Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Misambwanda kama yote kila unae muona kamzidi mwenzie Nyashi ila zina ukimwi balaa zivalie condom hata 5πŸ€£πŸ˜‚na ukimwi wao mkali halafu madem wanapenda pesa sana wanajali maslahi na kaka yangu aliowa mke huko kafulia mke akasepa ila Mungu bwana dem anaumwa kansa bro ndo anahudumia kwasasa atafanyaje na mama wa mwanae.
aiseee...so huko sauz misambwanda kama yote au sio alafu nasikia huko kugegedana nje nje wala hawamaind ni full shisha nyama mitungi blanti hii mikasiiii
 
Hii ya daladala ndo nasikia naona ingenilamba 😁nilikuwa napanda Taxify na Uber.
 
Da brother wako ashapoteza channel tayari. Ila ndugu zake bado mnanafasi ya kumrudisha tena online.
 
Duuu wastani wa.watu 500 kwa wiki?????? Ni wengi mno
Hali ni mbaya. Lakin kwa sasa kuna safisha safisha inaendelea kila jimbo. Nina imani mpaka mwakani uhalifu utakuwa umepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Waziri wa mambo ya ndan wa sasa ni mkaburu, hivyo jamaa hataki mchezo kabisa. Wezi na watu wasiokuwa na vibali washaanza kukimbia nchi mmoja mmoja bila hata kukimbizwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mie na condom dnt mix. Ngoma tayari ninayo so wala hamna shida kama wao wana ngoma. Tutakuwa tunamix tuu ya sauz na ya tz ili ipatikane breed mpya.
Suala la hela ata bongo wanalenda hela maana ukitongoza tuu, kodi imeisha, mara bday inakuja keshokutwa so in general all livings this with two legs and mbususu inbetween wanapenda hela.
 
Uzi huu umenikumbusha mbali sana way back.

Nimeshuka OR TAMBO chap natoka nje nakutana na wabongo wanaongea kiswahili pale tukawakataa. Mana tayar nilikuwa na mentality kuwa wabongo wa kule wengi miyeyusho

Tunaenda kuchukua tax ili tuende Station pale tunaona polisi wanatuzuia tusichukue ile tax eti sio salama na badala yake wakatuelekeza tax nyingine.

Tumepanda ile tax rasmi ya airport ndio dereva akawa anatuambia hizo tax bubu wengi majambazi wanakuambia bei rahisi ili ukubali mkifika njiani anakuambia hela kubwa kama Huna anakutolea mguu wa kuku na kukupora ulichonacho na anakuacha njiani...

Nikajisemea kichwani hii Africa bado ni bara la giza yan mtu yupo tayar kukudhuru ili apate tu hela akanywe pombe na kustarehe na wanawake

The first time kumuona mzungu omba omba ni South aiseee nimekaa nakula msosi mixer kuku kwa rand 25 tu naona mzungu anakuja kachoka kama katoka mbagala kibonde maji

'Anasema can we share a plate my friend?

Doh.
 
Kama ni hivyo safi sana...πŸ‘Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…