Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Hili tulilitarajiani ila wanazidi kuharibu.Hakuna watachowafanya zaidi ya kuja kuwaachia tu lengo likiwa ni kuvuruga maandamano ya kesho kwani hayo mashitaka hata wakiambiwa watoe ushahidi kuyathibitisha watakuwa hawa hawana...
Kubembelezana kunaelekea kufika ukomo!!!
 
Hili tulilitarajiani ila wanazidi kuharibu.Hakuna watachowafanya zaidi ya kuja kuwaachia tu lengo likiwa ni kuvuruga maandamano ya kesho kwani hayo mashitaka hata wakiambiwa watoe ushahidi kuyathibitisha watakuwa hawa hawana....
Mnataka kuandamana mnaanza ngonjera nyiiingi! Acheni kelele zenu nyinyi ingieni barabarani mgeuzwe walemavu.

Kukamatwa kwa hao wachache haiwazuii kuendelea na mpango wenu. Maana route zote tayari mnazijua. Ingieni barabarani sasa.

#Mtachapika
 
Daah, kuna watu wajanja sana.

Yani Mbowe na lema wamefanya figisu wajikamatishe police iliwawaachie wajinga hayo maandamano.

Wakati wahuni watakapo kula kipondo kwakuzuiya shuguli za uzalishaji wenyewe wapo kwenye mikono salama ya police.

Tusipelekwe pelekwe kama mang'ombe tutulie tujenge nchiyetu maisha yaendembele tuache mambo ambayo yatatufanya tujute maisha yetu yote.
 
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbushia Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Sasa Kwan hujui Libya ni vijana wavuta bangi ndio walio iangamiza nchi unafikir wangekua watu wenye busara zao nchi Ile ingeangamia
 
Polisi wangewaacha tu waandamane kupunguza stress za kushindwa, wanapitia wakati mgumu sana bt wakati utawaponya na watazoea
 
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbushia Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Ukiangalia hali ilivyo Libya kwa sasa, je! Huamini maneno ya Ghadafi aliyosema!
 
Hawa wahuni wanatishia kuhatarisha amani ya Tanzania ni vyema wakadhibitiwa.

OTHERWISE

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Hao wanatukera sana, nadhani siyo kuwashikilia tu hata mkiamua muondoke nao moja kwa moja. Watanzania zaidi ya milioni 50 ni muhimu kuliko watu hao watatu. Kwa sababu kuchoma vituo vya mafuta ni zaidi ya siasa, ni ugaidi. Kama wapo mashekhe ambao wapo ndani kwa tuhuma tu za ugaidi na wakati hawa ushahidi wao unaanza kutolewa waziwazi, basi isiwe shida nao hao kusukumwa wapotelee huko au vinginevyo...
Yaani kwa huu ujinga ulioongea kuanzia sasa jiandae kuwa na ulinzi kama Jiwe 24/7. Hiyo kichwa yako yenye kamasi ndani ni ya kukata na kuipasua kabisa!
 
Yaani kwa huu ujinga ulioongea kuanzia sasa jiandae kuwa na ulinzi kama Jiwe 24/7. Hiyo kichwa yako yenye kamasi ndani ni ya kukata na kuipasua kabisa!
Kwahiyo unatishia watu? Wewe ni nani haswa mpaka utishe watu?

Uchaguzi umeisha na mshindi ni Magufuli.

Itoshe kusema,

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tanzania is a police state.
JPM aapishwa.jpg


Yeah, agreed!​
 
ITV ni chombo cha propaganda na wala siyo Independent kama kinavyojipambanua.
 
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbushia Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Mambosasa anaamini ni bangi tu ndio inaweza kumshawishi mtu. Hajui kwamba Bangi imehalalisha katika mataifa na hakuna tatizo. Hivi kwanini iwe bangi na siyo vilevi vingine vikiwemo pombe na madawa?

Nadhani IGP hakumshauri RPC vizuri. Kauli ya Mambosasa inaondoa shaka hasa kwa waliogoma kutuma salam na wale wanaotaka uchaguzi huu uangaliwe upya, wenye shaka ! Tumefikaje hapa kama Taifa? Ni chuki tuu

Kuwashikilia akina Mbowe kunajenga hisia na kuleta udadisi '' Curiosity'' zaidi, ni mbinu mbaya sana na inaiweka serikali mahali pagumu bila sababu. RPC ana draw attention ya dunia bila sababu yoyote!

Wiki mbili zilizopita IGP Sirro alimsema huyu kamanda, lakini kubwa zaidi alisema '' Ukiwa RPC unatoka kutoa taarifa, jiandae kwanza ujue unaenda kuzungumzia nini na kwanini''

Sasa macho ya dunia yanazidi kuikodolea Tanzania. Afande hawa akina Mbowe si sawa na Queen Sendega!
Own Goal ! unforced error.

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Somo kwenye huu mjadala, usidharau wasukuma wapo wenye akili kama Nyani Ngabu
 
Ndio maana nasema bangi inashusha thamani ya mtu, yaani vijana wavuta bangi wanatajwa kama ni ka-hazard flani hivi
 
Back
Top Bottom