Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Nimependa sana hii Harpazo

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
 
Unamchukulia Yesu kama Muhammad,?

Yesu ni Mungu aliyechukua mwili wa kibinadamu (Yohana 1:1, 14). Alipokufa msalabani, kilichokufa ni mwili wake wa kibinadamu, si uungu wake.

Mungu hawezi kufa kwa asili yake ya uungu

1 Timotheo 1:17 “Mfalme wa milele, asiyeweza kufa...”

Yesu alisema

“Ninautoa uhai wangu ili niutwae tena... hakuna mtu aniondoleaye, bali nautoa mwenyewe” (Yohana 10:17-18).

Hii inaonyesha alikuwa na mamlaka kamili juu ya maisha na mauti.
Mkuu Ahsante. Umeniongozea kitu katika imani yangu kwa Yesu Kristo. 🙏🙏
 
Quran haielewi hata Utatu wa wakristo, inasema wakristo wanaamini Mariamu ni mmojawapo wa nafsi katika utatu wakati hakuna kitu kama hicho kwa madhehebu yote ya kikristo. Quran 5:73-75

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.

Covax

Hakuna mahali popote Qu'ran inamtaja Mariamu katika dhana ya utatu mtakatifu huu wa Wakiristo, bali inatambua kuna Wakiristo katika nyakati fulanifulani wamewahi kumuevaluate Mariam kama Mungu. Ukweli huu unaweza kuupata katika article hii ya kisomi.

Soma hii article.


Kwa hiyo Qur'an iko sahihi inapozungumzia Wakiristo waliokuwa wanamuona Maria kama Mungu Japo kiukweli Maria siyo Mungu.
 
Ngoja nivute kiti nikae nicheke hapa. Kinawaka sasa hivi
 
Waislamu,zama hizi za teknolojia dini yenu itawekwa uchi

Mkipotea mmejitakia
 
Unaongea kirahisi sana ,binafsi nimekuwa muislamu nikaritad,

Uislamu ni dini Haina misingi thabiti ya kujisimamia ,ni dini imejengwa kwa propaganda sana

Biblia ni kitabu cha kale chenye uthibitisho mkubwa wa kihistoria. Kuna zaidi ya manuscript 5,800 za Kigiriki, 10,000 za Kilatini na maelfu mengine kwa lugha za zamani kama Coptic, Syriac, Armenian n.k. Mfano, Codex Sinaiticus ni nakala kamili ya Biblia ya karne ya 4 AD,

Codex Vaticanus ni ya karne ya 4 pia, na Dead Sea Scrolls zina sehemu za Agano la Kale zilizoandikwa kabla ya Kristo kuzaliwa, hadi karne ya 2 K.K.

Hizi zote zinafanana kiuhakika na Biblia tunayosoma leo.

Je, Qur’an ina wapi hata nakala moja ya kale ya karne ya 7 yenye kuthibitisha asili yake? Haipo,
isipokuwa Qur’an ya Uthman aliyeteketeza nakala zote tofauti ili kubaki na moja aliyochagua. ,cha ajabu hata hiyo ya Uthman Leo haipo popote pale ,Je unawezaje kumshawishi mtu kama Mimi awe muislamu?😂😂

Hii ni historia, si chuki.

Halafu iweje tuiamini Qur’an ambayo asilimia kubwa ya simulizi zake zimekopiwa kutoka vitabu vya Apokrifa vya Wayahudi na Wakristo waliokataliwa?

Mfano, hadithi za Yesu kuumba ndege kwa udongo zimo kwenye Injili ya Watoto ya Tomaso si sehemu ya Injili halali.

Hadithi za Abraham na Samawati saba, pia ni hadithi kutoka Talmudi ya Kiyahudi.

Qur’an haikuja na kitu kipya ilikusanya mapokeo yaliyokuwapo na kuyapachika katika mfumo wa Kiarabu.

Kuhusu Utatu, Biblia haifundishi Mungu watatu bali Mungu mmoja aliyejifunua kwa sura tatu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.

Hii haipingani na umoja wa Mungu. Yesu hakujibuni bali ametabiriwa.

Yeremia alitabiri Agano Jipya (Yeremia 31:31),

Danieli alitabiri muda wa kuja kwa Masihi na kuuawa kwake (Danieli 9:26),

Isaya alisema wazi kuwa Masihi atauawa kwa ajili ya makosa ya watu (Isaya 53),

na Daudi, miaka 1,000 kabla ya Kristo, alisema

“Walinichoma mikono yangu na miguu yangu” (Zaburi 22:16),

na pia alisema

“Hutakia nafsi yangu kuzimu; wala hutamwacha mtakatifu wako aone uharibifu” (Zaburi 16:10)

huu ni unabii wa kufufuka kwake.

UNAWEZAJE KUNISHAWISHI MTU KAMA MIMI NIMUAMINI MUHAMAD NA QURAN ?

Yesu kufa msalabani ni kiini cha injili. Biblia inasema

“Kwa maana alifanywa dhambi kwa ajili yetu yeye asiyejua dhambi, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika yeye” (2 Wakorintho 5:21).

Hii ni neema, si udhaifu. Kama kila mtu atabeba mzigo wake, basi hakuna haja ya rehema wala msamaha lakini kwa Yesu, Mungu mwenyewe alivaa mwili ili kutupatanisha naye.

Sasa ni haki kweli kuyaacha maneno ya manabii waliotabiri kwa karne nyingi kabla ya Yesu, kisha nimwamini mtu mmoja tu TAPELI mudy aliyejitangaza miaka 600 baadaye bila ushahidi wowote ?
Biblia asilimia 80 ni stori za wanywa kahawa
 
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota inarushwa kama mzinga, jameni nyota ni sayari, sio kitu cha kurusha rusha dhidi ya shetani, kwani yuko wapi hadi arushiwe nyota.
Halafu mnasema uislamu umebuniwa kurekebisha Ukristo au kurekebisha dini ulizokuta. Yaani Mungu asubiri mamia ya miaka aje kuanzisha dini nyingine na kitabu chenye mambo yaliyochanganyikiwa.

Quran 67.5
And We have certainly beautified the nearest heaven with stars and have made [from] them what is thrown at the devils and have prepared for them the punishment of the Blaze.
Ubongo wako ukisha kuwa na mikanganyiko kila kitu utaona hakiko sawa broo
 
Nimependa sana hii Harpazo

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
Pamoja sana
 
Hukuwa muislam kamili ulikuwa mnafki ndio maana ukarudi katika dini yako.
😂😂 Mbona una hasira ?

Mimi nimezaliwa kwenye uislamu,nilipojua ukweli sikuangalia cha baba wala mama ,nikawaambia nawaachia uislamu wenu

Binafs hata ningezaliwa Afghanistan,naimani ningebadili tu dini

Uislamu upo wazi sana ,ukiamua kuusoma utagundua mengi ya ajabu

Yesu akuongoze umpokee kabla hujafa
 
Unamchukulia Yesu kama Muhammad,?

Yesu ni Mungu aliyechukua mwili wa kibinadamu (Yohana 1:1, 14). Alipokufa msalabani, kilichokufa ni mwili wake wa kibinadamu, si uungu wake.

Mungu hawezi kufa kwa asili yake ya uungu

1 Timotheo 1:17 “Mfalme wa milele, asiyeweza kufa...”

Yesu alisema

“Ninautoa uhai wangu ili niutwae tena... hakuna mtu aniondoleaye, bali nautoa mwenyewe” (Yohana 10:17-18).

Hii inaonyesha alikuwa na mamlaka kamili juu ya maisha na mauti.
Mungu wenu kasulubiwa msalabani na kichupi na viumbe alie waumba mwenye ili awasamehe zambi zenu, kuliku kuna haja gani mungu kujidhalilisha si ange wasahemehe tu.
 
Mungu wenu kasulubiwa msalabani na kichupi na viumbe alie waumba mwenye ili awasamehe zambi zenu, kuliku kuna haja gani mungu kujidhalilisha si ange wasahemehe tu.
Tuliza munkari kijana

Taratibu utampokea Yesu ,alimpokea binamu yake Muhammad,itakuwa wewe
 
Mungu wenu kasulubiwa msalabani na kichupi na viumbe alie waumba mwenye ili awasamehe zambi zenu, kuliku kuna haja gani mungu kujidhalilisha si ange wasahemehe tu.
Unajua ni kwa nini mwamedi alizikwa chumbani kwa Aisha?
 
😂😂 Mbona una hasira ?

Mimi nimezaliwa kwenye uislamu,nilipojua ukweli sikuangalia cha baba wala mama ,nikawaambia nawaachia uislamu wenu

Binafs hata ningezaliwa Afghanistan,naimani ningebadili tu dini

Uislamu upo wazi sana ,ukiamua kuusoma utagundua mengi ya ajabu

Yesu akuongoze umpokee kabla hujafa
Mimi sio mnafki
 
Tuliza munkari kijana

Taratibu utampokea Yesu ,alimpokea binamu yake Muhammad,itakuwa wewe
Waislam hatumtambui Yesu alie sulubiwa, twa mtambua Issa bin Maryam ambae haja sulubiwa na hakuwahi kuwa mungu

Mtume Muhammad amempokea Issa sio Yesu
 
Back
Top Bottom