Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Umekosea kidog tu ila ni phonerotica hiyo sijaitembelea kitambo sana ila kw ushindan w saiv nahis itakuw ht imeshafutwaHivi c kuna moja iliitwaga phoeretick Kama sikosei nayo haipogi tena
Dah kweli mkuu upewe maua yako maana unaikumbuka na video zake zilikuwa ndo quality kipindi hicho kuliko za wapdam na waptrickUmekosea kidog tu ila ni phonerotica hiyo sijaitembelea kitambo sana ila kw ushindan w saiv nahis itakuw ht imeshafutwa
Nakumbuka kwenye 2007- 2010 hapo saa 6 usiku mpk 12 asubuhi Airtel walikuwa wanatupaga free internetNaona wahenga mnakumbushana zama zenu za MB ngumu kuisha.
Nawadeiz ukikanyaga enter narudi Jumbe umetumia 75% ya kifurushi chako.
tuwasiliane whatsapp 0657655521. TufahamianeHapo pk bar ndio nlifungulia email yangu na fb account....2005 hiyo
Pale kinondoni manyanya, nililipia lisaa limoja nikashangaa mbona natumia mda mwingi simalizi muda , nimechoka zangu nataka nisepe yule muhudumu akaniambia, muda uliisha ila alishindwa kunizimia kwasababu nilikua bizee sana na monitor.MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
View attachment 2648381
Pengine unaweza kuona ni rahisi kwa sasa upo na smartphone au laptop yako unaingia net, Hali haikuwa hivyo kwa miaka ya nyuma kabla ya 2010s, Kipindi hicho tulikuwa tunaenda internet cafes kupata huduma ya internet, ni watu wachache sana hasa vigogo ndio walikuwa na internet majumbani.
Miaka ya 2007 angalau tulianza kutumia internet kwenye simui za Nokia batani (tovuti maarufu ilikuwa waptrick) lakini hii internet ilikuwa ni kituko ,bado tulilazimika kwenda internet cafes kupata mambo kamili,
2010 Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.
Haya sasa tukumbushane hali ilivyokuwa kwenye internet cafes
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002.
Tulikuwa tunatumia computer za meza zenye visogo 😂 .
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
tulikuwa tunalipia kwa muda kuanzia nusu saa, Ukilipia wanawasha program ya kuhesabu muda, iliitwa time watcher muda ukiisha inaloki computer, Wajanja walikuja na mbinu za kuruka hiki kiunzi 😂
Speed ilikuwa chini sana, Yani kufungua ukurasa wenye picha unaweza subiri dakika nzima.
Kuwa na email ilikuwa ndio ujanja wa enzi hizo, Tulichat kwa kutumia emaail pamoja na kutumiana barua. email maaarufu ilikuwa hotmail, yahoo na msn.
Enzi hizo bado tunatumia floppy disk kuhifadhi mafaili, ni kipindi ambacho bado cd na flash hazijawa common.
Salamu babu chaka huyo kwenye dp ya Whatsapp ni binti yako ? Msalimu sanatuwasiliane whatsapp 0657655521. Tufahamiane
ukijua kuzima computer tayari we ni mtalamu nakumbuka kulikua na program moja ivi nimeisahau jina ilikua yakufundisha jinsi ya kuweka vidole kwa mpangilio kwenye kybod na kuandia kwa mikono miwili
Kipindi hiko ukitaka games tu za ps unaagiziwa kwa musa kkooWale wa Musa web Kkoo hiyo 1999/2000
Mavisukijua kuzima computer tayari we ni mtalamu nakumbuka kulikua na program moja ivi nimeisahau jina ilikua yakufundisha jinsi ya kuweka vidole kwa mpangilio kwenye kybod na kuandia kwa mikono miwili
Ila kule ukipata mwenzako mara nyingi alikuwa ni msomi na kwao pesa zipo zipo.wakati leo hii vijana wanapata mademu instagram, twitter, tiktok, etc
Enzi hizo bikra zilikuwa marafiki.com na mig 33.
Mara ya mwisho kupata demu marafiki.com ni mwaka 2009. Sikumbuki kuiyumia tena. Ila mig33 ilikuwa habari nyingine, nadhani michezo ya leo ya shoot the shot huko Clubhouse ndio ilikuwa michezo ya enzi hizo mig33, kwenye chatrooms mnakutana kutoka nchi mbali mbali based on your interest, kuchat ujinga, sex chats, na kuamia private chat.
Popote ulipo Vanessa kutoka Malaysia, bado nakukumbuka.
Kirani masterSio Mavis typing?
Mambo ya ASL (Age, Sex, Location) ndio salamu enzi hizo. Sikuwa najitambulisha mimi, kazi yangu ilikuwa ni poaching for sex chat. Wahindi, Arabs, etc ndio walikuwa wengi sana. Wazungu wachache sana.Ila kule ukipata mwenzako mara nyingi alikuwa ni msomi na kwao pesa zipo zipo.
Kama hujui misamiati ya kawaida kama asl ilikuwa ngumu kutoboa
Nilianza 2001MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES
Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo [emoji23] .
View attachment 2648381
Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
View attachment 2654435
tulikuwa tunalipia kwa muda kuanzia nusu saa, Ukilipia wanawasha program ya kuhesabu muda, iliitwa time watcher muda ukiisha inaloki computer, Wajanja walikuja na mbinu za kuruka hiki kiunzi [emoji23]
View attachment 2654432
Speed ilikuwa chini sana, kufungua ukurasa wenye picha unaweza subiri dakika nzima, ukitaka soeed nenda asubuhi sana.
View attachment 2654433
Kuwa na email ilikuwa ndio ujanja wa enzi hizo, Tulichat na kutumiana barua kwa email. katika watu 100 waweza jikuta pekeyako unayo basi unapata ka feeling flani ka v.i.p, email maaarufu ilikuwa hotmail, yahoo na msn.
View attachment 2654431
Enzi hizo tulitumia floppy disk kuhifadhi mafaili, ni kipindi ambacho bado cd na flash hazijawa common.
View attachment 2654434
Enzi hizo websites www.-----.com ilibidi uwe uzitunze kichwani ama uwe na ki diary maalum, Sio kama sasa google imerahisisha sana
View attachment 2654446
Waliokuwa hawana speed ya kutumia keyboard. walijifunza kwa kutumia program inaitwa mavis bacon
View attachment 2654448
///////////////////////////////////////
Hali imebadilika, kwa sasa unaweza kuwa na smartphone au laptop yako unaingia net, Hali haikuwa hivyo kwa miaka ya nyuma kabla ya 2010s, Kipindi hicho ilikuwa ni mwendo wa cafe.
Miaka ya 2007 angalau tulianza kutumia internet kwenye simu za Nokia batani na tovuti maarufu ilikuwa waptrick lakini hizi tobuti bado zilikuwa simple sana, bado tulilazimika kwenda internet cafes kupata mambo kamili,
2010s ndio Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.
Salamu babu chaka huyo kwenye dp ya Whatsapp ni binti yako ? Msalimu sana. huyo ni shemeji yako. hebu nicheki kikamilifu. acha kunichungulia whatsapp
RAM 512 MB sahivi simu ya RAM 2 GB vijana hawanunui.2007
Nilikuwa DESKTOP
hp COMPAQ pentium 3 speed 900mhz
Ram 512sdr HDD 20gb(IDE) ikiwa na DVDrom CDwriter
Then mwaka 2008 nikaupgrade kwenda 80gb IDE
dah ! Unajua 80gb nilinunua sh ngapi nilinunua 120000/= aisee kwakuwa nilikuwa nishaanza michezo ya torrent MOVIE sikuwa na namna nikalipia tu mana storage ilikuwa haitoshi
Enzi hizo darhitwire na marafiki zilikuwa zinavuma sana. Tulishafanya party ya darhotwire nadhani ni mwaka 2005 msasani beach club. Namkumbuka dada maya sijui yuko wapi saahi. Kongoli kwakeMnakumbuka enzi za marafiki.com na dar hotwire?
Mnapiga soga kwenye live chat ukimwelewa bibie unazama nae room, hapo mtongozo unaendelea.
Kwa wale wa yahoo messenger lazima uzijue swaga za kule, ingilish kidogo na vifupisho mfano asl pls. hapo utavuna dame wa kizungu, utamuimbishaa ukiona timer inakaribia kuisha unamtumia email address umwendelezee huko.
Daah maisha yalikua poa sanaa!