JPM alifanya vizuri sana kwa haya yafuatayo:
1. Social welfare
2. Nation Security
3. National and individual income for lower and middle-class citizens was at least promising and sufficing the basic needs
4. He walked the talk on nonsense
5. He defended the middle and lower-class citizens at all costs
6. He was passionately listening to the middle and lower-class citizens' constructive ideas and worked on it
7. He was borrowing financial resources and investing in a number of projects whereas value and quality were still an ongoing visible benefit for the country to prevail for the next couple of decades memoir
8. Inflation of all sorts was physically monitored and controlled
9. He vividly fought the corrupt practices with action
10. He identified the ghost and fake certificate holders employed in the civil servant and took severe action
11. He fortified the tax collection
12. Uanzishwaji wa miundo mbinu yenye manufaa kwa taifa na wananchi moja kwa moja kama bwawa la Nyerere,, ununuzi wa rada kadhaa hivyo kuepusha kuendelea kuweka rehani anga la nchi kuongoza na nchi jirani, barabara, ujenzi meli mpya kwenye maziwa makubwa yote, sheria ya madini, kudhibiti utoroshaji wa Tanzanite na kuanzisha soko nchini baada ya madini hayo kuongezwa thamani, umeme vijijini bei 27,000 huku serikali ikitoa ruzuku kwa matazamio ya kurejesha gharama pindi mirzdi mikubwa ya nishati ikikamilika, ujenzi SGR, ununuzi ndege ATCL nk
JPM hakufanya vizuri kwa haya yafuatayo
1. Kutowapa nafasi Wasaliti wa taifa
2. Kutovumilia Wanasiasa wanafiki
3. Kutotii Demokrasia iliyoanzishwa na wazungu ambayo haichuji mabaya na mazuri kwa kulingana mazingira na tamaduni za taifa husika ambayo hufanya taifa lisitawalike
4. Kutotishwa na mataifa makubwa kupitia vibaraka (mercenaries/traitors) hivyo kusemekana mahusiano ya nje kuparanganyika ijapokuwa haikuwa kweli
5. Kuendeleza mchakato wa katiba mpya uliovunjika mwaka 2014 katika hatua ya katiba pendekezwa
6. Kutocheka na waharifu, wezi, wabadhirifu, mafisadi na waonezi wa wananchi
7. Kutoyumbishwa na wastaafu au wanachama wenzie ndani ya CCM wenye maslahi binafsi kwa ajili ya madaraka na kwenye rasilimali za nchi