[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooh my Jesus'hivi mimi ni mkali hvo jamani, mimi ni muelewa sana banaMkuu tuishie hapa. Akija hapa tunaweza kugombeshwa sana. Leave my baby alone please [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23]eti kupewa za uso na maonyo, mimi ni mtu peace sana usione humu JF. Nje mkimya sipendagi hata kuongea[emoji16][emoji16][emoji16]. I have my fingers crossed hapa mkuu. Nasubiria jibu. Ila ninavyomfahamu huyo malaika si ajabu nikaishia kupewa za uso kwa maneno makali na maonyo kadhaa.
Ngosha hawanaga mambo hayo!! Unakwama wapi?Kwa kweli hapana. That's why I divorced her [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Lazima kuna kitu atakuwa anamaanishaNememuuliza wife hapa kaishia kuguna sasa sijui anamaanisha nini[emoji15][emoji15][emoji15]?
Ameen!Mimi nitamuoa tena na tena tokea tumefunga ndoa mpaka sasahivi sijutii kufunga ndoa na mwenza wangu. Hakika Mwenyezi Mungu kaniletea furaha hii naomba iwe ya milele kwangu na mke wangu pamoja na kizazi changu.[emoji2973].
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ngangari mwenyewe huwa ni mpole sipendagi usumbufu kabisa waweza boreka oooh.Mimi nahitaji mwanamke challenging kama wewe cariha. Wengine hawa wananiboa tu. Mwanamke ngangari kama wewe ndo kitaeleweka ng'wanawane. Kama uko tayari niPM tulianzishe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Shida ni kwamba wanataka watu perfect wakati yeye mwenyewe ana mapungufu.Yeye kafeli kwenye ndoa why blame others hata watu wakiruhusiwa waoane hovyo hovyo tu usipobadilika Napo waona nogwa tu.
Na dunia hii hamna aliye perfect never on earth kila mtu ana mapungufu yake kikubwa upendo basi na ukishajua kila mtu ana vimadhaifu flani na wewe pia unavyo vile vile unavumiliwa, kukwazana, kutofautiana kupo, pia kuvurugwa na kukoseana kupo kubwa ya yote msamaha na kupendana hushinda vyote.Shida ni kwamba wanataka watu perfect wakati yeye mwenyewe ana mapungufu.
Ukitaka mtu mwema inabidi wewe mwenyewe uwe mwema na wala sio suala la kuoa wake wengi.
Haleluya!Unaweza kusema "nireteeni" mwingine huyu namuacha kisa tu hamuelewani vitu vidogo vidogo, ukaletewa zigo la misumari hata kulinyanyua huwezi.
I'd still marry her regardless!
Hata iweje, nitakuoa tena na tena!Haleluya!
Usiniibie bwana, niko njiani naelekea Sumbawanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata iweje, nitakuoa tena na tena!
Mkeo mwenye ngoma huyo [emoji28][emoji28][emoji28] ambaye nae anaua watu mahali
Nilipata furushi mwenzio [emoji16][emoji16][emoji16]Ngosha hawanaga mambo hayo!! Unakwama wapi?
Aaah hakuna mwanamke furushi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipata furushi mwenzio [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa.Na dunia hii hamna aliye perfect never on earth kila mtu ana mapungufu yake kikubwa upendo basi na ukishajua kila mtu ana vimadhaifu flani na wewe pia unavyo vile vile unavumiliwa, kukwazana, kutofautiana kupo, pia kuvurugwa na kukoseana kupo kubwa ya yote msamaha na kupendana hushinda vyote.
N. B kuna wale watu kazi yao huwa ni kukwaza wengine makusudi kuumiza wengine bila kujali hisia wala utu hao ni wabinafsi bora waachwe dunia iwafunze na wao huwa rahisi kuona mapungufu ya wengine
Kwahiyo upo solo?Nilipata furushi mwenzio [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787]Sio kama hii
Hata mimi 12 years siwezi kumwacha kamwe. Huwa nayatafakari mazuri yake tuu. Sikubali kabisa kupoteza muda eti kufikiria mapungufu yake.... Maana mazuri yake ni mengi mno kuliko mapungufu.Na dunia hii hamna aliye perfect never on earth kila mtu ana mapungufu yake kikubwa upendo basi na ukishajua kila mtu ana vimadhaifu flani na wewe pia unavyo vile vile unavumiliwa, kukwazana, kutofautiana kupo, pia kuvurugwa na kukoseana kupo kubwa ya yote msamaha na kupendana hushinda vyote.
N. B kuna wale watu kazi yao huwa ni kukwaza wengine makusudi kuumiza wengine bila kujali hisia wala utu hao ni wabinafsi bora waachwe dunia iwafunze na wao huwa rahisi kuona mapungufu ya wengine
Nimejibu sema we si kipanga!!!humu asilimia kubwa wanajuta kufunga ndoa hizi za kirumi ambazo ni ndoano kwao!!!!Kama ni mtihani ungepata 0%
Haujajibu ulichoulizwa.