Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna wa kuuvunja muungano acha kujidanganya. Sio huyo samia wala chademaNyie hamjui na ukweli ndio huu, lengo la Samia ni CCM ianguke kwa masilahi ya Zanzibar ipate kujitenga kuwa Nchi huru,
Anajua kabisa hakubaliki na yeyote na hakuna mwenye akili timamu atayempa kura yeye na Nchimbi wake.
Samia anajitoa mhanga kwa masilahi ya Wazanzibar akijua kabisa Sera za CHADEMA ni kuvunja Muungano.
Siku mkija kugundua mtakuwa mmechelewa sana.
usiwe mpuuzi.Tangu uzaliwe hadi sasa muungano umeingiza shilingi ngapi mfukoni mwako?
kwahiyo inamaana kuwa kuna uwezekano Mkubwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Mh. Majaliwa akawa Mh. Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu wa sasa?Majaliwa kuletewa tu Naibu katika kile cheo alikua anapewa taarifa mapema....kwa mtu mzima unakua umeshaelewa mpango unaofata
Au labda mtu wa team yake....yeye anaweza akawa muwakilishi tukwahiyo inamaana kuwa kuna uwezekano Mkubwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Mh. Majaliwa akawa Mh. Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu wa sasa?
Kwanini asirudi kwako akasimamie baraza la mitihani la huko nchini kwao? Anatafuta nini hapa Tanganyika?Kuwa mwelewa ndugu. Hilo Baraza la Mitihani la Zanzibar linasimamia mitihani ya STD 4, 6/7 na FORM 2 ,CERTIFICATE na (nadhani) DILOMA ya UALIMU.
FORM 4 na 6 ni NECTA.
Tanganyika ndio wanaotakiwa kuanzisha NECTA yao kwa ile mitihani ambayo si ya kimuungano na sio kufanya CHUKI kwa mtu Mwenye haki kushika hiyo nafasi.
Acha kuchokonoa usiyoyajua wewe: Rais ni Samia lakini Urais ni TaasisiSitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule Dodoma nikishuhudia katiba ikisiginwa bila woga wowote. Kitendo cha Rais Samia kumpendekeza Nchimbi kuwa mgombea mwenza wake, hivyo automatically kuwa makamu wa Rais ikiwa CCM ikishinda kiti cha urais, ni ubaguzi mkubwa sana kwa waziri mkuu, Kassim Majaliwa. Majaliwa amefanya kazi chini serikali ya Magufuli tangu Rais Samia akiwa makamu wa Rais na baadaye kuwa rais. Ina maana kwa muda wote huo bado hajaona kama Majaliwa anafaa kwa lolote hadi anaenda kumuokota mtu aliyekiasi chama na kujiunga na team Lowassa ndiye awe makamu wa rais? Hili jambo mimi kama kada mwaminifu wa CCM linanisikitisha na kunikatisha tamaa kupindukia. Rais kama hamtaki majaliwa na anaona hafai kuwa kiongozi si amshauri ajiudhuru kama alivyofanya Philip Mpango?
Nina wasiwasi hata Mpango hukutakiwa kwenye uongozi wa sasa ndio maana alishauriwa ajitoe kwenye nafasi yake kwa kuandika barua halafu watu wanakuja kutuletea drama kwamba eti alikataa mwenyewe. Ashindwe kukataa kipindi cha Magufuli aliponyweshwa sumu aje kujiuzuru kipindi hiki ambacho tayari afya yake imeishaimarika? Tatizo mnatuona watanzania wote ni mazombie!
Hata kama hupendi kufanya kazi na mtu sio kumbagaza kiasi hiki mbele ya jamii na kusigina career yake ya kisiasa aliyoijenga kwa muda mrefu. Haipendezi hata kidogo.
Sote tumeshuhudia marais wakisuka safu zao za uongozi ndani ya chama chetu tangu kipindi cha mwalimu Nyerere lakini hatukuwahi kuona ubaguzi wa kiwango hiki. Na kibaya zaidi ubaguzi huu hauanzii kwenye uongozi wa juu tu bali hadi huku chini ni ubaguzi tupu. Ni katika utawala huu ndipo tumeshuhudia wazanzibar wakiteuliwa kushika nyadhifa za watanganyika wakati watanganyika hawawezi kupata nafasi kama hizo ktk nchi ya Zanzibar. Hivi inakuwaje raia kutoka Pemba anateuliwa kuwa RAS wa mkoa hapa Tanganyika? Hata Magufuli alikuwa dikteta lakini hatujawahi kushuhudia akifanya ubaguzi kama huu. Kwanza yule mpemba aliyepo kule baraza la mitihani aliingiaje pale? Haya mambo yanatia hasira sana. Yaani watanganyika wanakosa nafasi za ajira halafu wapemba wanakuja kujazwa kwenye nafasi za ajira za watanganyika? Ni nini hiki jamani?
Ujenzi wa Kizimkazi umetumia matrilioni ya fedha za watanganyika. Kana kwamba hii haitoshi, bado wapemba wanakuja kuchukua nafasi za watanganyika. Kwani Tanganyika imegeuzwa kuwa koloni la Zanzibar? Viongozi mnaofanya teuzi mnatuletea mambo ambayo yanaweza kuja kupelekea mauaji ya kimbari siku za usoni ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa kuacha kasumba hii mara moja. Time will tell.
Mbona barabara ikijengwa machawa mnasema amejenga Rais Samia hamsemi imejenga taasisi (serikali) kwa kutumia kodi za umma? Na mnasema pesa zimetoka kwa Samia utadhani pesa zote za nchi hii zinatoka mfukoni mwake? Punguzeni uchawa hata kama hamuwezi kuacha kabisa mkuu.Acha kuchokonoa usiyoyajua wewe: Rais ni Samia lakini Urais ni Taasisi
Kwa hiyo tukiesma sisi anakuwa amesema yeye?Mbona barabara ikijengwa machawa mnasema amejenga Rais Samia hamsemi imejenga taasisi (serikali) kwa kutumia kodi za umma? Na mnasema pesa zimetoka kwa Samia utadhani pesa zote za nchi hii zinatoka mfukoni mwake? Punguzeni uchawa hata kama hamuwezi kuacha kabisa mkuu.
Suali Waziri mkuu gani aliyewahi kuwa mgombea mwenza, na kuwa makamo wa Raisi?Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule Dodoma nikishuhudia katiba ikisiginwa bila woga wowote. Kitendo cha Rais Samia kumpendekeza Nchimbi kuwa mgombea mwenza wake, hivyo automatically kuwa makamu wa Rais ikiwa CCM ikishinda kiti cha urais, ni ubaguzi mkubwa sana kwa waziri mkuu, Kassim Majaliwa. Majaliwa amefanya kazi chini serikali ya Magufuli tangu Rais Samia akiwa makamu wa Rais na baadaye kuwa rais. Ina maana kwa muda wote huo bado hajaona kama Majaliwa anafaa kwa lolote hadi anaenda kumuokota mtu aliyekiasi chama na kujiunga na team Lowassa ndiye awe makamu wa rais? Hili jambo mimi kama kada mwaminifu wa CCM linanisikitisha na kunikatisha tamaa kupindukia. Rais kama hamtaki majaliwa na anaona hafai kuwa kiongozi si amshauri ajiudhuru kama alivyofanya Philip Mpango?
Nina wasiwasi hata Mpango hukutakiwa kwenye uongozi wa sasa ndio maana alishauriwa ajitoe kwenye nafasi yake kwa kuandika barua halafu watu wanakuja kutuletea drama kwamba eti alikataa mwenyewe. Ashindwe kukataa kipindi cha Magufuli aliponyweshwa sumu aje kujiuzuru kipindi hiki ambacho tayari afya yake imeishaimarika? Tatizo mnatuona watanzania wote ni mazombie!
Hata kama hupendi kufanya kazi na mtu sio kumbagaza kiasi hiki mbele ya jamii na kusigina career yake ya kisiasa aliyoijenga kwa muda mrefu. Haipendezi hata kidogo.
Sote tumeshuhudia marais wakisuka safu zao za uongozi ndani ya chama chetu tangu kipindi cha mwalimu Nyerere lakini hatukuwahi kuona ubaguzi wa kiwango hiki. Na kibaya zaidi ubaguzi huu hauanzii kwenye uongozi wa juu tu bali hadi huku chini ni ubaguzi tupu. Ni katika utawala huu ndipo tumeshuhudia wazanzibar wakiteuliwa kushika nyadhifa za watanganyika wakati watanganyika hawawezi kupata nafasi kama hizo ktk nchi ya Zanzibar. Hivi inakuwaje raia kutoka Pemba anateuliwa kuwa RAS wa mkoa hapa Tanganyika? Hata Magufuli alikuwa dikteta lakini hatujawahi kushuhudia akifanya ubaguzi kama huu. Kwanza yule mpemba aliyepo kule baraza la mitihani aliingiaje pale? Haya mambo yanatia hasira sana. Yaani watanganyika wanakosa nafasi za ajira halafu wapemba wanakuja kujazwa kwenye nafasi za ajira za watanganyika? Ni nini hiki jamani?
Ujenzi wa Kizimkazi umetumia matrilioni ya fedha za watanganyika. Kana kwamba hii haitoshi, bado wapemba wanakuja kuchukua nafasi za watanganyika. Kwani Tanganyika imegeuzwa kuwa koloni la Zanzibar? Viongozi mnaofanya teuzi mnatuletea mambo ambayo yanaweza kuja kupelekea mauaji ya kimbari siku za usoni ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa kuacha kasumba hii mara moja. Time will tell.
Sawa katiba ya CCM ndio tunayo jadili hapa.Kwa katiba inakataza mkuu? Nchi inaendeshwa kwa katiba siokwa mazoea mkuu