Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hivi unatumia google translator ama? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Yeah huo ndio ukweli, imagine huko makazini wanashinda wote kuanzia asubuhi Hadi jioni kwa mwaka mzima kwanini wasifanye hivyo? Mtu anaka nurse kwanini vijana wasichape?Watu wanashinda nae masaa 9 akirudi usiku amechoka ni kulala.
Binadamu wana upendo wa asili kadri wanavyokaa pamoja ndio maana kawaida na uhakika watu wengi 90% their first lovers were their classmate .
Watu wengi wapenzi wao wa kwanza ni watu waliosoma nao kwa kukaa nao darasani mda mrefu inafanya watu wanapendana hata mtaani kama ni majirani.
Hivi unatumia google translator ama? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilienda seminar Moja na mke wa mtu, kufika huko wakapanga na jamaa guest Moja huko kwa week nzima ni mwendo wa kuliwa tu.Hahaaa haaaa kwenye semina huko wanabanjuana mbaya sana,
Mie niko na rekodi nimeweka zamani ni 10%watu wengi 90% their first lovers were their classmate
Mkeo anaenda kurombwa, alafu anakujazia watoto wa wanaume wengine anakwambia wakohuku makazini unashangaa tu mke wako kila seminar yupo, trip za kutosha mara dodoma wewe umekaa tu hapo sebuleni shtuka mzee.
Ushawahi liwa ofisini hio rekodi hatari,Mie niko na rekodi nimeweka zamani ni 10%
Neva.Ushawahi liwa ofisini hio rekodi hatari,
Tangu lini?Neva.
Si mimi nasema NEVA.. au nitumie neno ipi uelewe?Tangu lini?
Aaaha basi sawa, hujawahi lakini kweli au unaficha tu?Si mimi nasema NEVA.. au nitumie neno ipi uelewe?
Kucheat hakuna formula ni tabia ya mtu binafsi unaweza kumgonga vizuri na still hakakucheatMuwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Sawa sawa, usicheat tuMuwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
mtaumia vipi wakati mna hela za kupata wanawake wengi kirahisi kama huyo mmoja ata cheat?Mbona unatusemea sisi matajiri, nani alikuambia hivyo kwamba hatuumii kuchapiwa?
Wafanyakaz wanakulwa asubuhi anvyoenda kazin au mchana Wakat wa lunch au kwenye kusafir kikaz.Haya mambo hayana formula lakini odd kubwa za kuchapiwa zimelala kwa watu waliiooa watumishi, yaani 60% Huwa ni dhaifu saana so kupigiwa ni kugusa tu.
Imani yangu inaniambia kwamba Mwanamke hawezi kucheat kwa bahati mbaya yaani lazima kuwepo na sababu ya yeye kucheat, lazima atengenezewe ukaribu/mazingira.
Nilikua naperuzi nikavutiwa na hii story nadhani itawafundisha na kupata mwanga.
View attachment 2855892View attachment 2855894View attachment 2855895View attachment 2855896
Kama umeoa Mwanamke Mfanyakazi kwa ajili ya kusaidiana kimaisha, hakuna rangi hutoacha kuiona kwenye hiyo ndoa, oa Mwanamke uliempenda, huku makazini unashangaa tu mke wako kila seminar yupo, trip za kutosha mara dodoma wewe umekaa tu hapo sebuleni shtuka mzee.
Waendelee hivyo hivyo wasiumie kwa kugongewa wake zao lakin wakumbuke kuna ukimwi,,Kugongewa kunatuumiza Sana Sisi masikini lakini mtu mwenye pesa zake na Miradi hawezi kuumia eti kisa kugongewa
Niliwahi kula mke wa mtu fulani,, baadae nikamuuliza kwann una cheat,?Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.