Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

T 59, 57, 72 n.k
 
Inategemea opareta mwenye kaiset viti hiyo pantsir mbona imetungua drone nyingi tu huko syria hata muda huu urusi inazi inazi fatilia drone za ukraine kwa kutumia buk m2 tor
Tafuta kill to loss ratio baina ya Pantsir na hizo Bayraktar za Uturuki. Unadhani US, Russia, China kwanini wanawekeza kwenye anti drone technology. Israel ndio yuko vizuri kwenye hiyo ila Raytheon iko na testing ya Coyote itakuja kufanya vizuri. Yani Mchina alete drone swam za bei ndogo kabisa zile afu wewe ulete Pantsir?
 
Magufur tokea aingie madarakan hakununua vifaa vya ulinz hata bastora moja
 
Acha ujinga na ujuaji usio na maana, yaani ili uonekane nawe unajua kitu
 
Heshima yako mkuu!

Kabla sijasoma post yako hata mimi nlichangia hoja hapa kuwa kuna nchi kama Kenya na Ethiopia. Hizi nchi ktk ukanda wetu zimepiga hatua kubwa mno ktk uwekezaji jeshini.

Hatuwez leo kusema tuna kikosi bora kwa kuwa tuliwapiga M23 au waasi wengine, ilishawahi kutokea miaka ya nyuma Tz tukashika namba ishirin na kitu kwenye vikosi bora ulimwenguni, watu tukasifia mno.

Lakini huwez amini mkuu, China, Korea zote mbil n.k hawamo mle ndan, je kusema sisi ni bora kulia wao? Tumekuwa watu wa kusifia hiki chombo lakini kiuhalisia hakina sifa ambazo zinazo.

Kwa zama hizi tuna jeshi la kawaida mno, tena tusije thubutu jifananisha na majeshi mengine hapa Afrika.
 
kwanza maonyesho ya jeshi yana maana gani?
 
Nyuma ukilinganisha na NANI au NCHI GANI!? Wacha maneno lete mifano hai, tuachane na mihemuko kwenye masuala nyeti na ya kizalendo.
 
Mleta mada hawa kina kimasihara watakupinga ila fatilia ID ambazo hujadili silaha humu JF. Pale hakuna silaha za maajabu, muwe basi angalau mnaangalia na maonesho ya majirani kama Kenya ili mlinganishe maana si mnasema majirani ni size yetu
Sisi tuna mavifaru ya kawaida, watu wana Armata huko, watu wana Apache, watu wana Sukhoi, tena wanazifanyia Parade, sasa jiulize hazina yao wana nini?

Kenya imetupiga hatua kubwa ktk hizi mambo, huu ni ukweli mchungu. Tunajaribu kufatilia hata Jeshi la Majini la Kenya tunaweza kuelewa.
 
iyo picha ya pili kutoka chini ni anti aircraft gun? Dunia ya sasa AA batter

Waasi wa yemen wanazitungua high tech drone za saudia kwa kutumia buk zilizotumika kwenye vita ya iran na iraq kuhusu mbabe wa ant drone sidhani kama kuna taifa linaifikia iran hata historia inazieleza kati ya irna na israel nani kazishusha drone nyingi tena zenye high tech hivi unaijua operesheni safina linalopaa drone za hezbullah zilovyo penya mpaka kwenye vinu vya nuke vya israel?
 
Mbongo ni mtaakamu wa kila kitu.

Kina Yericko Nyerere ni wataalamu wa Ujasusi
 
Siyo comment yangu Bora,

Ila usiingilie taratibu za kijeshi,unadhani ni vyema kuonesha silaha zako wakati humjui adui yako ni nani
Mambo hayo ni ya kishamba na ya kizamani. Uganda wapo SU-30 wanaionesha tena kila mmoja anaiona.
Kenya wanaonesha silaha za kila aina. Rwanda nao wanaonesha silaha.

We are weak. Hatuna silaha za kutisha. Mpaka jeshi linaonesha madaraja kweli!?
 
Hawawez kukuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…