Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

Starehe inakula hela, na uzinzi ni sehemu ya starehe; kama unajua kuzitafuta hakuna shida, Mungu hakumuumba mwanadamu aishi kwa shida, bali binadamu anatakiwa aishi kwa starehe.
 
Kuna watu wanambishia mleta mada. Lakini ukweli ndio huo. Mtu hawi masikini ghafla. Leo unamuona mzinzi na Ana maisha mazuri mpaka unayatamani lkn je maisha yake ya baadaye utayajua?! Watu wanafilisikaga wanapata mikosi na mabalaa ikiwemo vifo vya mapema.
 
Universal....
 
Kuna mwamba Didier Kinuani kule Congo DRC, anakula papuchi si mchezo...na siyo ilimradi papuchi, ni papuchi za viwango tu...yet bado yuko vizuri sana kiuchumi. Raha ya pesa ni kupiga mashine.
 
Kitu chochote kikisemwa sana jua kinaukweli, jambo lolote lina kanuni ya muda kuleta matokeo hivyo hao unaowajua wanafanya uzinzi na Bado wapo vizuri kiuchumi wape muda utapata majibu baada ya kuanza kushuka kiuchumi.
Mbona marehemu Regnald mengi kata na pesa zake?
 
Hivi uzinzi tu unaowapa raha wahusika wote wawili ndiyo dhambi kubwa zaidi kuliko dhambi zote ikiwemo ile ya kukatisha uhai wa binadamu mwingine?

Ijapokua wanasema dhambi zote n sawa,ila kutoa uhai wa mtu inaweza kuwa n zaid ya uovu na kamwe majuto hayatakuisha ndan ya moyo wako….guilty itakumaliza
 
Kuna bro mmoja kkoo yupo toka miaka ya 90 mwishoni hata kiwanja hana na sio kwamba hapati hela anapata sana tu kuzidi watu wengi ila yeye hela zake anatombea tu *****. Madogo wamekuja mjini wana miaka 6 tu wan wameanza kujenga yeye anatombea tu pes zake.

Ni kweli uzinzi sio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…