Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

Kweli maskini akipata matako hulia mbwata. Ila Sio ajabu Kuna baadhi hata ya matajiri huwaona wale maskini kuwa wanaishi kwenye umaskini wao kwasababu ya wavivu.

NB; ukipata saidia na wengine na kama huwezi kusaidia acha usisemange.
 
Kuandika ni kitu chepesi sana anyway ni mtazamo wako
 
N aibu kijana kushindwa kutengeneza connection mtu unakuta anakaa mtaa mmoja na mbunge, Diwani au bos wa taass yyte ile ukimuulza vipi mbn unaishi na watu wa connections mbn uko nyuma atakwambia aanh mtu mwenyewe anajisikia mara ooh ana roho mbaya ooh mara mm siwez mshobokea,,, mtake msitake vijana shobo katika waliokuzd kipato sio dhambi, mtu anakaa mtaan ata mwenyekit wa mtaa anashindwa kuwa Connected nae!!

Connection ndio kla kit sasa hv ukiwa huna connections utaishia kulialia kla siku

Ipo siku ntaeleza namna nilivyotengeneza connections na Mheshimiwa waziri fulani kipindi cha uchaguz tena kupitia tu social media zangu mpaka nikapata kazi ya maana nisioitegemea kupitia yeye na ajabu kipind natengeneza connection marafiki zang walinicheka na kunikatisha tamaa balaaa walinipa kla aina ya matusi mara nashobokwa, mara najipendekeza lkn kichwan kwangu nlkuwa nawaza tu ntafanya kla liwalo mpk npate fursa kupitia huyu waziri, ila baada ya kutusua sasa wanataka niwabebe yalivyo mafala.
 
Maneno kama haya ndio yanafanya vijana wa Tanzania wanalemaaa kabisa, toka kwny maneno ya huruma na kumpangia Mungu kazi, huyo Mungu keshasema asiefanya kazi na asilee.
 
Wewe ndio nakwambia kama ipo ipo tu! Kazi sio kupambana mzee, ukiona unapambania sana kitu jua hakikua riziki yako! Riziki ina flow tu na tena inakujaga upande wako bila hata force kubwa
Wazee wa ridhk mafungu saba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], daaah hii mesej yako utawafany vijana sasa walalee tuu kitandan wamsubir huyo riziki aje aflow bla force
 
Maneno kama haya ndio yanafanya vijana wa Tanzania wanalemaaa kabisa, toka kwny maneno ya huruma na kumpangia Mungu kazi, huyo Mungu keshasema asiefanya kazi na asilee.
Mkuu, inaeleweka kufanya kazi ni lazima. Hakuna aliyepinga hilo. Nipo pamoja na wewe, kupambana ni lazima.

Swala ni kupata. Na kwenye hili swala la kupata unaweza ona dunia kama haiko fair.
Wapo waliopambana sana maishani mwao bila mafanikio. Wapo.
Wapo ambao kwa kudra za mwenyezi mungu (Yes, Naamini hivyo) hawakupata shida sana kwenye kupata.

Hakuna aliyekataa kufanya kazi. I know people ambao wameamua hadi kujitolea mahali with hope of getting something. Lakini unakuta anatoboa miaka hata miwili hakuna alichokipata financially.
Kufanya kazi ni jambo moja, kupata ni lingine.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa ridhk mafungu saba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], daaah hii mesej yako utawafany vijana sasa walalee tuu kitandan wamsubir huyo riziki aje aflow bla force
Hahahah just imagine unapigiwa simu lete cv zako then after 2 days una sign contract ya hela ndefu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!

Si wapo watu wa aina hio mzee? Sasa nyie endeleeni kufikiri maisha ni mapambano tu
 
Naomb unisaidie kwa Hilo nami Natamani kujifunza..
 
Oya acha ujinga basi.
 
Umeandika togwa tupu kama sio macholo kabisa, hivi unadhani mambo yako kama hivyo wewe udhaniavyo?
 
Mkuu umesoma degree ya official statistics au BsC.statistics?
 
Kwanini huu Uzi wako hujaanzisha na ile ID yako ' zoeleka ' inayoanzia na Herufi ( s ) Mkuu?

Huu Uzi wako ungependeza sana kama ungeuanzisha Kipindi kile Unafugwa hapo Sinza kabla ya Kurejea Mkoani Mji Kasoro Bahari ulipokuwa ' Choka Mbaya ' mpaka ulipopata hili Sbavu ulilonalo sasa kwa Msaada.

Bado unamiliki hilo Gari lako Bovu sana?
 
Mkuu haya madini ni hatari tupu.

Unaongea ukweli ambao ni mchungu. Lakini unaponya
 

Hataree πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Mkuu kama unataka kunifahamu nicheki pm tutaonana mpaka nyago kwa nyago. Usibeti unapoteza muda na nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…