Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Unaongea kirahisi sana ,binafsi nimekuwa muislamu nikaritad,

Uislamu ni dini Haina misingi thabiti ya kujisimamia ,ni dini imejengwa kwa propaganda sana

Biblia ni kitabu cha kale chenye uthibitisho mkubwa wa kihistoria. Kuna zaidi ya manuscript 5,800 za Kigiriki, 10,000 za Kilatini na maelfu mengine kwa lugha za zamani kama Coptic, Syriac, Armenian n.k. Mfano, Codex Sinaiticus ni nakala kamili ya Biblia ya karne ya 4 AD,

Codex Vaticanus ni ya karne ya 4 pia, na Dead Sea Scrolls zina sehemu za Agano la Kale zilizoandikwa kabla ya Kristo kuzaliwa, hadi karne ya 2 K.K.

Hizi zote zinafanana kiuhakika na Biblia tunayosoma leo.

Je, Qur’an ina wapi hata nakala moja ya kale ya karne ya 7 yenye kuthibitisha asili yake? Haipo,
isipokuwa Qur’an ya Uthman aliyeteketeza nakala zote tofauti ili kubaki na moja aliyochagua. ,cha ajabu hata hiyo ya Uthman Leo haipo popote pale ,Je unawezaje kumshawishi mtu kama Mimi awe muislamu?😂😂

Hii ni historia, si chuki.

Halafu iweje tuiamini Qur’an ambayo asilimia kubwa ya simulizi zake zimekopiwa kutoka vitabu vya Apokrifa vya Wayahudi na Wakristo waliokataliwa?

Mfano, hadithi za Yesu kuumba ndege kwa udongo zimo kwenye Injili ya Watoto ya Tomaso si sehemu ya Injili halali.

Hadithi za Abraham na Samawati saba, pia ni hadithi kutoka Talmudi ya Kiyahudi.

Qur’an haikuja na kitu kipya ilikusanya mapokeo yaliyokuwapo na kuyapachika katika mfumo wa Kiarabu.

Kuhusu Utatu, Biblia haifundishi Mungu watatu bali Mungu mmoja aliyejifunua kwa sura tatu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.

Hii haipingani na umoja wa Mungu. Yesu hakujibuni bali ametabiriwa.

Yeremia alitabiri Agano Jipya (Yeremia 31:31),

Danieli alitabiri muda wa kuja kwa Masihi na kuuawa kwake (Danieli 9:26),

Isaya alisema wazi kuwa Masihi atauawa kwa ajili ya makosa ya watu (Isaya 53),

na Daudi, miaka 1,000 kabla ya Kristo, alisema

“Walinichoma mikono yangu na miguu yangu” (Zaburi 22:16),

na pia alisema

“Hutakia nafsi yangu kuzimu; wala hutamwacha mtakatifu wako aone uharibifu” (Zaburi 16:10)

huu ni unabii wa kufufuka kwake.

UNAWEZAJE KUNISHAWISHI MTU KAMA MIMI NIMUAMINI MUHAMAD NA QURAN ?

Yesu kufa msalabani ni kiini cha injili. Biblia inasema

“Kwa maana alifanywa dhambi kwa ajili yetu yeye asiyejua dhambi, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika yeye” (2 Wakorintho 5:21).

Hii ni neema, si udhaifu. Kama kila mtu atabeba mzigo wake, basi hakuna haja ya rehema wala msamaha lakini kwa Yesu, Mungu mwenyewe alivaa mwili ili kutupatanisha naye.

Sasa ni haki kweli kuyaacha maneno ya manabii waliotabiri kwa karne nyingi kabla ya Yesu, kisha nimwamini mtu mmoja tu TAPELI mudy aliyejitangaza miaka 600 baadaye bila ushahidi wowote ?
kama ungekuwa na akili basi ulitakiwa usiwe na dini kabisa.
bahati mbaya umebadili gereza kutoka gereza A kwenda gereza B halafu unajipiga kifua kwamba sasa uko huru kwa zile zile hekaya za Mashariki ya kati
 
Una hutaji msaada wa Kiroho na kimwili
 
Waislam hatumtambui Yesu alie sulubiwa, twa mtambua Issa bin Maryam ambae haja sulubiwa na hakuwahi kuwa mungu

Mtume Muhammad amempokea Issa sio Yesu
Isa hajawahi kuwepo ,ni myth
 
Angekuwa hajui anachokifanya ange badili maneno ya Qur’an kama ilivyo fanyika kwenye Bible
Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
 
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota inarushwa kama mzinga, jameni nyota ni sayari, sio kitu cha kurusha rusha dhidi ya shetani, kwani yuko wapi hadi arushiwe nyota.
Halafu mnasema uislamu umebuniwa kurekebisha Ukristo au kurekebisha dini ulizokuta. Yaani Mungu asubiri mamia ya miaka aje kuanzisha dini nyingine na kitabu chenye mambo yaliyochanganyikiwa.

Quran 67.5
And We have certainly beautified the nearest heaven with stars and have made [from] them what is thrown at the devils and have prepared for them the punishment of the Blaze.
Hiz tafir Za ChatGPT zinawakonga saana
 
Angekuwa hajui anachokifanya ange badili maneno ya Qur’an kama ilivyo fanyika kwenye Bible
Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
 
Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
Biblia yenyewe inamkanganyiko wa kuhusu Yesu kusurubiwa ila hilo hauoni upo kuuliza vitu vipo juu ya ufahamu wako
 
Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.
Hivi biblia alipewa nabii gani na nan muandishi wa bible?
 
Uchanganya kati ya uungu wa Yesu na ubinadamu wake.

Yesu Kristo ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu (Yohana 1:1,14).

Alikufa kwa mwili, si kwa uungu wake.

Hii ni sawa na taa kuwa na mwanga ukivunja balbu, umeme unabaki.

Hivyo hivyo, mwili wa Yesu ulikufa msalabani, lakini uungu wake haukufa kamwe, maana Mungu hawezi kufa (1 Timotheo 1:17).

Yesu mwenyewe alisema,

👇👇👇👇👇

“Ninautoa uhai wangu ili niutwae tena; hakuna mtu aniondoleaye, bali nautoa mwenyewe...” (Yohana 10:17-18).

Hiyo inaonyesha kuwa alikuwa na mamlaka juu ya mauti, jambo ambalo mwanadamu wa kawaida hana.,labda unitajia mwanadamu gani ana mamlaka ya hivo
Mungu wenu aliumba mwanadamu, dhambi na pia akajifanya mwanadum aje kusurubiwa na viumbe wake aje are kwa ajili ya dhambi slip ziumba ili kuwasamehe wanadamu “ inahitaji us*****nge wa hali ya juu hii kitu kuingia akilini “
 
Simple question yesu alisurubiwa saa ngapi kutokana na maandiko na joho la rangi gani alivishwa na mtawala kabla ya kusurubiwa
Leta hayo maandiko unayosema yanatofautina kuhusu kusulubiwa na joho

Unauliza maswali ya Sunday school ,maswali ambayo hata kina mazinge walishaacha kuyauliza
 
Uchanganya kati ya uungu wa Yesu na ubinadamu wake.

Yesu Kristo ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu (Yohana 1:1,14).

Alikufa kwa mwili, si kwa uungu wake.

Hii ni sawa na taa kuwa na mwanga ukivunja balbu, umeme unabaki.

Hivyo hivyo, mwili wa Yesu ulikufa msalabani, lakini uungu wake haukufa kamwe, maana Mungu hawezi kufa (1 Timotheo 1:17).

Yesu mwenyewe alisema,

👇👇👇👇👇

“Ninautoa uhai wangu ili niutwae tena; hakuna mtu aniondoleaye, bali nautoa mwenyewe...” (Yohana 10:17-18).

Hiyo inaonyesha kuwa alikuwa na mamlaka juu ya mauti, jambo ambalo mwanadamu wa kawaida hana.,labda unitajia mwanadamu gani ana mamlaka ya hivo

Kama aliutoa uhai ili autwae tena basi sacrifice yake siyo genuine. Ukitoa sacrifice hupaswi kukitwaa tena ulichokitoa.
 
Yesu alijitoa kama kondoo mpole asiyejibu maudhi wala kupinga wakati wa mateso yake, akitimiza unabii wa Agano la Kale. Isaya 53:7 yasema

👇👇👇👇

"Alionewa, aliteswa, lakini hakufunua kinywa chake; kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, na kama vile kondoo anyamazavyo mbele yao wamkatayo manyoya, Naam, hakufunua kinywa chake."

Mtume Petro pia anathibitisha hili katika 1 Petro 2:23

👇👇👇👇

"Alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki."

Yesu alijitoa kwa upole na unyenyekevu, si kwa kulazimishwa, bali kwa upendo mkuu ndiyo maana sadaka yake ni ya kipekee.

Kasome kwa utulivu kitabu cha WARAKA WA WAEBRANIA ,kakisome kwa utulivu
 
Kwa imani yenu huyo Isaya si anatabiri hayohayo anayoambiwa na Yesu?, kwa hiyo kumleta Isaya hapa wala hakuongezi uzito wowote ktk hoja yenu.

Hoja ni kuwa Sadaka ya Yesu siyo Genuine, kwanza alichukuua tena baada ya kuitoa ndo maana akautwaa uhai wake tena, pili hakuwa willing kuutoa ndo maana msalabani akalia Mungu wangu Mungu mbona unaniacha?- It seema hapa alisahau kuwa yeye ndo "Mungu" mwenyewe au vipi?. Hahaha

By the way hebu nijibu swali langu.

Je unaamini kuwa Yesu ni Mungu?
 
Mzee kuwa mpole utajibiwa ,wewe nakutumia kama shamba darasa

Maandiko yanaema

👇👇

Hii ndiyo siri kuu ya imani ya Kikristo

Mungu alidhihirika katika mwili 1Timotheo 3:16

si kwa kujivua uungu wake, bali kwa kuchukua ubinadamu ili kukamilisha mpango wa wokovu.

Kuhusu Isaya kumtaja Yesu ,ni kuonesha sadaka ya Yesu haikuwa jambo la ghafla, bali ilipangwa na kutabiriwa karne nyingi kabla, na kutimia kwa ukamilifu.,Ndio maana ni mjinga pekee anayeweza kumuamini Muhammad anayesema Yesu hakufa 😂😂

Isaya 53

ni unabii wa Mungu kupitia nabii wake, ulioeleza kwa ufasaha jinsi Masiya atakavyoteseka kwa ajili ya dhambi zetu.

Hii inaongeza uzito kwa sababu ni uthibitisho kuwa kile kilichotokea kwa Yesu si ajali, bali mpango wa Mungu uliotangazwa mapema.

Kuhusu kusema “Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha?”

hiyo siyo dalili ya kukataa au kutojua kuwa ni Mungu, bali ni kutimiza unabii wa Zaburi 22, na pia kuonesha uzito halisi wa mateso aliyoyapitia kwa ubinadamu wake. Daudi anasema haya miaka 1000 kabla ya Yesu ,hili nalo linaonesha ni mjinga pekee anayeweza kumuamini Muhammad anayesema Yesu hakufa 😂

Kama Mungu alikuja kwa namna ya mwili, ilimpasa aishi kama mwanadamu wa kweli na katika ile saa ya giza alipobeba dhambi zote, alihisi kutengwa kiroho na Baba, jambo ambalo linaonesha uhalisia wa sadaka yake.
 
Naomba jibu moja tu achana na tantalila

JE UNAAMINI KUWA YESU NI MUNGU?
 
Back
Top Bottom