TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kubembelezana kunaelekea kufika ukomo!!!Hili tulilitarajiani ila wanazidi kuharibu.Hakuna watachowafanya zaidi ya kuja kuwaachia tu lengo likiwa ni kuvuruga maandamano ya kesho kwani hayo mashitaka hata wakiambiwa watoe ushahidi kuyathibitisha watakuwa hawa hawana...