Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

3D ANSWERS HAZITAKIWI HAPA
 
Uko sahihi na uko matured enough, no one is perfect loh, but case za uzinifu uliokubuhu ni vizuri kila mmoja achukue hamsini zake.
Ni kweli. Ila mimi naamini kuwa uanaume ni pamoja na kuyashinda matamanio yote yanayopelekea kukosa uaminifu kwenye mahusiano. Nitajiitaje mwanaume wakati hata kucontro mihemuko yangu ya kimwili inanishinda?? I believe any strong man hawezi kuangushwa kirahisi rahisi eti na mwana mke.. No unless ameamua mwenyewe. Naamini uzinifu ni maamuzi na si udhaifu. Kila mtu Mungu ameemuumba na uwezo wa kuchagua jema au baya akiwa na akili timamu. Hakuna kisingizio chochote. Mungu alishaumba akakamilisha kazi yake hakuna mwana damu anayeweza kumkosoa eti alikosea... Sheria zake zote ni kwa faida ya mwana damu mwenyewe. Na tunapozivunja lazima kuwe na consequences kwetu wenyewe. Hivyo mwanaume kuishi kiaminifu anaweza ni maamuzi tuu. Anybody can. Akitaka. Vingine vyootee ni visingizio tu.
 
Sijui nisemeje zaidi ya kukuombea kila lenye kheri kwako weww na familia yako maana dunia ya sasa ukisema mbele za watu kua unajivunia mumeo sio mzinifu watu watakuzodoa kwa maneno wakisema hakuna kitu kama hicho, oh sijui mwanaume huyo hajazaliwa. Hili hua nalipinga kweli nikiamini vile alivyotuumba mwenyez Mungu ametupa akili na uwezo wa kujua zuri na kuacha baya sasa kazi ni kwetu kuamua tunataka nini. Sasa wengi hujifariji sababu may be in 10 men/ women 2 waaminifu basi watu huona haiwezekeni.
Tujue tu halali ni halali hata dunia nzima ikiacha kufanya haitokua kamwe haramu.
 
Amina. Asante Dada. Mungu akujalie yote mema unayoyahitaji katika maisha yako. Ni kweli ipo hiyo kasumba eti hakuna mwaminifu eee ina Maana Mungu amekufa?? Kama Mungu yu hai basi waaminifu watakuwepo mpaka kiama.
 
Kumchagua nitamchagua yeye ila kwenye mambo ya kuoana ndio sitokuwa tayari.
 
I agree with you
 
Hahahaha vituko vya jf bana munachekesha kwel yan,, konamanisha ote wamechoka ndoan hahaha
Kichwa cha habari chahusika.

Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…