Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
uchawi upo lakin wa kigoma unatisha, yani huko watu kufufuka ni kawaida
 
Ulaya ukigundulika ni mchawi unauliwa kimya kimya, kama wewe si raia wa ulaya unakuwa depoted na hurusiwi tena kukanyaga nchi yao milele yote. ulaya uchawi ni laana mbaya sana hawataki kuisikia.
Mmh usilolijua,,, hadi mavitabu wanayo halafu huko uchawi wazi sio wa kificho
 
Kumbe ndiyp maana Zitto na Mama yake Diamond hawataki kwenda kwao japo waliitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…