Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

Mkuu Amin nakwambia Habari ya CCM ilishakwisha, ila si ni watu wakulazimisha A kuwa B, this time watashangaa Sana wakilazimisha, dhoruba itakua kali Sana, nyoyo zao zitakua Kama udongo wa mfinyazi plus laana ya Ugonjwa wa ukoma kwa KILA mshiriki, naongea hili kwa ujasiri mkubwa tu Mkuu,twende tu mda ni mwalimu
 
Umechungulia!?

Kuna unabii Mwingi Sana Safari HII yaani kuanzia kanisani KWA manabii hadi KWA waganga na wazee wa jadi !!

Juzi nilienda KWA mzee FULANI wa kisukuma ni rafiki yangu Sana!Huwa naenda kupiga nae story za KILA mara mara yeye ni tabibu wa jadi na mpiga ramli!

Akaniambia "kijana mbona naota moto mkubwa unalipuka lipuka Halafu watu wanakimbia Sana,tena hii ndoto inajirudia mara nyingi HIVI Huu moto ni nini!?

Nikamwambia mabomu hayo mzee Wangu!

Anaongeza pia "naona watu wanachoma wenzao mishale yaani KILA mtu kabeba upinde na mishale"nikamwambia vita vya wananchi wao KWA wao"yaani kuna uwezekano wa wizi sana kutokea na watu kuuana!!

Nilimshangaa sana,kuna kipindi alimwambia kuwa anaota Mabaka Mabaka wakitokea ukanda wa ziwa wakiwakataa Wenye mamlaka nikamwambia mzee kuwa makini usije Leta taharuki!!

Na Wewe unayaona hayo!!?

KILA mtu ni nabii siku HIZI!!
 
Mama anachapa kazi. Kazi iendelee. Jiuzulu wewe kwanza ambaye uongozi wa familia yako unalegalega.
 
Ungeandika kiswahili tu hiyo lugha hujaimudu vizuri maana hata sielewi umeandika nini. Andika upya kwa kiswahili.
 
Uyo na maono yake nami na maono yangu, chamsingi Mungu atupe afya tu,
 
Nimeziona land cruiser LC 300 za shirika la reli na moja ya jeshi la mali asili/JU mpaka roho imeniuma,hawa viongozi wa shirka la reli na wizara ya fedha wanafuatilia matumizi ya nchi au wameacha wakuu wa idara wajiamulie tu.
 
Tatizo kuu "Alijenga nchi badala ya Taifa" de'levis!

Jamaa alijificha KWA kabila kubwa Ili kupitisha ajenda zake!hasa Asili take ije kuwa dominant Baadae angelisaliti hata hilo kabila kubwa KWA kuwapa Asili take kipaumbele zaidi!

Inasemekana Asili yake ni mpakani na kigoma!ndio Hiyo Inge take over Halafu kabila kubwa wangetaharuki!!

Mzee chenge alishtuka NASIKIA alisikika "hakuna msukuma wa HIVI" ikala kwake na ubunge ikawa tamati!!

Cha msingi katiba mpya ipatikane Ili ajaye asiharibu!!
Hata Asili yake ikiwa ya ethiopia hatoharibu coz DOLA itatumia katiba kumuingilia na kumuondoa KWA maslahi mapana ya Taifa!
 
sukuma gang kumbe bado mpo
 
suuma gang huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…