaliwa kuletewa tu Naibu katika kile cheo alikua anapewa taarifa mapema....kwa mtu mzima unakua umeshaelewa mpango unaofata
kwahiyo inamaana kuwa kuna uwezekano Mkubwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Mh. Majaliwa akawa Mh. Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu wa sasa?
 
kwahiyo inamaana kuwa kuna uwezekano Mkubwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Mh. Majaliwa akawa Mh. Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu wa sasa?
Au labda mtu wa team yake....yeye anaweza akawa muwakilishi tu
 
Kwanini asirudi kwako akasimamie baraza la mitihani la huko nchini kwao? Anatafuta nini hapa Tanganyika?
 
kwahiyo inamaana kuwa kuna uwezekano Mkubwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Mh. Majaliwa akawa Mh. Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu wa sasa?
Yes. Inaonekana amemchoka Majaliwa, hana haja naye tena.
 
Acha kuchokonoa usiyoyajua wewe: Rais ni Samia lakini Urais ni Taasisi
 
Maoni yangu ni haya hapa chini
πŸ‘‡πŸ‘‡

🀫🀫

πŸ‘†πŸ‘†

Hayo hapo juu ndio maoni yangu
 
Acha kuchokonoa usiyoyajua wewe: Rais ni Samia lakini Urais ni Taasisi
Mbona barabara ikijengwa machawa mnasema amejenga Rais Samia hamsemi imejenga taasisi (serikali) kwa kutumia kodi za umma? Na mnasema pesa zimetoka kwa Samia utadhani pesa zote za nchi hii zinatoka mfukoni mwake? Punguzeni uchawa hata kama hamuwezi kuacha kabisa mkuu.
 
Kwa hiyo tukiesma sisi anakuwa amesema yeye?
 
Suali Waziri mkuu gani aliyewahi kuwa mgombea mwenza, na kuwa makamo wa Raisi?
 
Suali Waziri mkuu gani aliyewahi kuwa mgombea mwenza, na kuwa makamo wa Raisi?
Kwa katiba inakataza mkuu? Nchi inaendeshwa kwa katiba siokwa mazoea mkuu
 
Kwa katiba inakataza mkuu? Nchi inaendeshwa kwa katiba siokwa mazoea mkuu
Sawa katiba ya CCM ndio tunayo jadili hapa.
CCM hawajapata kupendekeza waziri mkuu kuja kugombania kiti cha Urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…