Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.
Kukataa jambo wala sio kujiabisha bali ni msimamo wa dini huka
 
Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
Qu'ran sio kitabu cha historia ukitaka hayo majina tafuta vitabu vya historia usome utayakuta
 
Qu'ran sio kitabu cha historia ukitaka hayo majina tafuta vitabu vya historia usome utayakuta
Sasa kama Qur’an haina maelezo muhimu ya kihistoria kama majina ya wafalme, mitume wa Yesu, nyakati, na matukio ya msingi je, inakuwaje iwe muongozo kamili wa mwanadamu? Muongozo wa kweli lazima uwe na ukweli wa kihistoria, majina, matukio, na muktadha kamili ili mwanadamu afahamu alikotoka, alipo, na aendako.
 
Naomba jibu moja tu achana na tantalila

JE UNAAMINI KUWA YESU NI MUNGU?
Ndio, naamini Yesu ni Mungu sio kwa mapokeo au hadithi za watu, bali kwa ushahidi wa maandiko yenyewe.

Biblia inasema wazi

👇👇👇👇👇👇

🔹 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." (Yohana 1:1)

🔹 "Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu." (Yohana 1:14)
Huyu Neno ni Yesu Kristo.

🔹 "Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, nao watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi." (Mathayo 1:23)

🔹 "Tomaso akamjibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!" (Yohana 20:28)
Yesu hakumkataa, maana ni kweli.

Niseme wazi, siamini tu kwa sababu mtu kaniambia, naamini kwa sababu maandiko yenyewe yanasema Yesu ni Mungu.
 
1. Kuna watu wengi sana wanaitwa Imanuel sasa hao nao sijui ni Mungu?- Nikukumbushe tu kuwa kama Immanuel lingekuwa ni jina la Mungu basi ingekuwa Marufuku kwa mwanadamu kuitwa jina hilo!.

2. Hapo Mwanzo palikuwepo na neno , ni maneno ya mwandishi mwenyewe ambaye waandishi wa biblia wameyanasabisha na Yohana na wala si maneno ya Yesu mwenyewe na Yesu hajawahi kutamka maneno ya aina hiyo.

3. Yesu kutomkatalia Tomaso haimaanishi kamkubalia. Ujinga wa Tomaso si hekima ya Yesu.

Bali Yesu alimuita "BABA" kuwa ndiyo Mungu wa Kweli na wa Pekee na kwamba Yesu mwenyewe katumwa na "BABA". Bila shaka unaelewa neno "PEKEE" maana yake nini.

Na Yesu akasema kuwa anatenda mapenzi ya BABA tu, na asikiavyo ndivyo ahukumuvyo kwa maana anafanya mapenzi ya "BABA" na si mapenzi yake binafsi.

Kama unaamini Yesu ni Mungu basi umekwishakufuru, tubu umuamini Mungu wa kweli na wa pekee aliyemtuma Yesu.
 
Muungwana watu wa Arabia wakiingia kwenye mfungo utawasikia wakisema Sasa ni muda wa kufungia majini na mashetani...

Human animal anaendeshwa na silka(seven heads) ambazo juu yake anakaa mwanamke(tamaa), unaposikia waislamu wakiimba mashetani basi elewa huwa Wana maana ya silka, kwao silka ni shetani, ndio maana huwa Wana funga kula, ngono, na mambo mengine ya kinyama....

We hate poems na sehemu kubwa ya vitabu vya dini ni poems, na ni kutokana na kwamba poems lack aesthetic, siku tukiacha kumfagilia kipepeo kuliko mende basi maneno hayatatusumbua..

Ukiwa unasoma kitabu Cha Mungu,
Jitahidi uzishike zile amri kumi, lakini mwanzo tuu wa kitabu waungwana huwa wanazini, Kwa Adam na Hawa ili azaliwe kaini na abeli.

Usiue, lakini waungwana watajichongea sanamu akilini linaloonyesha kaini akimuuwa abeli,

Uliwahi kujiuliza ni kwanini wakatoliki huwa hawaruhusu padre aoe na wakati wao ndio wanafungisha ndoa takatifu, akili kumkichwa, ukijua kufuga mnyama, maisha yatakuwa rahisi sana
 
Ndo ujue kuwa una hoja ila ulikurupuka na kuja na hoja yako dhaifu eti zinarushwa nyota 😃

Nenda kwa mtoto wa ilmu ya msingi akuelimishe sayansi ya kimondo huwa vipi, yaani wewe hapo na likanzu na mindevu mumekaa mnaaminishana vimondo ni mizinga dhidi ya shetani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nenda kwa mtoto wa ilmu ya msingi akuelimishe sayansi ya kimondo huwa vipi, yaani wewe hapo na likanzu na mindevu mumekaa mnaaminishana vimondo ni mizinga dhidi ya shetani 🤣🤣🤣🤣🤣
Hivyo ndo ilivyo halafu si ulikuja na hoja kuwa vimondo ni sayari na havitupwi sasa imepotelea wapi maana naona unajifikisha kwenye vitu vingine kabisa 😃
 
MAKAFIRI WOTE NAWAONA KINYAA MNANUKA MINDUKU YENU HAISAFISHWI AU NDIO MNAMUIGA UCHAFU BWABA WENU MFUGA RASTA ALIEPIDIDIWA NA WAISRAHELL
 
Nenda kwa mtoto wa ilmu ya msingi akuelimishe sayansi ya kimondo huwa vipi, yaani wewe hapo na likanzu na mindevu mumekaa mnaaminishana vimondo ni mizinga dhidi ya shetani 🤣🤣🤣🤣🤣
Kafiri unatia kinyaaa pamoja na basha wako mfuga rasta
 
Unamchukulia Mungu katika ubinadamu?
Bosi jamaa wana akili ngumu sana sana🤣
Naomba waulize hivi:

Wanaamini Mungu alimtokea Nabii Musa kwenye Bonde la Tua na kumwamrisha avue viatu sehemu takatifu:

Na hadi leo wanavua viatu misikitini ili kutii lile agizo:

Sasa waulize:
1. Hivi Mungu ni kijinga cha Moto?
2. Hivi Mungu alivyo tokea kama kijinga cha moto, mbinguni alimwacha nani ?
3. Hivi kile kijinga cha moto kilivyo zimika inamaana Mungu anazima ?
4. Hivi Mungu anawaka vichakani ?
.......
Hayo ndiyo maswali ya Kiislamu islamu ?

Mungu wa Biblia ashajitokeza mala kadha kwa maumbo mbalimbali likiwemo umbo la binadamu, umbo bora kabisa na walio wake walimtambua:

Tunapo sema Yesu ni Mungu hatumwangalii yule mtoto wa Mariamu:

Hebu tuone hapa Mungu alivyomtokea Nabii wake naye akamtambua:

Mwanzo 18:1
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
5 Nami nitaleta chakula kidogo, mkaburudishe moyo, baadaye mwendelee, iwapo mmemjia mtumwa wenu. Wakasema, Haya, fanya kama ulivyosema.
6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
8 Akatwaa siagi na maziwa, na ndama aliyoiandaa, akawaandikia mbele yao, akasimama karibu nao chini ya mti, nao wakala.
9 Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.
10 Akamwambia, Hakika nitakurudia wakati huu huu mwakani, na tazama, Sara mkeo atapata mwana wa kiume. Sara akasikia mlangoni pa hema iliyokuwapo nyuma yake.
11 Basi Ibrahimu na Sara walikuwa wazee, na umri wao mkubwa, na Sara alikuwa amekoma katika desturi ya wanawake.
12 Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake, akisema, Niwapo mkongwe, nitapata furaha, na bwana wangu mzee?
13 Bwana akamwambia Ibrahimu, Mbona Sara amecheka akisema, Mimi kweli nitazaa mwana, nami ni mzee?
14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda Bwana? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
15 Akakana Sara, akisema, Sikucheka, maana aliogopa. Naye akasema, Sivyo, umecheka.
16 Kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodoma. Ibrahimu akaenda pamoja nao awasindikize.
.........
Basi utawasikia wanauliza;
Mungu anakula ndama
😆😆😆
Sasa utamu wa ndama aliuweka nani ?
Na kwanini asiweze kula kama anataka kula:
 
Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.

Qur'an haijamtaja Khadija mke wa kwanza itakuwa hao akina Esta?.

Hata hao wanawake unaowasema kutajwa katika Biblia, hawajatajwa na Mungu mwenyewe bali wametajwa na walioandika historia za wana wa Israel/Biographies ambazo nyie mmechukua kama sehemu kuu ya mafundisho ya Biblia nzima.

Nionyeshe popote ndani ya Biblia Mungu akiita jina la Rebecca au Leah
 
Mke wa Adam ni nani ?
 
Back
Top Bottom