Maisha ya kutoboa sio kulipa geto la self na smart tv! Umeweza kulipa kodi ya geto unahisi umetoboa? Acha mbwembwe bamdogo bado una safari ndefu!Acha niwapelekee moto wazembe wazembe wanadeka kama yatima.
Dunia hii ukileta unyonge unanyooshwa tu hahahahaha.
Yani mtu unalala ndani huombi kazi ukakosa unaropoka tu ajira ngumu kisa unasikia story za waliokosa!Acha niwapelekee moto wazembe wazembe wanadeka kama yatima.
Dunia hii ukileta unyonge unanyooshwa tu hahahahaha.
Wewe hata uwe na ujuzi gani training muhimu!Yani mtu unalala ndani huombi kazi ukakosa unaropoka tu ajira ngumu kisa unasikia story za waliokosa! Siku hizi hata ukiwa na connection utaulizwa kitu gani unaweza kufanya (skills) tunarudi tena pale pale kwenye ujuzi! Ukishajibu hilo swali ndo linakuja swali la vyeti ila swali namba moja ni ujuzi unao! Yani ili uajiriwe au kujiajiri upate wateja unatakiwa uwe na Thamani flani (skill) ambayo itamvutia mteja au mwajiri unatakiwa uwe mtabe wa kitu flani yani piga ua garagaza kitu flani uwe nacho ambacho unasema kabisa hapa kwenye hiki hakuna wa kunitisha! Vijana wengi wapo nusu nusu unakuta anajua hiki kidogo na kile kidogo sasa waajiri hawataki mtu wa kuja kufanya majaribio kazini au kuja kujifunzia kazini, kazini sio Shule au Chuo, watu wanataka product wanataka kazi ugonge show utengeneze faida sasa ukiwa nusu nusu unalia lia ajira ngumu lazima uone kila mtu ana roho mbaya
Wewe ndio nakwambia kama ipo ipo tu! Kazi sio kupambana mzee, ukiona unapambania sana kitu jua hakikua riziki yako! Riziki ina flow tu na tena inakujaga upande wako bila hata force kubwaNi kawaida kutafuta wa kumbebesha mizigo.
Kama sio ndugu tutalaumu marafiki.
Tutaamia kwa serikali au chama tawala.
Tukifika mwisho tatizo anakuwa Mungu hajapanga ndio akili zetu vijana wa kitanzania.
Ukiletewa mnaijeria mpambane nae unataka huruma unalaumu elimu yetu au migration.
Yani ilimradi tu wewe uwe safe hahahaha.
watu wanakuwa wakali sababu hawataki kutoka kwenye comfort zone.Yani mtu unalala ndani huombi kazi ukakosa unaropoka tu ajira ngumu kisa unasikia story za waliokosa! Siku hizi hata ukiwa na connection utaulizwa kitu gani unaweza kufanya (skills) tunarudi tena pale pale kwenye ujuzi! Ukishajibu hilo swali ndo linakuja swali la vyeti ila swali namba moja ni ujuzi unao! Yani ili uajiriwe au kujiajiri upate wateja unatakiwa uwe na Thamani flani (skill) ambayo itamvutia mteja au mwajiri unatakiwa uwe mtabe wa kitu flani yani piga ua garagaza kitu flani uwe nacho ambacho unasema kabisa hapa kwenye hiki hakuna wa kunitisha! Vijana wengi wapo nusu nusu unakuta anajua hiki kidogo na kile kidogo sasa waajiri hawataki mtu wa kuja kufanya majaribio kazini au kuja kujifunzia kazini, kazini sio Shule au Chuo, watu wanataka product wanataka kazi ugonge show utengeneze faida sasa ukiwa nusu nusu unalia lia ajira ngumu lazima uone kila mtu ana roho mbaya
Kazi ni vita unatakiwa uwe na silaha.....kazi za kuflow zenyewe zimebaki hizi za kutembeza mabeseni mjini matokeo yake ukiona classmate unajificha kwenye msingi.Wewe ndio nakwambia kama ipo ipo tu! Kazi sio kupambana mzee, ukiona unapambania sana kitu jua hakikua riziki yako! Riziki ina flow tu na tena inakujaga upande wako bila hata force kubwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nature ya maisha.
Mtu akitoboa, huwaona ambao hawajatoboa ni uzembe wao.
Kikazi cha ubank teller apo tpb bank ushaanza kukashifu watu.
Aya bhana.
Mtoa mada atakua na umri mdogo. Kuna mengi hajayaona. Hajui. Ni kumpuuza tuu.Waacheni hao ni graduates waliopata ajira juzi wana moto sana,kama motivation speaker.
Dunia ina mambo mengi sana ila kama umetoka chuo juzi au jana hauwezi yaelewa yote.
Mimi ukiniuliza ufanye nini ili upate ajira nitakwambia mtangulize Mungu wako,fanya maombi,funga na toa sadaka haitochukua hata hiyo miezi miwili utapata kazi.
There is a dark side in every one life,Godies is only one protector from that sides.
Kutokufanikiwa katika mambo uyapangayo maana yake nyota yako imechafuka unaitaji kuisafisha sasa hapo kazi kwako.
Sio kosa lake.!Mtoa mada atakua na umri mdogo. Kuna mengi hajayaona. Hajui. Ni kumpuuza tuu.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nature ya maisha.
Mtu akitoboa, huwaona ambao hawajatoboa ni uzembe wao.
Kikazi cha ubank teller apo tpb bank ushaanza kukashifu watu.
Aya bhana.
ww una nn kinachokufnya uongee utumbo hapa jf, motivatinal speakers wana mada kma zako mshamba na pumba, etii huna kazi wala mradi nitafute nikuoneshe acheni kuon watu wapuuz hapa jf mkachukulia poua kila mtu pungaa wee....etii #sinzapazuri we c barmedi unajiita majina ya barAchana na story za motivesheno spika wewe sio Elon Musk au Jack Ma hao ni gifted.
Ona sasa huna kazi hauna mradi wowote unajifariji na story za kina Jack Ma na umri unakwenda unaonekana boya tu kitaa sababu hauna maisha
kwel kbsMkishapata kazi mna amini mnaelewa kila kituu.