Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Ukimwi hauonekani kwa macho. Japo ukiwa makini kutazama mwenye ukimwi utamjua tu

Ngozi huwa hufubaa haina nuru, na midomo huwa na rangi nyekundu na mpauko fulani.

Kwa mwili wengi siku hizi hula dawa hawakondi na wanajitahidi kula vizuri.

Mshukuru Mungu kama ukoo wenu hawajafa kwa ukimwi

Hili gonjwa lipo, watu wana siri zao na waambukiza sana.
Hili la ngozi huwa nishafanya utafiti kwa wagonjwa kadhaa kuna hali flani ngozi inakuwa nikiona tu najua hapa umeme umetaradadi. Unakuta binti mdogo ana ngozi kama ya bibi 😂
 
Ah wee unadhani mtu akule ngoma utamuangalia the same way tena....unaweza muua kabisa.
Anyways pia mwenyewe sina mpango wakuoa.
Yeye hajaolewa mpaka sasa
Daah kama una hasira za karibu unaweza muua kweli
Ajawahi kukuomba msamaha ? kukushawishi mujayenge ?

Hapo najua mwanangu tgo ndio ilikuponza[emoji16]

Ungepiga mbele usingepata
 
Kweli kabisa mwanaume ukishafika miaka 40 achana kabisa na mambo ya kula mbususu na condom. Maana hata ukiupata bado unaweza kufika miaka 60 bila wasiwasi.
pia tunaogopa kuambiwa ,baby i have missed my period
tuendelee kutumia kinga,tusidanganyane
 
Hili la ngozi huwa nishafanya utafiti kwa wagonjwa kadhaa kuna hali flani ngozi inakuwa nikiona tu najua hapa umeme umetaradadi. Unakuta binti mdogo ana ngozi kama ya bibi 😂
Dah, hii inasikitisha sana. Huu umeme tuombe upitie mbali japo hatukomi kula nyapu!!
 
Ulijuaje kiwa tigo ndio iliniponza?
Mara nyingi hio ndio huwaambukiza wengi kwa sababu kule kunakuwa na mchubuko

Lakini kwa njia ya kawaida mwanaume ni ngumu kupata maambukizi hata kama uki sex na muathirika mwanaume akipata kwa njia ya kawaida ndio wale wakamiaji mpka michubuano wapenda sifa binti kakauka bado unaendelea

Ila kwa case ya wanawake ni tofauti wao wapo vunerable sana wao ukimwi kupata kwao ni rahisi kama kugusa tu
 
Ukimwi hauonekani kwa macho. Japo ukiwa makini kutazama mwenye ukimwi utamjua tu

Ngozi huwa hufubaa haina nuru, na midomo huwa na rangi nyekundu na mpauko fulani.

Kwa mwili wengi siku hizi hula dawa hawakondi na wanajitahidi kula vizuri.

Mshukuru Mungu kama ukoo wenu hawajafa kwa ukimwi

Hili gonjwa lipo, watu wana siri zao na waambukiza sana.

Mgonjwa ambae unaweza kumgundua kwa kumtazama ni mwenye stage 4 ama stage 3. Ila akiwa na ukimwi stage 1 ama 2 huwezi kumjua. Na hata yeye mwenyewe kama hajapima hawezi kujijua kama ana moto
 
Hili la ngozi huwa nishafanya utafiti kwa wagonjwa kadhaa kuna hali flani ngozi inakuwa nikiona tu najua hapa umeme umetaradadi. Unakuta binti mdogo ana ngozi kama ya bibi 😂
Vibibi vya bukoba noma kikikuangalia tu kinajua kuwa umeungua,wana uzoefu , waliuguza sana wagonjwa wangoma miaka hiyo.
 
Mara nyingi hio ndio huwaambukiza wengi kwa sababu kule kunakuwa na mchubuko

Lakini kwa njia ya kawaida mwanaume ni ngumu kupata maambukizi hata kama uki sex na muathirika mwanaume akipata kwa njia ya kawaida ndio wale wakamiaji mpka michubuano wapenda sifa binti kakauka bado unaendelea

Ila kwa case ya wanawake ni tofauti wao wapo vunerable sana wao ukimwi kupata kwao ni rahisi kama kugusa tu
Naamini humu wengi wetu tumeshagonga sana wenye ngoma na hatujaambukizwa Mungu yupo
 
Mgonjwa ambae unaweza kumgundua kwa kumtazama ni mwenye stage 4 ama stage 3. Ila akiwa na ukimwi stage 1 ama 2 huwezi kumjua. Na hata yeye mwenyewe kama hajapima hawezi kujijua kama ana moto
Mgonjwa anajulikana tu as long as dawa zishamkolea. Ukimuona unajua tu jinsi ambavyo amenyauka.
 
Daah kama una hasira za karibu unaweza muua kweli
Ajawahi kukuomba msamaha ? kukushawishi mujayenge ?

Hapo najua mwanangu tgo ndio ilikuponza[emoji16]

Ungepiga mbele usingepata
Hahahahah kwahio unataka kumaanisha muhuni alichakata washeli😂😂😂
 
Hahahahah hatari sana mzee. Ila huu ugonjwa hakuna familia haujagusa 😂😂😂 yani ni kilanga mzee kama haujaingia kwenu kwa bamdogo uko au kwa mashangazi umetia timu.
Kila familia ina mtu kaungua awe mzima au mfu,ila bukoba na makete umefyeka sana mpaka wameuzoea masela wanakumbushana siku yakuchukua dawa
 
Hahahahahah naskia makete kule ngoma ni kama mafua tu 😂😂😂 na uhayani nako si wanamaindisha kuchakatana hovyo kufyekwa ni must
 
Back
Top Bottom