Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

Wapi hiyo aya ya mtoa mada imesema nyota halafu pia tambua kuwa hiyo aya ya 72:28 inawazungumzia majini wabaya ambao ndio maana ya neno shetani
Inamaana hiyo Aya ya mtoa mada haina neno nyota? Au tunaosoma Quran tofauti?
 
Swali ni kwa nini afe wakati Mungu hana sifa ya kufa
Kwanza umenikumbusha kisa kinachonitoa machozi, STORY OF REDEMPTION NA STORY OF SALVATION,

Huu ni msingi wa Ukristo wakuelewa kwanini Yesu ALIKUFA msalabani,ni somo Pana sana

Mungu hakufa kwa maana ya uungu wake kufa. Hapana. Kilichotokea ni kwamba Mungu alijivika mwili (incarnation), akaingia katika historia ya mwanadamu kama Yesu Kristo Mungu Mwana ili kwa kupitia mwili huo afe kwa ajili ya dhambi za wanadamu.

Kifo kilihitajika kwa sababu ya haki ya Mungu.

Mungu ni mwenye haki, na Biblia inasema

“mshahara wa dhambi ni mauti” (Warumi 6:23).

Sasa kwa kuwa wanadamu wote wamefanya dhambi, wote walikuwa wanastahili kufa.

Lakini Mungu kwa upendo wake hakutaka tuangamie, hivyo akajitolea mwenyewe katika mwili akawa mtu asiye na dhambi, Yesu ili afe badala yetu.

Kwa nini damu ilihitajika? Katika Torati (ambayo pia Waislamu huikubali kama maandiko ya kale) , Mungu alionyesha kuwa bila kumwaga damu hakuna ondoleo la dhambi (Walawi 17:11; Waebrania 9:22).

Lakini damu ya wanyama haikuweza kuondoa dhambi kikamilifu, bali ilikuwa ni kivuli cha dhabihu kamili yaani, ya Yesu.

Ilihitajika damu isiyo na doa, yaani damu ya mtu asiye na dhambi.

Na kwa kuwa hakuna mwanadamu asiye na dhambi, Mungu mwenyewe akaingia katika mwili, akaishi maisha matakatifu bila dhambi, na kwa hiari yake akajitoa msalabani.

HUO NDIO UNAITWA UPENDO WA AGAPE
 
Inamaana hiyo Aya ya mtoa mada haina neno nyota? Au tunaosoma Quran tofauti?
وَلَقَدْ زَيَّنَّا السَّمَاءَ الدُّنْيَا بِمَصَابِيحَ وَجَعَلْنَاهَا رُجُومًا لِّلشَّيَاطِينِ ۖ وَأَعْتَدْنَا لَهُمْ عَذَابَ السَّعِيرِ﴿٥﴾

5. Na kwa yakini Tumeipamba mbingu ya dunia kwa mataa, na Tukazifanya kuwa ni makombora ya kuwavurumishia mashaytwaan na Tumewaandalia adhabu ya moto uliowashwa vikali mno.

Hayo mataa ukitumia aya ya 72:28 ndo utakuta imefafanua kuwa ni vimondo lakini hakuna aya iliyofafanua kuwa hayo mataa ni nyota
 
Ok swali langu ni kuwa baada ya yeye kufa nani alibaki kama msimamizi wa ulimwengu
 
1. Ukiristo ulileta habari za Utatu, Qur'an imekuja kunyoosha mafunzo hayo ya kipotevu na kuweka rekodi sawa kuwa Mungu ni mmoja na kwamba utatu ni imani ya kipotevu.

2. Wakiristu walidai Yesu kafa msalabani na kwa hilo eti ni ondoleo la dhambi, Qur'an inasema Yesu hakufa msalabani, na wala hakuna ondoleo la dhambi kwa mtu kufa kwa ajili ya mwingine bali kila mtu atabeba mzigo wake.

3. Wakiristu wana imani ya dhambi ya asili, Qur'an inasema Adamu alipokosa aliomba msamaha na akasamehewa.
Dini ni utapeli, acha kuzunguka na ujibu hoja ya shetani kupigwa kwa makombora ya nyota(nyota za makombora or whatever).
I'm just curious.
Shetani yupo chimbo gani na anayemlenga kwa kumpopoa na nyota yuko wapi na ni nani, je zote zinampata au nyingine zinamkosa? Zikimpata anakuwa katika hali gani, anaumia na kuugulia? Zipo anazofanikiwa kuzikwepa?
 
وَلَقَدْ زَيَّنَّا السَّمَاءَ الدُّنْيَا بِمَصَابِيحَ وَجَعَلْنَاهَا رُجُومًا لِّلشَّيَاطِينِ ۖ وَأَعْتَدْنَا لَهُمْ عَذَابَ السَّعِيرِ﴿٥﴾

5. Na kwa yakini Tumeipamba mbingu ya dunia kwa mataa, na Tukazifanya kuwa ni makombora ya kuwavurumishia mashaytwaan na Tumewaandalia adhabu ya moto uliowashwa vikali mno.

Hayo mataa ukitumia aya ya 72:28 ndo utakuta imefafanua kuwa ni vimondo lakini hakuna aya iliyofafanua kuwa hayo mataa ni nyota
Aya ninayoisoma hapa imetaja nyota ni ndefu sana ngoja nipate muda niiandike
 
1. Kuhusu wewe kuritadi, wewe siyo wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho. Kuna watu waliritadi wakati wa mtume itakuwa wewe leo!. Hiyo uliyoleta siyo hoja.

2. Ulishajibiwa kuwa Qur'an imehifadhiwa katika nyoyo na bongo za waumini tangu wakati wa mtume mpaka sasa, na wala haihitaji kuandikwa katika makataratasi. Hizi Mas'haf zilizoendikwa ni kwa ajili ya kuwasaidia wale ambao hawajaihifadhi Qur'an yote kichwani lakini Qur'an kama Qur'an haihitaji kuwa katika fomat ya kitabu cha kuchapishwa.
Mbona kama unalalamika Mimi kuritad, hata binamu wa Muhammad aliuacha uislamu

Huu utapeli wa kusema Qur'an, kuwa imehifadhiwa vichwani hakufanyi kuwa kamilifu ,jombaa

Historia inaonesha wazi kuwa Qur'an ya leo ilikubalika rasmi mwaka 1924 katika Chuo cha Al-Azhar kabla ya hapo kulikuwa na toleo la Hafs, Warsh, Qalun na mengine yenye tofauti zaidi ya 30.

Huu ni ushahidi kuwa Qur'an siyo mojamoja hata kihistoria.

Pia, Qur'an haina mpangilio wa kihistoria wala mantiki ina changanya hadithi na sheria, ina kurudia rudia bila sababu, na inavuruga historia.

Mfano, Qur'an 20:85-95 inasema Sāmirī alitengeneza ndama wa dhahabu wakati wa Musa, ilhali Samiri aliishi miaka mingi baada ya Musa.

Pia Qur'an 19:28 inamwita Mariamu "dada yake Haruni" wakati Haruni aliishi karne nyingi kabla yake.😂😂

Hii ni mifano ya mkanganyiko unaotokana na kutokuwepo kwa ushahidi wa kihistoria wala ufunuo sahihi.

Qur'an imekuta Biblia ikiwa na historia ndefu, maandiko ya kale zaidi ya miaka 2000, huku yakiwa na ushahidi wa maandiko ya kale zaidi ya 5,800 ya Kigiriki, na maelfu ya tafsiri za kale za Kiebrania, Kisiriac, Kilatini nk.

Quran imekuta watu wanajua kusoma, kuchambua, kuhifadhi maandiko kwa njia ya kisayansi.

Haikuleta chochote kipya, ila imeshindwa kujibu maswali ya msingi mtiririko wake unadhihirisha wazi ni kazi ya binadamu si ya Mungu.
 
Unamchukulia Yesu kama Muhammad,?

Yesu ni Mungu aliyechukua mwili wa kibinadamu (Yohana 1:1, 14). Alipokufa msalabani, kilichokufa ni mwili wake wa kibinadamu, si uungu wake.

Mungu hawezi kufa kwa asili yake ya uungu

1 Timotheo 1:17 “Mfalme wa milele, asiyeweza kufa...”

Yesu alisema

“Ninautoa uhai wangu ili niutwae tena... hakuna mtu aniondoleaye, bali nautoa mwenyewe” (Yohana 10:17-18).

Hii inaonyesha alikuwa na mamlaka kamili juu ya maisha na mauti.
Kwahiyo wakati anasema Mungu wangu mbona umeniacha alikua anaigiza?
 
Mbona nilikujibu umerudia Tena swali
"Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?" (Mathayo 27:46).

Huo ni unabii wa Zaburi 22:1 ulioandikwa na Daudi mamia ya miaka kabla ya tukio hilo. Yesu alikuwa akitimiza maandiko kama alivyoahidi kwamba maandiko yote yanayomhusu lazima yatimie (Luka 24:44).

Pia andiko la Waebrania 1:8-9 linaonesha kuwa Yesu, hata akiwa katika mwili, bado alikuwa Mungu Mwana, na alitambuliwa na Mungu Baba kuwa Mungu

"Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele… Umeipenda haki, na kuichukia uovu; kwa sababu hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta kwa mafuta ya furaha kuliko wenzako."
 
Mbona kama unalalamika Mimi kuritad, hata binamu wa Muhammad aliuacha uislamu

Huu utapeli wa kusema Qur'an, kuwa imehifadhiwa vichwani hakufanyi kuwa kamilifu ,jombaa

Historia inaonesha wazi kuwa Qur'an ya leo ilikubalika rasmi mwaka 1924 katika Chuo cha Al-Azhar kabla ya hapo kulikuwa na toleo la Hafs, Warsh, Qalun na mengine yenye tofauti zaidi ya 30.

Huu ni ushahidi kuwa Qur'an siyo mojamoja hata kihistoria.

Pia, Qur'an haina mpangilio wa kihistoria wala mantiki ina changanya hadithi na sheria, ina kurudia rudia bila sababu, na inavuruga historia.

Mfano, Qur'an 20:85-95 inasema Sāmirī alitengeneza ndama wa dhahabu wakati wa Musa, ilhali Samiri aliishi miaka mingi baada ya Musa.

Pia Qur'an 19:28 inamwita Mariamu "dada yake Haruni" wakati Haruni aliishi karne nyingi kabla yake.😂😂

Hii ni mifano ya mkanganyiko unaotokana na kutokuwepo kwa ushahidi wa kihistoria wala ufunuo sahihi.

Qur'an imekuta Biblia ikiwa na historia ndefu, maandiko ya kale zaidi ya miaka 2000, huku yakiwa na ushahidi wa maandiko ya kale zaidi ya 5,800 ya Kigiriki, na maelfu ya tafsiri za kale za Kiebrania, Kisiriac, Kilatini nk.

Quran imekuta watu wanajua kusoma, kuchambua, kuhifadhi maandiko kwa njia ya kisayansi.

Haikuleta chochote kipya, ila imeshindwa kujibu maswali ya msingi mtiririko wake unadhihirisha wazi ni kazi ya binadamu si ya Mungu.

Hoja ya "dada wa haruni" haina mashiko, Yesu anaitwa mwana wa Daudi, Je ni kweli ni mwana wa Daudi?

Biblia ina contradictions nyingi tu
Mfano ni geneology ya Yesu katika Injili za Luka na Mathayo haimatch.
 
1. Kuhusu wewe kuritadi, wewe siyo wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho. Kuna watu waliritadi wakati wa mtume itakuwa wewe leo!. Hiyo uliyoleta siyo hoja.

2. Ulishajibiwa kuwa Qur'an imehifadhiwa katika nyoyo na bongo za waumini tangu wakati wa mtume mpaka sasa, na wala haihitaji kuandikwa katika makataratasi. Hizi Mas'haf zilizoendikwa ni kwa ajili ya kuwasaidia wale ambao hawajaihifadhi Qur'an yote kichwani lakini Qur'an kama Qur'an haihitaji kuwa katika fomat ya kitabu cha kuchapishwa.
Kama quran haihitaji kuwa katika format ya kitabu cha kuamdikwa hoja ya bwana yule ya kutojua kusoma na kuandika inakufa kabisa
 
1. Ukiristo ulileta habari za Utatu, Qur'an imekuja kunyoosha mafunzo hayo ya kipotevu na kuweka rekodi sawa kuwa Mungu ni mmoja na kwamba utatu ni imani ya kipotevu.

2. Wakiristu walidai Yesu kafa msalabani na kwa hilo eti ni ondoleo la dhambi, Qur'an inasema Yesu hakufa msalabani, na wala hakuna ondoleo la dhambi kwa mtu kufa kwa ajili ya mwingine bali kila mtu atabeba mzigo wake.

3. Wakiristu wana imani ya dhambi ya asili, Qur'an inasema Adamu alipokosa aliomba msamaha na akasamehewa.
Quran haielewi hata Utatu wa wakristo, inasema wakristo wanaamini Mariamu ni mmojawapo wa nafsi katika utatu wakati hakuna kitu kama hicho kwa madhehebu yote ya kikristo. Quran 5:73-75

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.

Covax
 
Hawaamini yesu kufa na kufufuka coz walijaribu kumuua mudi wao ili nae afufuke ikashindakana,akafa mazima na sehemu ya mzoga wake ukaliwa na nguruwe
 
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota inarushwa kama mzinga, jameni nyota ni sayari, sio kitu cha kurusha rusha dhidi ya shetani, kwani yuko wapi hadi arushiwe nyota.
Halafu mnasema uislamu umebuniwa kurekebisha Ukristo au kurekebisha dini ulizokuta. Yaani Mungu asubiri mamia ya miaka aje kuanzisha dini nyingine na kitabu chenye mambo yaliyochanganyikiwa.

Quran 67.5
And We have certainly beautified the nearest heaven with stars and have made [from] them what is thrown at the devils and have prepared for them the punishment of the Blaze.
Muhammad ni mtume wa SHETANI IBILISI kamwe siyo mtume wa MUNGU MTAKATIFU MTAKATIFU MTAKATIFU
 
Quran haielewi hata Utatu wa wakristo, inasema wakristo wanaamini Mariamu ni mmojawapo wa nafsi katika utatu wakati hakuna kitu kama hicho kwa madhehebu yote ya kikristo. Quran 5:73-75

Quran inavyokataa kuwa Yesu hakusulubiwa inajiabisha, historia ya warumi, wayahudi na wengine wanakubali Yesu alisulubiwa. Kwa hili tu ilitakiwa mtu mwenye akili aache kukiamini hiki kitabu.

Quran ni kitabu ambacho ukubwa wake ni karibu sawa na kitabu cha ZABURI peke yake, halafu useme eti kimekuja kureplace Biblia nzima.

Quran inajua jina la Mariamu pekee katika wanawake wote, yani haijui majina ya Hawa, Sarah, Rebecca, Raheli, Leah, Deborah, Esta n.k. wakati huo huo inadai kuelezea mambo yote in details.
Quran 6:114.

Covax
😂😂😂

Quran ni kituko
 
Unajua sana ,Tena Unajua

Wachache sana wanajua hizi details
 
Back
Top Bottom