Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

Phonerotica ndio ilikuwa mwalimu wangu wa ngono, piga sana nyeto kupitia humo. Ilinisaidia sana kujicontrol na madem wa enzi hizo.
 
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES

View attachment 2648381


Pengine unaweza kuona ni rahisi kwa sasa upo na smartphone au laptop yako unaingia net, Hali haikuwa hivyo kwa miaka ya nyuma kabla ya 2010s, Kipindi hicho tulikuwa tunaenda internet cafes kupata huduma ya internet, ni watu wachache sana hasa vigogo ndio walikuwa na internet majumbani.

Miaka ya 2007 angalau tulianza kutumia internet kwenye simui za Nokia batani (tovuti maarufu ilikuwa waptrick) lakini hii internet ilikuwa ni kituko ,bado tulilazimika kwenda internet cafes kupata mambo kamili,

2010 Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.

Haya sasa tukumbushane hali ilivyokuwa kwenye internet cafes

Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002.

Tulikuwa tunatumia computer za meza zenye visogo 😂 .

Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,

tulikuwa tunalipia kwa muda kuanzia nusu saa, Ukilipia wanawasha program ya kuhesabu muda, iliitwa time watcher muda ukiisha inaloki computer, Wajanja walikuja na mbinu za kuruka hiki kiunzi 😂

Speed ilikuwa chini sana, Yani kufungua ukurasa wenye picha unaweza subiri dakika nzima.

Kuwa na email ilikuwa ndio ujanja wa enzi hizo, Tulichat kwa kutumia emaail pamoja na kutumiana barua. email maaarufu ilikuwa hotmail, yahoo na msn.

Enzi hizo bado tunatumia floppy disk kuhifadhi mafaili, ni kipindi ambacho bado cd na flash hazijawa common.
Pale kinondoni manyanya, nililipia lisaa limoja nikashangaa mbona natumia mda mwingi simalizi muda , nimechoka zangu nataka nisepe yule muhudumu akaniambia, muda uliisha ila alishindwa kunizimia kwasababu nilikua bizee sana na monitor.

Ingine ilikua Same mjini, nililipia dada akaja kunisetia nikaona password anayotumia nikajiongezea dkk kadhaa!
 
wakati leo hii vijana wanapata mademu instagram, twitter, tiktok, etc

Enzi hizo bikra zilikuwa marafiki.com na mig 33.

Mara ya mwisho kupata demu marafiki.com ni mwaka 2009. Sikumbuki kuiyumia tena. Ila mig33 ilikuwa habari nyingine, nadhani michezo ya leo ya shoot the shot huko Clubhouse ndio ilikuwa michezo ya enzi hizo mig33, kwenye chatrooms mnakutana kutoka nchi mbali mbali based on your interest, kuchat ujinga, sex chats, na kuamia private chat.

Popote ulipo Vanessa kutoka Malaysia, bado nakukumbuka.
 
wakati leo hii vijana wanapata mademu instagram, twitter, tiktok, etc

Enzi hizo bikra zilikuwa marafiki.com na mig 33.

Mara ya mwisho kupata demu marafiki.com ni mwaka 2009. Sikumbuki kuiyumia tena. Ila mig33 ilikuwa habari nyingine, nadhani michezo ya leo ya shoot the shot huko Clubhouse ndio ilikuwa michezo ya enzi hizo mig33, kwenye chatrooms mnakutana kutoka nchi mbali mbali based on your interest, kuchat ujinga, sex chats, na kuamia private chat.

Popote ulipo Vanessa kutoka Malaysia, bado nakukumbuka.
Ila kule ukipata mwenzako mara nyingi alikuwa ni msomi na kwao pesa zipo zipo.

Kama hujui misamiati ya kawaida kama asl ilikuwa ngumu kutoboa
 
Ila kule ukipata mwenzako mara nyingi alikuwa ni msomi na kwao pesa zipo zipo.

Kama hujui misamiati ya kawaida kama asl ilikuwa ngumu kutoboa
Mambo ya ASL (Age, Sex, Location) ndio salamu enzi hizo. Sikuwa najitambulisha mimi, kazi yangu ilikuwa ni poaching for sex chat. Wahindi, Arabs, etc ndio walikuwa wengi sana. Wazungu wachache sana.

Bila kusahau mtandao wa students of the world, huko napo nilipata penpals toka Europa.
 
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES

Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo [emoji23] .
View attachment 2648381


Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5,
View attachment 2654435


tulikuwa tunalipia kwa muda kuanzia nusu saa, Ukilipia wanawasha program ya kuhesabu muda, iliitwa time watcher muda ukiisha inaloki computer, Wajanja walikuja na mbinu za kuruka hiki kiunzi [emoji23]
View attachment 2654432


Speed ilikuwa chini sana, kufungua ukurasa wenye picha unaweza subiri dakika nzima, ukitaka soeed nenda asubuhi sana.
View attachment 2654433


Kuwa na email ilikuwa ndio ujanja wa enzi hizo, Tulichat na kutumiana barua kwa email. katika watu 100 waweza jikuta pekeyako unayo basi unapata ka feeling flani ka v.i.p, email maaarufu ilikuwa hotmail, yahoo na msn.
View attachment 2654431


Enzi hizo tulitumia floppy disk kuhifadhi mafaili, ni kipindi ambacho bado cd na flash hazijawa common.
View attachment 2654434


Enzi hizo websites www.-----.com ilibidi uwe uzitunze kichwani ama uwe na ki diary maalum, Sio kama sasa google imerahisisha sana
View attachment 2654446


Waliokuwa hawana speed ya kutumia keyboard. walijifunza kwa kutumia program inaitwa mavis bacon
View attachment 2654448

///////////////////////////////////////

Hali imebadilika, kwa sasa unaweza kuwa na smartphone au laptop yako unaingia net, Hali haikuwa hivyo kwa miaka ya nyuma kabla ya 2010s, Kipindi hicho ilikuwa ni mwendo wa cafe.

Miaka ya 2007 angalau tulianza kutumia internet kwenye simu za Nokia batani na tovuti maarufu ilikuwa waptrick lakini hizi tobuti bado zilikuwa simple sana, bado tulilazimika kwenda internet cafes kupata mambo kamili,

2010s ndio Modems za kutumia kwenye laptops na simu za kisasa zaidi zenye uwezo mkubwa wa kuperuzi internet zilipoanza kujaa sokoni ndipo wengi tukaacha kwenda internet cafe na hii ikapelekea cafes nyingi kufungwa ama kugeuzwa kuwa stationery.
Nilianza 2001

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
2007
Nilikuwa DESKTOP
hp COMPAQ pentium 3 speed 900mhz
Ram 512sdr HDD 20gb(IDE) ikiwa na DVDrom CDwriter
Then mwaka 2008 nikaupgrade kwenda 80gb IDE
dah ! Unajua 80gb nilinunua sh ngapi nilinunua 120000/= aisee kwakuwa nilikuwa nishaanza michezo ya torrent MOVIE sikuwa na namna nikalipia tu mana storage ilikuwa haitoshi
RAM 512 MB sahivi simu ya RAM 2 GB vijana hawanunui.
 
Mnakumbuka enzi za marafiki.com na dar hotwire?
Mnapiga soga kwenye live chat ukimwelewa bibie unazama nae room, hapo mtongozo unaendelea.
Kwa wale wa yahoo messenger lazima uzijue swaga za kule, ingilish kidogo na vifupisho mfano asl pls. hapo utavuna dame wa kizungu, utamuimbishaa ukiona timer inakaribia kuisha unamtumia email address umwendelezee huko.
Daah maisha yalikua poa sanaa!
Enzi hizo darhitwire na marafiki zilikuwa zinavuma sana. Tulishafanya party ya darhotwire nadhani ni mwaka 2005 msasani beach club. Namkumbuka dada maya sijui yuko wapi saahi. Kongoli kwake
 
Back
Top Bottom