Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

CCM MBELE KWA MBELE
JPM alifanya vizuri sana kwa haya yafuatayo:
1. Social welfare
2. Nation Security
3. National and individual income for lower and middle-class citizens was at least promising and sufficing the basic needs
4. He walked the talk on nonsense
5. He defended the middle and lower-class citizens at all costs
6. He was passionately listening to the middle and lower-class citizens' constructive ideas and worked on it
7. He was borrowing financial resources and investing in a number of projects whereas value and quality were still an ongoing visible benefit for the country to prevail for the next couple of decades memoir
8. Inflation of all sorts was physically monitored and controlled
9. He vividly fought the corrupt practices with action
10. He identified the ghost and fake certificate holders employed in the civil servant and took severe action
11. He fortified the tax collection
12. Uanzishwaji wa miundo mbinu yenye manufaa kwa taifa na wananchi moja kwa moja kama bwawa la Nyerere,, ununuzi wa rada kadhaa hivyo kuepusha kuendelea kuweka rehani anga la nchi kuongoza na nchi jirani, barabara, ujenzi meli mpya kwenye maziwa makubwa yote, sheria ya madini, kudhibiti utoroshaji wa Tanzanite na kuanzisha soko nchini baada ya madini hayo kuongezwa thamani, umeme vijijini bei 27,000 huku serikali ikitoa ruzuku kwa matazamio ya kurejesha gharama pindi mirzdi mikubwa ya nishati ikikamilika, ujenzi SGR, ununuzi ndege ATCL nk

JPM hakufanya vizuri kwa haya yafuatayo
1. Kutowapa nafasi Wasaliti wa taifa
2. Kutovumilia Wanasiasa wanafiki
3. Kutotii Demokrasia iliyoanzishwa na wazungu ambayo haichuji mabaya na mazuri kwa kulingana mazingira na tamaduni za taifa husika ambayo hufanya taifa lisitawalike
4. Kutotishwa na mataifa makubwa kupitia vibaraka (mercenaries/traitors) hivyo kusemekana mahusiano ya nje kuparanganyika ijapokuwa haikuwa kweli
5. Kuendeleza mchakato wa katiba mpya uliovunjika mwaka 2014 katika hatua ya katiba pendekezwa
6. Kutocheka na waharifu, wezi, wabadhirifu, mafisadi na waonezi wa wananchi
7. Kutoyumbishwa na wastaafu au wanachama wenzie ndani ya CCM wenye maslahi binafsi kwa ajili ya madaraka na kwenye rasilimali za nchi
 
kama serikali iliyopita ilshindwa na kuacha kabisa kuajiri watu kwa miaka yote mitano lazima pawe na tatizo la ajira tu
Sio kwamba ndo ilipaswa kuziba mapengo hayo na kisha kuongeza za awamu yenu zaidi?
 
Huwezi kumuelewa Muheshimiwa Rais kama haujapitiwa na roho mtakatifu (joking)
 
Kwa viongozi wa afrika kujiuzulu pasipo maandamano ya wananchi yasiyo na kikomo haitawezekana kabisa licha ya nchi yetu kuendelea kuharibiwa na hii awamu.Lakini sisi wananchi tukiwa na ushirikiano kwa kufannya maandamano kuelekea ikulu yao inawezekana kabisa wao kuachia ngazi.wananchi tuchukue hatua,watu wa uingereza wameweza kwa nini sisi isiwezekane?
Kabisa.
 
Siku hizi ukiweka bundle ya 2000 kabla hujakaa vizuri siku hio hio limekwisha wakati zamani bundle ya 1000 inakaa siku 4 au 5.
Maisha ayaludi nyuma ndugu maisha yanasonga mbele kipindi mimi nasoma kitumbua kilikuwa kinauzwa sent20/50 daladala tshs1 leo hali aipo hivyo sio kila kitu kulalamika mengine ni mabadiliko ya kidunia
 
Lucas mwashambwa, kama vipi uje na wewe hapa umshauri mama yako ajiuzulu. Siyo muda wote wewe ni kumsifia tu. Mara moja moja uwe unampa za uso pale anapo vurunda.
Hakuna hoja yoyote yenye msingi hapo zaidi ya makelele ya Chadema na wapambe wake waliopoteza muelekeo, Ngoja nijibu kwa ufupi tu,

Suala la katiba mpya, suala Hilo linaendelea vizuri kabisa chini ya uongozi wa mama Samia ambapo kumekuwepo na majadiliano yakishirikisha wadau mbalimbali, hapa pia Kuna kikosi kazi ambacho kiliiundwa na kupokea maono kutoka kwa watu mbalimbali, mwisho kikosi hiki kilikuja na mapendekezo 18 ambayo yalikabidhiwa kwa serikali, Imani yetu Ni kuwa serikali itafanya utafiti wa kina juu ya mapendekezo hayo katika kuyatathimini kwa maslahi mapana ya nchi yetu, Tuendelee kuwa na Subira na Imani na serikali yetu Katika suala Hilo maana serikali ya mama Samia imeonyesha kuwa na dhamira njema katika kuwapatia watanzania katiba itakayo kata kiu yao na kuendana na wakati tuliopo

Suala la ajira kwa vijana. hapa vijana tunampongeza Sana Rais wetu mpendwa maana Mara tu baada ya kuingia madarakani Rais Samia alitangaza na kutoa kibali Cha maelfu ya ajira kwa vijana kuanzia kada ya Elimu,Afya,kilimo,Sheria,uvuvi, na nyingine nyingi tu mpaka kufikia ajira takribani elfu 42, vijana wengi wakinufaika na ajira hizi na kuwapatia matumaini mapya vijana wengi waliokuwa mitaani, pia Imani yetu Vijana Ni kuwa mh Rais Ataendelea kutoa ajira kwa kadri uchumi utakavyokuwa unaruhusu, lakini pia kumekuwepo na utoaji wa mikopo kwa vijana kupitia halmashauri pale vijana wanapokuwa wameunda vikundi na kufuata utaratibu uliowekwa, katika hili vijana wanasema Asante mama Samia kwa upendo wako kwa vijana

Suala la wabunge wa chadema, Hilo nendeni Huko huko mahakamani mkapambane kisheria na Wala msitake kumtupia lawama mh Rais kwa udhaifu wenu na kushindwa kwenu kufuata na kuheshimu katiba yenu

Suala la mfumuko wa Bei, mh Rais amejitahidi na kuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na suala la mfumuko wa Bei, wote Tuliona uwamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta hatua iliyopelekea kushuka kwa Nishati hiyo adhimu, pili alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea mbolea kushuka Bei sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa elfu 70 tu

Kila utakalo kwenda utakuta mh Rais amefanya kazi kubwa Sana
 
Hakuna Dirá .

Nadhani Dr . Slaa, Tundu Lisu ,Heche , Msigwa, Mpina, Polepole, Mnyika , Pambalu ndio watu waliobaki wenye uwezo Wa kupaza Sauti.

Mama anatakiwa avunje baraza la Mawaziri na aondoe baadhi ya wakuu Wa Wilaya wameshindwa kumsaidia.

Nchi hii ni maskini sana.
Rais akiwaonea huruma watu walioshiba kama akina Makamba ,Nape na Ridhiwani na Yule Wa Fedha basi ni wazi kuwa Wanaoumia ni watu maskini.

Maskini HAWANA mtetezi mana Hata vyama vya upinzani havijasimama na watu Wa Chini.

Natamani tuweke Siasa za Maji taka Pembeni Dr. Slaa ni Kiongozi Bora sana na mwenye msimamo. Bila msimamo watendaji wanapora Kwa Kasi Mali za umma. Miaka hii Mitano nchi italiwa sana . Kwa Sasa watu wanahangaika na vidagaa Huku Mafisadi Papá wakiendelea kula nchi na kujitajirisha Kwa Kasi ya ajabu.
Kwa Sasa nchi inaendesha na Vikodi vya wanyonge HUKU matajiri wakizidi kula nchi na kujifanya ni wawekezaji.

Pesa za umma ni vikao TUU watu wanalipana posho na Chakula na pesa za safari na Kulala kwenye magesti badala ya kujenga nchi . Serikali ya CCM imekua ni ya Mabepari na Makabaila na manyonyaji.
CCM inajenga ubinafsi mbaya sana kwenye jamii. Ubepari Wa kuiba Mali za umma ni mbaya sana. Walioko madarakani wanashindana kulimbikiza Mali Kwa mbinu nyingi Bila kubanwa.
Haiwezekeni MTU mwenye mamlaka ya kuteua anaogopa na kuwanyenyekea aliowateua Wakati ni wazi kuwa hawamsaidiii zaidi ya kujitajirisha kama Fursa ya uteuzi.

Kwa Nchi isiyo na mifumo inayojisimamia yenyewe ni Lazima anayeteua na ambaye Yuko juu ya Tasisi na Idara zote awe mkali sana. HATUSEMI MTU AONEWE LAKINI MWIZI WA MALI ZA UMMA ASIHURUMIWE. FEDHA ZA UMMA NI LAZIMA ZIHESHIMIWE.
 
Maisha ayaludi nyuma ndugu maisha yanasonga mbele kipindi mimi nasoma kitumbua kilikuwa kinauzwa sent20/50 daladala tshs1 leo hali aipo hivyo sio kila kitu kulalamika mengine ni mabadiliko ya kidunia
Bundle zimepanda lini?
 
Hakuna hoja yoyote yenye msingi hapo zaidi ya makelele ya Chadema na wapambe wake waliopoteza muelekeo, Ngoja nijibu kwa ufupi tu,

Suala la katiba mpya, suala Hilo linaendelea vizuri kabisa chini ya uongozi wa mama Samia ambapo kumekuwepo na majadiliano yakishirikisha wadau mbalimbali, hapa pia Kuna kikosi kazi ambacho kiliiundwa na kupokea maono kutoka kwa watu mbalimbali, mwisho kikosi hiki kilikuja na mapendekezo 18 ambayo yalikabidhiwa kwa serikali, Imani yetu Ni kuwa serikali itafanya utafiti wa kina juu ya mapendekezo hayo katika kuyatathimini kwa maslahi mapana ya nchi yetu, Tuendelee kuwa na Subira na Imani na serikali yetu Katika suala Hilo maana serikali ya mama Samia imeonyesha kuwa na dhamira njema katika kuwapatia watanzania katiba itakayo kata kiu yao na kuendana na wakati tuliopo

Suala la ajira kwa vijana. hapa vijana tunampongeza Sana Rais wetu mpendwa maana Mara tu baada ya kuingia madarakani Rais Samia alitangaza na kutoa kibali Cha maelfu ya ajira kwa vijana kuanzia kada ya Elimu,Afya,kilimo,Sheria,uvuvi, na nyingine nyingi tu mpaka kufikia ajira takribani elfu 42, vijana wengi wakinufaika na ajira hizi na kuwapatia matumaini mapya vijana wengi waliokuwa mitaani, pia Imani yetu Vijana Ni kuwa mh Rais Ataendelea kutoa ajira kwa kadri uchumi utakavyokuwa unaruhusu, lakini pia kumekuwepo na utoaji wa mikopo kwa vijana kupitia halmashauri pale vijana wanapokuwa wameunda vikundi na kufuata utaratibu uliowekwa, katika hili vijana wanasema Asante mama Samia kwa upendo wako kwa vijana

Suala la wabunge wa chadema, Hilo nendeni Huko huko mahakamani mkapambane kisheria na Wala msitake kumtupia lawama mh Rais kwa udhaifu wenu na kushindwa kwenu kufuata na kuheshimu katiba yenu

Suala la mfumuko wa Bei, mh Rais amejitahidi na kuwa mstari wa mbelkatika kukabiliana na suala la mfumuko wa Bei, wote Tuliona uwamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta hatua iliyopelekea kushuka kwa Nishati hiyo adhimu, pili alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na kupelekea mbolea kushuka Bei sokoni,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa elfu 70 tu

Kila utakalo kwenda utakuta mh Rais amefanya kazi kubwa Sana
Kwa hiyo haya maelezo yote hapa, ndiyo majibu yako kwa kifupi kabisa!!
 
Mbona jpm hakuwahi kujiudhuru wakati ajira alimaliza zote na hakuwahi kuongeza mishara hata siku moja kwa wafanyakazi kinyume na matakwa y sheria. Mbona alikuwa anaua ovyo ovyo raia wake bil huruma. Mbona aliharibu kilimo kila Kona ya nchi. Alifanikiwa tu zoezi la korona peke yake na penyewe akufanya trial and error.
Yeye alisaidiwa kujiuzulu.
 
Haya matatizo yalikuwepo toka longi usimsingizie maza. Muasisi wa matatizo haya ni CCM toka mwaka 1995 hadi leo matatizo yanajirudia rudia tu, mfano No 7 ilichezewa sana sana kipindi cha Kikwete.

Watanzania wenzangu bila CCM kuibutua nawahakikisha - HATUTOBOI.
Mkuu kama matatizo yalikuwepo hivyo hawajibiki kuyashughulikia?
 
Umesema kweli. Hii ni kumwonea huyu mama. Simtetei mama lakini kwangu mimi ninaona ni bora sana kuliko yule.
Hakuna mtu anayemuonea, yeye ashughulikie haya matatizo sugu ili nchi isonge mbele na kama ameshindwa atuachie ofisi.
 
Hakuna hoja yoyote yenye msingi hapo zaidi ya makelele ya Chadema na wapambe wake waliopoteza muelekeo, Ngoja nijibu kwa ufupi tu,

Suala la katiba mpya, suala Hilo linaendelea vizuri kabisa chini ya uongozi wa mama Samia ambapo kumekuwepo na majadiliano yakishirikisha wadau mbalimbali, hapa pia Kuna kikosi kazi ambacho kiliiundwa na kupokea maono kutoka kwa watu mbalimbali, mwisho kikosi hiki kilikuja na mapendekezo 18 ambayo yalikabidhiwa kwa serikali, Imani yetu Ni kuwa serikali itafanya utafiti wa kina juu ya mapendekezo hayo katika kuyatathimini kwa maslahi mapana ya nchi yetu, Tuendelee kuwa na Subira na Imani na serikali yetu Katika suala Hilo maana serikali ya mama Samia imeonyesha kuwa na dhamira njema katika kuwapatia watanzania katiba itakayo kata kiu yao na kuendana na wakati tuliopo

Suala la ajira kwa vijana. hapa vijana tunampongeza Sana Rais wetu mpendwa maana Mara tu baada ya kuingia madarakani Rais Samia alitangaza na kutoa kibali Cha maelfu ya ajira kwa vijana kuanzia kada ya Elimu,Afya,kilimo,Sheria,uvuvi, na nyingine nyingi tu mpaka kufikia ajira takribani elfu 42, vijana wengi wakinufaika na ajira hizi na kuwapatia matumaini mapya vijana wengi waliokuwa mitaani, pia Imani yetu Vijana Ni kuwa mh Rais Ataendelea kutoa ajira kwa kadri uchumi utakavyokuwa unaruhusu, lakini pia kumekuwepo na utoaji wa mikopo kwa vijana kupitia halmashauri pale vijana wanapokuwa wameunda vikundi na kufuata utaratibu uliowekwa, katika hili vijana wanasema Asante mama Samia kwa upendo wako kwa vijana

Suala la wabunge wa chadema, Hilo nendeni Huko huko mahakamani mkapambane kisheria na Wala msitake kumtupia lawama mh Rais kwa udhaifu wenu na kushindwa kwenu kufuata na kuheshimu katiba yenu

Suala la mfumuko wa Bei, mh Rais amejitahidi na kuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na suala la mfumuko wa Bei, wote Tuliona uwamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta hatua iliyopelekea kushuka kwa Nishati hiyo adhimu, pili alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea mbolea kushuka Bei sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa elfu 70 tu

Kila utakalo kwenda utakuta mh Rais amefanya kazi kubwa Sana
Haya kachukue aftatu pale lumumba.
 
Back
Top Bottom