Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

ndio uzuri wa Tanzania..

Kila Mtanzania ni dalali..
Kila Mtanzania ni tapeli.
Kila Mtanzania Mwanajeshi.
Kila Mtanzania lawyer.
Kila Mtanzania Mhasibu.
Kila Mtanzania mwanasiasa.
Kila Mtanzania Engineer.
Kila Mtanzania Tajiri hapa JF.
Kila Mtanzania Komando.
Kila Mtanzania mtalaa wa siasa.
Kila Mtanzania Usalama wa Taifa..
Wabongo ujuaji mwingi

Ova
 
Oi there was no need for going the extra mile bruh!

Raia wamekalisha masaburi tu wanadhani hii amani iliyopo ni burebure tu.

Acha waamini kuwa hamna chochote tu, vijana wanachojua ni ubishi wa chadema na ccm tu bladifaken kabisa!
Sawa Mkuu, nimetii amri nitaishia hapa tu sitaendelea. Dhumuni ilikuwa ni kuwaweka sawa kuwa jeshi lao lipo makini tofauti na wanavyolifikiria.
 
Hayo mawazo yako ila ukweli ni kwamba Tanzania huwa hawaonyeshi silaha zake mpya waziwazi. Kuanzia sasa ufahamu hilo!View attachment 2038324
Baada ya hii ndiyo yakafanywa manunuzi ya silaha (picha za awali nilizo kuwekea juu). Mi 17 zilinunuliwa zikiwemo air defensive system S-300 kutoka Russia na hizi nilizozitaja ni baadhi tu.
Duh unajua ulichokiandika!?
 
Hizo cougar zilinunuliwa toka enzi za JK.

Zitatokea figisufigisu, nikisema hivi nadhan unaelewa mzee mwenzangu, utawala wa JK uligubikwa na mambo hayo.

Zoezi likasimamishwa, wakasubir ngoma ipoe, ilipopoa ndo wakazileta. So ni enzi za JK manunuzi ndipo yalipofanyika ya hizi Cougar, na zilikuwa 6.
Order zilikuwa ziwe 6? Taarifa niliyosoma zilikuja mbili Cougar na Super Cougar. Labda mkataba ulisema extension ya order itatoka baadae
 
Wanaume wakiwa wanaongea nenda jikoni kaandae chakula. Hapa hatuongei umbea.
Kama mwanaume mwenyewe ni wewe basi huna tofauti na mbuzi labda na huo uume tu, ila huna akili, useless creature
 
Sahv tumekuwa taifa la kulalamika,kupondaponda,umbea,michambo tu

Ova

acha kabisa, ndio maana wanigeria, wacameroon wasenegal, wakenya, waganda, wazambia wameligundua hili chaka wanamiminika balaa
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Ulitaka silaha ipi uletewe nyumbani kwako?!
 
Kinachotokea wakati wa vita huwa ni siri. Silaha zinazooneshwa hapo huenda usizikute kabisa vitani. Lakini vita itaendelea kwa kununua silaha usiku na kuingiza uwanja wa vita halafu ukashangaa mtanange wake.
Wewe ndio muongo kupindukia. Unaona jinsi ambavyo dereva wa Fuso atapata ugumu kumwambia shika semi uendeshe mpaka Burundi? Sasa huo ugumu ni mdogo sana kulinganisha na tank driver wa T-59 ambayo ni type ya 1960s alafu umwambie aendeshe model ya 1990s. Silaha zinatengezwa kiasi kwamba ambaye hajafundishwa hiyo silaha haitumii. Kwenye kununua silaha kuna mkataba wa kufundisha na kutoa spares, South Africa walinunua Saab Jas 39 Gripen fighters miaka ya 2010s mwishoni ila mwaka huu wameziground kisa hawana spares na training inasuasua. Syria alinunua air defence kutoka Russia ila mafunzo ya kuzitumia yalizidi miaka miwili. Hapo kama ni adui amesubiri umalize mafunzo?

Kwanza huwezi nunua silaha leo ukapewa leo. Hizo J-7G tuliagiza mwaka 2012 zikaja 2014. Kwa nini msiache kuongea ambayo hamjui. Eti kombe la dunia linaanza mwezi huu, alafu wewe ndio unatafuta wachezaji kwenye vilabu
 
Order zilikuwa ziwe 6? Taarifa niliyosoma zilikuja mbili Cougar na Super Cougar. Labda mkataba ulisema extension ya order itatoka baadae
Order zilikuwa ni 6, niamini mimi mkuu.

Watu wana vitega uchumi vyao, sasa hivi maslahi yamewekwa mbele mno ktk hivi vyombo.
 
Watu huko nchi za mbali unaweza kuta mtu Koplo, Sajent ana degree au hata Masterz ama ana taaluma nzito mno.

Hapa kwetu ukiwa na Degree lazima ubebe manyota, ila wapiganaji ni wale darasa la 7, form 4 failures n.k sasa umakini ktk field unakuwa wapi?

Unaweza ukachukua maaskar wanne wenye elimu zao kisha ukawaringanisha na wacheza ngoma 4? Yaani mtu anavaa kombat kisa ana taaluma ya kucheza ngoma, kuchonga vinyago, fundi bomba n.k
Tukibahatika kuwa na jeshi kama la Ujerumani ya Weimar Republic itakuwa vizuri. Pale WW1 sijui makamanda wa jeshi waliwatoa wapi. Yani Ujerumani haijawahi kuwa na makamanda wazembe. Battle zote za WW1 sijabahatika kuona battle ambayo Ujerumani kapoteza wanajeshi wengi kuliko adui na wakati alikuwa kwenye ardhi zao
 
Nimetazama maazikisho ya miaka 60 ya Uhuru. Kwa silaha tulizoonesha zinanipa wasiwasi na uwezo wa jeshi letu.

Vitu vingi vilivyooneshwa ni silaha zilizotumika kipindi cha USSR.
Kuna BM 21. Kwa kweli tunatakiwa Ku modernize jeshi letu. Bado lipo nyuma sana.
Nyuma kwa kulinganisha na nani. Mnataka muwe kama Marekani au Egypt au South Africa. Unataka tununue F 35 au F 22 raptor au SU 57 au S 400. Who is ur Potential enemy??.

Utasikia oooh Rwanda kanunua hiki na kile, Mara KE kanunua hiki na kile.

System za nchi zinajua Kazi zao. Tuwaamini
 
Nyuma kwa kulinganisha na nani. Mnataka muwe kama Marekani au Egypt au South Africa. Unataka tununue F 35 au F 22 raptor au SU 57 au S 400. Who is ur Potential enemy??.

Utasikia oooh Rwanda kanunua hiki na kile, Mara KE kanunua hiki na kile.

System za nchi zinajua Kazi zao. Tuwaamini
Tunawaamini but we need to modernize our army.
 
Back
Top Bottom