Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sawa.Kibali hawajaomba tokea Ijumaa na hawakuwa na mpango huo wa kuomba kibali.
Ila mipango ni kufanya maandamano yaliyo na lengo la kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani.
Sasa ndo wakamatwe na kuwekwa ndani?Mbowe na Lema wanafahamu taratibu zote kwani wao si mara ya kwanza kufanya maandamano.
Ccm haijashinda kwa kishindo, imeshinda kwa LUSHINDO.CCM ichokwe na nani wakati imeshinda kwa kishindo mkuu!
Katika shughuli za kipolisi hiyo ni tactic ya kudhoovisha hamasa kwa wale wanaochochewa kwani wasipowaona viongozi kule mbele basi hawawezi kujitokeza mstari wa mbele.Sawa.
Lakini, hilo ndo kosa la kusababisha mtu akamatwe na kuwekwa ndani?
Kama nani?That is irrelevant and debatable.
Wanaoshikiliwa wanashikiliwa kwa sababu gani? Kwa ushahidi gani? Unahakikishaje hawashikiliwi kisiasa?
Ah wapi!Katika shughuli za kipolisi hiyo ni tactic ya kudhoovisha hamasa kwa wale wanaochochewa kwani wasipowaona viongozi kule mbele basi hawawezi kujitokeza mstari wa mbele...
Lissu ni mwanasheria hivyo si mjinga kiasi hicho.Sasa ndo wakamatwe na kuwekwa ndani?
Halafu mbona Lissu yeye hajakamatwa?
Au yeye wanamwogopa sasa hivi?
Walijuaje? Unaweza kumkamata mtu kwa haki kwa kosa ambalo bado hajafanya?Kwasababu polisi walijua kwamba mipango si kuomba kibali bali ni kuingia tu barabarani kienyeji.
Kwani katiba inasema kuna kikomo cha kuandamana?So far, wameshapanga kuandamana bila kikomo...
Hata maeneo watakayo andamania wameshajipangia..
Sasa mkuu, Mambosasa si ameeleza sababu za kukamatwa kwa Mbowe na wenziwe?Walijuaje? Unaweza kumkamata mtu kwa haki kwa kosa ambalo bado hajafanya?
Kama hilo linawezekana, nini kinawazuia polisi kuzusha tu kwamba wanakukamata wewe leo kwa sababu wanajua kesho utaiba?...
Watakuwa wanaogopa backlash hao.Lissu ni mwanasheria hivyo si mjinga kiasi hicho.
Pia Lissu namwona akicheza kete fulanifulani hivi.
Unaelewa kwamba hawa ni wanasiasa na Polisi wanatumika kuwadhibiti kwa sababu za kisiasa?Sasa mkuu, Mambosasa si ameeleza sababu za kukamatwa kwa Mbowe na wenziwe?
Kwa mfano hata huko uliko, polisi si huweza hata kubomoa mlango wako kisa tu mtu fulani kawapa tip kuhusu wewe na shughuli zako zisizoeleweka?...
Believe me or not Lissu na wenzie wote mipango yao ipo viganjani mwa serikali.Watakuwa wanaogopa backlash hao.
Maana Lissu naye kasema atakuwepo kwenye maandamano.
Sidhani kama Magufuli yuko tayari kwa backlash atayoipata akimdhuru Lissu.
Aliyeshikiliwa anayezungumziwa katika uzi huu ni nani?Kama nani?
Wanamwogopa.Believe me or not Lissu na wenzie wote mipango yao ipo viganjani mwa serikali.
Tundu Lissu hataguswa kwa namna yoyote ile.
Ndio ni wanasiasa.Unaelewa kwamba hawa ni wanasiasa na Polisi wanatumika kuwadhibiti kwa sababu za kisiasa?
usiku huu wananchi wameanza kukusanyika kwenye daraja la mfugale kwa ajili ya kuanza kazi saa 2 asubuhi Buguruni sheliWewe Mambosasa unahangaika bure, maandamano yako palepale sanasana ndio wametuongezea munkari subirini kesho asubuhi polisi uchwara ndio mtaelewa nguvu ya umma ni nini ? Mnaambiwa maandamano ya amani mmekazana tu na upimbi wenu .