Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Starehe inakula hela, na uzinzi ni sehemu ya starehe; kama unajua kuzitafuta hakuna shida, Mungu hakumuumba mwanadamu aishi kwa shida, bali binadamu anatakiwa aishi kwa starehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi comment yangu imekutoa gerezani sis darling🤣🤣
Uzinzi una asili ya kutapanya.Kwa sababu kuhudumia michepuko ni gharama sana, kwa sababu kugawa pesa kwa familia zaidi ya moja ni gharama. Lakini kumbuka mcheps anahitaji zaidi ya mke, huwa hajali unapitia nini zaidi ya kupata anachohitaji.
100% fact!!Uzinzi una asili ya kutapanya.
sawa mkuu ila kuna kurithiInapendeza kila mtu akibeba msalaba wake, mambo ya "laana za mababu" sio haki kwa kweli
Mfanye awe mke ili kuokoa gharamaKwa sababu kuhudumia michepuko ni gharama sana, kwa sababu kugawa pesa kwa familia zaidi ya moja ni gharama. Lakini kumbuka mcheps anahitaji zaidi ya mke, huwa hajali unapitia nini zaidi ya kupata anachohitaji.
Nzuri brod darling. God has been faithful. Umemissika kwa kweliNafurahi comment yangu imekutoa gerezani sis darling🤣🤣
Habari za miaka?
Universal....Acheni uzinzi bhan kuna wake kwa ujumla wake Wana mikosi
Natoa kisa changu
Nikiwa nikiwwa najiandaa na safari yangu ya kikazi kwenda sumbawanga usku wake nilikwenda bar kupiga bia mbili tatu na Broo wangu moja HV uyule hapo bas tukakutna na pisi kali kwenye hiyo bar tukawapiga bia nao ,mmoja nikawa nimemuelewa ndipo jamaa angu akanimbia ruka na huyo mtoto ,mtot amenielewa nikaona fresh POA Basi nikaona fresh nikachukuwa mtot fresh had asbh nikamkamua vzr nikaagana nae huyo nikachukuwa ndiga niakzogee she'll ya manyannya hapo uyole nikajaza wese Kisha nikatembee kulekeaa swumbawanga Kisha mpanda
Nilipo fika mlowo nikaona wacha nipitie Kaz fln huko ndani ndani nikaona wacha nilale mlowo asbh nianze safari aloo kat ya saa mbili na robo nilikula mzinga wa hatari gari lote la kampuni ikawa chapati haitamaniki ajabu nilitoka mzima Kama nilivyo
Huwa nikikumbuka Hilo tukio nafananisha na nainahisi kbsa Ni Yule mwnaamke alinialetea mikosi huo ..
Jmn kwangu ngono naisi pia inamikoso ktk maisha yangu
Nasema uongo ndugu yangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaa! Neno mbambamba linanifurahisha sana.haunaga mbambamba, you just state the facts.....
I think I like you😃
Mbona marehemu Regnald mengi kata na pesa zake?Kitu chochote kikisemwa sana jua kinaukweli, jambo lolote lina kanuni ya muda kuleta matokeo hivyo hao unaowajua wanafanya uzinzi na Bado wapo vizuri kiuchumi wape muda utapata majibu baada ya kuanza kushuka kiuchumi.
Mgalatia siruhusiwi kuwa na wake wengi.Mfanye awe mke ili kuokoa gharama
Sikupingi hata kidogo!!Nasema uongo ndugu yangu?
Hivi uzinzi tu unaowapa raha wahusika wote wawili ndiyo dhambi kubwa zaidi kuliko dhambi zote ikiwemo ile ya kukatisha uhai wa binadamu mwingine?