Mkuu mwenzio nilisoma saint government,sijaona jibu la swali langu ningeza kumwambia Kiranga anisaidie,lakini vipi huyo mungu wa kabili ana wazazi? Mbona haunijibu badala yake unaweka msamiati wenye nia ya kupotezea swali la msingi mkuu.Kuhusu kuwa na wazazi nadhani that's a rhetoric...Kuhusu wakokole nineambiwa ni watu wenye hisia Kali juu ya Mungu.Namaanisha hisia yani ( feelings ) na sio imani ( faith )
Biblia unaijua vizuri bro?Mkuu mwenzio nilisoma saint government,sijaona jibu la swali langu ningeza kumwambia Kiranga anisaidie,lakini vipi huyo mungu wa kabili ana wazazi?Mbona haunijibu badala yake unaweka msamiati wenye nia ya kupotezea swali la msingi mkuu.
Kwa nini usinijibu ndiyo au hapana,mungu wa kabili ana wazazi au hana?
hahaaa Chuma hufua chuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kakutana na mwenzaqe leo... [emoji119][emoji119]
kwa haya maelezo tu "" huto muweza kiranga hata kidogo "" huyo aliyekwambia kuwa JUA huwa linatoka mashariki kwenda magharibi nani " sometimes huwenda mkawa mnahoja nzuri lakini kwakukosa kwenu maarifa huwa mnashindwa kuziwakilisha vyema kisha mnajikuta mnampa Kiranga point "" kama hamjui kitu ni bora muwe mnachagua kunyamaza kama tufanyavyo wakina sie """muwaache wenye akili kubwa waonyeshane umwamba wao ""Ujue kila siku ninapopitia mada zinahusu uwepo wa Mungu huwa nikiona post zako ambazo umekalili baadhi ya maneno na yamekufanya uwe mbumbu kupita maelezo ivi anaekudanganya kuwa mungu hayupo mwambie akome mfano kidogo kuhusu uwepo wa Mungu hivi niambie ni nani analitoa jua mashariki na kuzama magharibi na ninani ambaye analeta usiku na mchana na ninani ambaye anampa uhai binadamu na nani ambaye ametengeneza damu ambayo binadamu kashindwa kusoma hivyo sijui viphilosophy uchwara visikutie uchizi nakuona sana na kakingereza kako kakucopy na kupest Mungu kakupa ufahamu ujitambue
haha hahaaAmbacho sijafafanua ni kipi?
Unaelewakwamba sijasemakwamba kwenye polygon huwezi kupata pembe tatu, nimesema hakuna pembe tatu ambayohapohapo nipembe tatu na pembe sita?
Unaelewa tofauti?
Kwanza unaelewa kwamba silaumu, nakosoa kutokuwepo kwa logical consistency?
Unaelewa hilo?
Pili, unasema yote hayo ni matendo ya binadamu, Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla binadamu hajaumbwa, alishindwa kuumba ulimwengu ambao binadamu hana matendo hayo na hawezi kuwa na matendo hayo?
Hujajibu swali hili, nimeshaliuliza kwakujua utakujana point hii. Hujajibu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Wewe leo una free will ya kurudi mwaka 1982?
Mnajichanganya, mara mnasema binadamu hajikomboi mwenyewe, ila kwa neema ya Mungu tu anakombolewa, mara mnasema binadamu ana uchaguzi mwenyewe.
Kipi ni kweli hapa? Ana freewill na ana contraol destiny au anapata kumjuaMungu na kwenda peponikwa neema ya Mungu tu?
Ambayo hujaijibu.
Kama mazuri ni ushahidi kwamba Mungu yupo, maovu ni ushahidi kwamba hayupo?
Unaweza kuthibitisha kwamba mazuri haya hayatokani na kingine chochote zaidi ya huyo Mungu?
Mimi naweza kusema angekuwepo, asingeweza kuruhusu mabaya yawepo, na mabaya yapo, kwa hiyo hayupo.
Wewe unaweza kuniambia imekuwaje Mungu huyoawepo halafu aumbe ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakatialikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?
haha haaaSio hivyo tu, afya yenyewe ikiugua inakuja kwangu kupata heri.
ha haha haaaThat's some bullshit mumbo jumbo.
Njoo hapa nilipo unipige kibao basi kwa kutumia mawazo yako mpaka mwili wangu upate kupigwa kibao nitajua you are serious.
hahaaaKwani mungu alitoka wapi?
Naomba jibu siitaji vitisho vya kulaaniwa au kusema nimekufuru
nakazia .....umetisha sanaBro, samahani kiodgo, wewe unachanganya, Freewill ni uwezo wa kufanya chochote, kiwe kibaya au kizuri bila kuzuiliwa wala kuhojiwa na mtu yeyote yule, so ukishaweka tu kwamba tufanye mazuri tu yoypte tunayo yataka, basi that is not a freewill but a controlledwill or guidedwill. MYTAKE, Nothing exist has complete freewill whether natural or artificial.
Naijua kiasi.Vipi huko ndiko nitapata jibu la swali langu?Mkuu naona kama hutaki kujibu kama mungu wa kabili ana wazazi.Ungenijibu ndiyo anawazazi au hapana hana wazazi ningekushukuru lakini naona unazunguka tu.Biblia unaijua vizuri bro?
Yesu mwenyewe alikuwa na wazazi seuze mungu wa Kabili.. Ndo maana nimekwambia Swali lako halina mashiko..Hakuna binadamu ambae hana wazaziNaijua kiasi.Vipi huko ndiko nitapata jibu la swali langu?Mkuu naona kama hutaki kujibu kama mungu wa kabili ana wazazi.Ungenijibu ndiyo anawazazi au hapana hana wazazi ningekushukuru lakini naona unazunguka tu.
Mungu ni stories tu, hakuna anayeweza kuthibitisha yupo.Mkuu mwenzio nilisoma saint government,sijaona jibu la swali langu ningeza kumwambia Kiranga anisaidie,lakini vipi huyo mungu wa kabili ana wazazi?Mbona haunijibu badala yake unaweka msamiati wenye nia ya kupotezea swali la msingi mkuu.
Kwa nini usinijibu ndiyo au hapana,mungu wa kabili ana wazazi au hana?
Wameshathibitisha Mungu yupo?kwa haya maelezo tu "" huto muweza kiranga hata kidogo "" huyo aliyekwambia kuwa JUA huwa linatoka mashariki kwenda magharibi nani " sometimes huwenda mkawa mnahoja nzuri lakini kwakukosa kwenu maarifa huwa mnashindwa kuziwakilisha vyema kisha mnajikuta mnampa Kiranga point "" kama hamjui kitu ni bora muwe mnachagua kunyamaza kama tufanyavyo wakina sie """muwaache wenye akili kubwa waonyeshane umwamba wao ""
Hawa wengine hata hiyo imani wanayoitetea hawaielewi.haha hahaa
.mimi huwa na vutiw na jinsi ambavyo unavyoweza kuzipangua hoja za Hawa Jamaa "" kuna mtu kasema binaadamu ana free will lakini hapo hapo anashindwa kujizuia kuepuka kuupata usingizi""
jeuri hiyo waitoe wapi ??Wameshathibitisha Mungu yupo?
Mbona Mungu mwenyewe msiri amewaacha watu wanagawanyika kuhangaika kumjua wakati angeweza kujitokeza kumaliza utataLIKUD
i hope kama ningekuwa nimekuletea hile video yao nadhani ungeacha kuwapotosha watu humu
pili sitaki kuamini neno la mungu linatakiwa liwe siri juu ya wanadam aliyowaumba wew jamaa sio mtu zuri shame on you kwanz umekaa kiongo sanaa uandishi wa ovyo
Mkuu kiranga hebu tufafanulie itakua imetumika sayansi gani hapa kwa huyu jamaa mpaka mzigo ukamganda?Hawa wengine hata hiyo imani wanayoitetea hawaielewi.
Wamefanya kuirithi kifamilia tu, kwa sababu baba aliamini hivi, basi na mtoto anafuata mkumbo bila hata kuelewa.
Mkuu kama unasoma biblia pia imesema majibu yetu yawe ni ndiyo au hapana zaidi ya hayo yanatoka kwa shetani.Wewe nimekuuliza mungu wa kabili ana wazazi unatakiwa kujibu ndiyo au hapana otherwise unaprove wewe ni pure Tanzanian ukiulizwa swali unajibu kwa swali.Unaona shida gani kutoa straight answer,swali hilo inawezekana kwako halina mashiko lakini kwangu lina mashiko,mimi ninayetaka nimjue huyo mungu wa kabili yamkini kama akinipendeza nimfuate unaninyima haki yangu ya msingi ya kujua.Na kama wewe unamwabudu kwa nini hutaki kuwaelezea na wengine wamjue vizuri kabla ya kuamua kumwabudu?Yesu mwenyewe alikuwa na wazazi seuze mungu wa Kabili.. Ndo maana nimekwambia Swali lako halina mashiko..Hakuna binadamu ambae hana wazazi