Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

Muwe munawala wake zenu vizuri .kiwasoma na kujua pakuwakalisha chali.. hata aondoke mwaka mzima hautachapiwa. Kuna video calls fanyeni yenu huko muweke muwe marafiki wa michezo bila kuwa kama mapolisi kwa wake zenu.
Nyie wanawake kwani huwa mnaeleweka basi?!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mwenye Akili Timamu hawezi Kuumizwa Kugongewa Mkewe kwani Kugongewa Mke ni jambo la kawaida na la lazima katika Maisha ya Wanandoa wowote.

Tujikite zaidi katika kutafuta Fedha na siyo huu Utoto wa Kulia lia Mitandaoni na katika Jamii tunaoishi kuwa Tunagongewa Wake zetu. Wewe una uhakika kuwa nawe Hugongi Wake za Watu?
 
Wanaume nao wana matatizo sana. Ukiwa naye pekeeake anakuona una mikosi hutongozwi. Ukitongozwa anakuona malaya.
Sasa sijui wanatakaga nini?
JF ina balaa siku hizi..hao wanaume zenu mnawapata wapi nyie?Kwamba sisi wanaume huwa tunauliza wake zetu kama wametongozwa ama...??Au unatembea muda wote na huyo mwanaume wako kama kumbikumbi kiasi kwamba unapotongozwa anakuwepo...??
Hili balaa sasa
 
Mh....sio rahisi kihivyo aiseee....
 
Kungongewa ni kitu Cha kawaida kwasababu ngono hanyimwi mtu
 
Hapana sijawai kufanya hivyo
 
Hakuwahi kuwa wake huyo..
Na inaweza ikawa ndo wale sogea tuishi, most likely hata mahari alikuwa hajatoa.

Mwanamke anaye cheat na anafanya juhudi ujue anakucheat sio wako.

Alifanya maamuzi murua kabisa kujiondokea.
Angempiga hata jiwe la uso kidogo, maana hizo ni dharau
 
Mke kuliwa sio kitu cha kawaida bora ungesema mpenzi ila mke aseh hapana na mwanamke akicheat hafai kusamehewa ht x1
 
Comment hii imemaliza yote hakuna haja ya watu kuendeleza mjadala [emoji724]
 
KANUNI NI HII, ULIMKUTA KATUMIKA. ATAENDELEA KUTUMIKA
HIZO KANUNI SIJUI ZA MFANYIE HIVI, FANYA VILE, NI ZA KUJIFARIJI.

KUNA WATU MNAOA WAKE ZA WENZENU BILA KUJUA.
 
😅🤗
Ooh Kaka wetu wa jukwaa ya burudani, naandika mwenyewe. Hivi nakosea nini haswa mie naona poa tu sababu ni Mimi nipo hivi humu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haya bhana ila unanifurahisha sana comments zako.
 
Mambo yaboucheat ni ya wazungu sisi huku mwanaume ni WA wote yaani ni WA yeyote.
 
NAKAZIA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…