Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

Mkuu LIKUD vipi majibu ya maswali yangu mungu wa kabili bado hajakujibu?
 
1.
Kwa kuongezea tu ni kuwa kuna lodges huwa wanapokea ATHEISTS peke yake mfano THE GRAND ORIENT DE FRANCE au grand lodge of france wao hawakuchukui kama una imani juu ya uwepo wa mungu sasa hapo inakuwa vipi mkuu?

Kutokana na wewe kusema kwamba kama sio freemason unakuwa haumjui mungu wa kweli hebu tupe ufafanuzi.
 
Basi waje hao Freemason watueleze ukweli.

Ivi kwanini hawataki kujitambulisha ili tuwaulize maswali ya hiyo taasisi yao ya Freemasoni?

Kama kweli ni watu wema Wakuje basi watueleze nini kinajiri kwenye hiyo imani yao. Au ndio bado wanathibitisha usemi wa Wahenga kuwa " Shetani kamwe hawezi kujitambulisha kama ni Shetani "

Sijaona watu dhaifu kama hao wanaojiita Freemasoni. Kila siku ni kujifichaficha tu na kujikanakana na kujikanushakanusha, na kujisemea kwenye mgongo wa ndizi.

Jitokezeni basi mjieleze kama kweli ni watu wa kutafuta Hekima. La sivyo kaeni kimya hukohuko kwenye mashimo yenu na msijitajetaje kwa watu.

Shame on You.
 
Hahahaha....hii ni kaliii ..... Kila mtu abaki na imani yake tu....
 
Hahaha mkuu mbona unatutisha....
 
Kwani mungu alitoka wapi?

Naomba jibu siitaji vitisho vya kulaaniwa au kusema nimekufuru
 
Watapataje mda wa kumchambua Mungu wakati mambo yao ni ya kishetani? Atheists wana mda na Mungu?
 
LIKUD mzima?Vipi majibu ya maswali yangu mungu wa kabili bado hajakupa majibu mkuu?
 
Mkuu umenipa somo nashukuru,ok,usisahau kumuuliza kuhusu swali no.6 lakini tafadhali umwulize na jingine no.7Je mungu wa kabili ana wazazi?(kumbuka umeniambia anawatoto na ameoa).Shukurani
LIKUD nakukumbusha hayo maswali hapo juu swali no.6 na Je Mungu wa kabili ana wazazi na pia nataka jibu la mungu wako kuhusu walokole na si jibu lako,jibu lako umelitoa nataka jibu la mungu wa kabili.
 
LIKUD nakukumbusha hayo maswali hapo juu swali no.6 na Je Mungu wa kabili ana wazazi na pia nataka jibu la mungu wako kuhusu walokole na si jibu lako,jibu lako umelitoa nataka jibu la mungu wa kabili.
Kuhusu kuwa na wazazi nadhani that's a rhetoric...Kuhusu wakokole nineambiwa ni watu wenye hisia Kali juu ya Mungu.Namaanisha hisia yani ( feelings ) na sio imani ( faith )
 
In addition to that, ask him " Who keep the planets moving in their orbits?"
What keeps planets move in their orbits without colliding is "UNIVERSAL GRAVITATIONAL FORCE" Abbreviated as G, this can be proven if needed, welcome
 
Bro, samahani kiodgo, wewe unachanganya, Freewill ni uwezo wa kufanya chochote, kiwe kibaya au kizuri bila kuzuiliwa wala kuhojiwa na mtu yeyote yule, so ukishaweka tu kwamba tufanye mazuri tu yoypte tunayo yataka, basi that is not a freewill but a controlledwill or guidedwill.

MYTAKE, Nothing exist has complete freewill whether natural or artificial.
 
you are thinking narrowly. why don't you have broad mind and give the entity that limited your the time of your living?
Kiranga japo hata yeye hana majibu kuhusu asili ya Binadamu ila maswali na majibu yake yako wazi. Mfano, wewe unamlazimisha atoe jibu unalolitrgemea, swali ulilomuuliza kiranga linaishia na NANI? ukitaka amtaje MUNGU, kwanini lisiishie KIPI? NINI? etc.
 
Sasa kwenye hilo swali wapi kuna neno nani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…