Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mwandishi wa habari Tanzania achukuliwa kwa nguvu nyumbani
Mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera anadaiwa kuchukuliwa kwa nguvu na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi nyumbani kwake nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam eneo la Mbweni.mobile.mwananchi.co.tz
Asubuhi wanakana kuwa na mtu jioni wanakiri kuwa wao ndio wanae!!!
Mungu atuepushe na kikombe hiki laa si hivyo basi mapenzi yake na yatimie...
Mie nilivyo na chuki nao..ningeenda na petrol kituon..yaan unaamua kufa tu..shebzy zao
Mimi ningeruhusiwa hata Nitukane kidogo tu
Hivi hawa wajinga hafahamu kuwa watanzania wengi tuna elimu na tuna iq kuwazidi waoKamanda Mambosasa anasema:
Erick Kabandera alikamatwa nyumbani kwake baada ya kukataa wito halali wa Jeshi la Polisi
Awali aliandikiwa barua ya wito ajili ya mahojiano lakini alikaidi kutii wito halali wa Polisi
Jeshi la Polisi likimwita mtu kwa hiari akikaidi, sisi tunamwezesha atii
Baada ya kukamatwa tumesikia watu mbalimbali wakidai ametekwa. Niseme hajatekwa lakini kwa jeuri akawa amekaidi kutii wito.
Aliitwa kuhusiana na Utata wa Uraia wake. Kwa kushirikiana na Uhamiaji, tunafuatilia uhakika wa uraia wake pale atakapotoa vielelezo mbalimbali kuthibitisha uraia wake. Sasa tunaye, taratibu nyingine za kiupelelezi zinaendelea.
Hajatekwa, amekamatwa na tunaye Central Police.
Upelelezi unaendelea, tukikamilisha upelelezi matokeo ya upelelezi ni kupelekwa mahakamani
Kwakuwa alikaidi wito, hatukuwa na namna zaidi ya kumkamata na kumshikilia
Nchi hii hata ukiwa na uraia pacha hata kama uliwahi kuwa ngazi ya juu siku ukisigana nao UTAHOJIWA URAIA TU!!!Uraia pacha,utamaliza haya mambo ya kuhojiana uraia.
Saa zingine mtu unawaza "...sijui naishi nchi ya kipumbavu... au tungali athari za mashenzini!?"NI fimbo ya hovyo sana hiyo, Chiluba alijaribu kuitumia hadi kwa raisi mstaafu wa nchi hiyo Mzee Kaunda kwa kumuita eti ni Mmalawi, lakini kilichomtokea yeye mwenyewe Chiluba baada ya kutoka madarakani ni somo kwa viongozi wote wa Afrika
kwa Akwilina alisema "Kati ya risasi zilizopigwa juu moja ilimpata" wakati Akwilina alikuwa kwenye hiace wala haiko kwenye flyover. mwenyewe nasubiri jibu la swali lakoHuyu kamanda mambosasa ana elimu level gani?
Kinachoshangaza ni pale mwisho wa siku wakistaafu WANAPOKUWA MAKOROKORONI!!Mie nilivyo na chuki nao..ningeenda na petrol kituon..yaan unaamua kufa tu..shebzy zao
Kiswahili kugumu sanaMovie nyingine inaanza!!!
Msishangae pia waandishi wenyewe wakashindwa kumuhoji maswali ya msingi kama vile ni kwanini wamkamate kama jambazi badala ya kumtaka afike Polisi.
Elimu isihusishwe katika hili maana wengine walielimika mpaka ngazi ya juu kabisa wakanadi wametoka jalalani!!! Ila kuna uwezekano "ubongo na kichwa" vilishajitenga...kwa Akwilina alisema "Kati ya risasi zilizopigwa juu moja ilimpata" wakati Akwilina alikuwa kwenye hiace wala haiko kwenye flyover. mwenyewe nasubiri jibu la swali lako
Hilo nalo neno,mwenye cv yake atumwagie mchuziHuyu kamanda mambosasa ana elimu level gani?
Hii tabia ya watu wanaokosoa serikali mnatumia Fimbo ya Uraia au Kuhujumu uchumi hizi ni Tabia za kishamba tukianza kutafuta uaria wa kila mmoja hii nchi itajikuta amna Raia