Kijungu Moto
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 307
- 491
Rc acha nilipe heshima yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hao waliotutawala wanawapokea wawekezaji wa bandari, ndio utambue sasa kuwa dunia ina mabadiliko yake na siku zote yanaanzia kwenye maono binafsi.Hiyo sio hoja mkuu, kwa maana nyie ndio mliodai ya kwamba sasa wageni waondoke na mjiendeshe wenyewe miaka ya 1960s ndio mkaita harakati za uhuru. Kiko wapi sasa?? Mliwafukuza ila sasa mnaomba warudi??
Alafu kwanini iwe bandari tu. Mbona hata TRA hakuna ufanisi na hamjampa mwekezaji??
Sawa, tusubiri kupitishwa mabadiliko ya sheria ya kulinda maliasili sio?Dp world wapo pale pale .!!
Uwekezaji ni lazima kwa sababu tayari baadhi ya sehemu zishaanza kufanyiwa mabadiliko .Sawa, tusubiri kupitishwa mabadiliko ya sheria ya kulinda maliasili sio?
kwny movie moja ya zamani sana Mwarabu Kavua kikoi akavaa Msuli akanyoa ndevu akarudi kavaa sunglasses majuha wakatangaza ushindiKwamba Dp world kaondoka? [emoji23]
Nani kapinga uwekezaji? Kinachopingwa ni mkataba wa kinyonyaji na wa kimangungoUwekezaji ni lazima kwa sababu tayari baadhi ya sehemu zishaanza kufanyiwa mabadiliko .
Uwekezaji ni lazima .Nani kapinga uwekezaji? Kinachopingwa ni mkataba wa kinyonyaji na wa kimangungo
Alama 4 za kanisa la kweliAlama nne za Kanisa:
[emoji830]︎ moja
[emoji830]︎ takatifu
[emoji830]︎ katoliki na
[emoji830]︎ la mitume
Ikiwa itatokea kama mnenaji alivyo malizia, basi Spika na Bunge lake wamepoteza hadhi ya kuwa mjengoni, na kwa hiari yao waondoke, na pili Mahakama Kuu nayo ijitahmini na watupe mrejesho Kama wanaona ni haki nao kuendelea kukaa na kutafsiri Sheria.Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Hatukatai KERO zipo lukuki, kinachopingwa na wataaalam wetu kina shivji jaji walioba na wataaalam wengi wa sheria za mikataba ni baadhi ya masharti ni mabaya Kwa mno Kwa nchi, hatupingi uwekezaji tunahitaji mno ila usiwe kitanzi Kwa nchi kama kesi ambazo Tanzania inashindwa na kulipa Kila LeoWengi wanaoandika humu JF hawana biashara yoyote pale bandarini, hawajui wale wenye kusafirisha mizigo wanakutana na kero zipi katika michakato ya shughuli wanazofanya.
Kulekule zilopokwenda pesa za RADA[emoji86][emoji85]Vipi zile hela walizohonga dp world kwa wauza bandari, zinarudi kwa mfumo upi!
Aende wapi? DP world ni dude moja kuuuubwa. Halitishwi na kalele za walala hoi.Kwamba Dp world kaondoka? 😂
Utapigaje vita umasikini wakati unashinda kwenye mitandao?Hivi nchi yetu ina Wabunge kweli?
Wabunge wanao ishauri Serikali na kuisimamia.
Wabunge wanageuka kuwa Machawa wa Kiongozi.
Nchi za Kiafrika zitaendeleaje kama hali ndio hii.
Kila mtu lazima awe Chawa wa Mama.
Tuupige vita sana Umaskini.
Usicheze na BasutaMaaskofu elimu ipo na wanauzungu fulani sio wale kenge wa jangwani wanalalamika kila kitu
Mkuu Mwande, Mwande na Mndewa, kitu ambacho kinafanyika kwa process, wakati process inaendelea, usijipe matumaini hewa kuwa TEC wamemaliza kazi!, walichofanya TEC ni kutimiza tuu wajibu wao kwa kutoa maoni yao kuhusu DPW na Bandari zetu, maoni hayo yatachakatwa na ama ni kweli yakasaidia, ama yakapuuzwa!. The process still goes on, it's not over yet until it's over!. Kwanza kuhusu ule waraka Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? hivyo umepuuzwa!. Kwa kukusaidia tuu, ni ukae ukijua mchakato wa DPW na Bandari zetu unaendelea! Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGANdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.