Polisi wetu na viongozi wa siasa, kiujumla, huwa wanaongea kama vile hawajui sheria wala katiba.Full comedy, onamaana ni lazima kwamba matokeo ya upelelezi yakikamilika yainyeshe kuwa si raia?
Kama upelelezi utakuwa huru kwanini wang'anganie kuwa watampeleka mahakamani?
Full comedy, onamaana ni lazima kwamba matokeo ya upelelezi yakikamilika yainyeshe kuwa si raia?
Kama upelelezi utakuwa huru kwanini wang'anganie kuwa watampeleka mahakamani?
Wewe unene wako unanitia shaka kama huna mtindio. Kasema amepewa wito wa kaeaida akakataa tena karudia zaidi ya mara moja. Soma uelewa.Movie nyingine inaanza!!!
Msishangae pia waandishi wenyewe wakashindwa kumuhoji maswali ya msingi kama vile ni kwanini wamkamate kama jambazi badala ya kumtaka afike Polisi.
Bashe alipona baada ya kusifia na akapewa na uwaziriFimbo ya "uraia" naona inatumika tena kwa wanaokosoa serikali
Victoire bwana!! Hayo ni majina tu yanafanana. Baba wa huyu kabendera in 2013 huko kwa Bukoba alikamatwa na kuhojiwa kuhusu uraia wake na mwanaye na alielezwa kua sababu ya kuhojiwa ni mwanae. Lakini liliisha nadhani walimrudishia pia passport yake. Nashangaa wameifufua tena!!!!Yule ni baba yake nasikia. Nimegoogle. Huyo baba alijirusha lake Victoria baada ya kuambiwa sio raia. Alipiga kura uchaguzi 2000.Alishitakiwa akaishia kujiua. View attachment 1167100
Nimejiuliza, mpaka mtu ashukiwe "uraia" kuna vigezo gani vinaangaliwa? Maana wengine tusiojua breki ya mdomo tunaweza kuunganishwa humo kama hakuna misingi ya kueleweka.
Nina shaka sana kama waandishi wa kibongo wameuliza hili.
Ingawa hata wao wamo katika hatari ya kushukiwa "uraia" siku yoyote.
Kumbe ni ile makala yake kwenye gazete la economist, hapo lazima tofali na uraia likugonge kichwa.Hii inadhihirisha kuwa watanzania ni vilaza,mtu akiwa anaandika habari za uchunguzi lazima wahoji uraia wake maana watanzania kazi yao ni kuandika habari za mara zari sijui Tanasha sijui Diamond. Hongera Eric wewe ni kipanga si mchezo kuandika nakala kwenye gazeti la The Economist.
Ok Asante.Mimi nikajua labda ni baba wa huyu Eric pia. Maana hata huyo Journalist wa Rwanda nimesoma mahali kuwa walishaishi Tanzania.Victoire bwana!! Hayo ni majina tu yanafanana. Baba wa huyu kabendera in 2013 huko kwa Bukoba alikamatwa na kuhojiwa kuhusu uraia wake na mwanaye na alielezwa kua sababu ya kuhojiwa ni mwanae. Lakini liliisha nadhani walimrudishia pia passport yake. Nashangaa wameifufua tena!!!!
Kabendera shinani wa BBC ana mtoto wake wa kike anatangaza kwenye TV huko Rwanda.
Hao wanaoishi nje na kusifia ujinga huu wanasifia moto unaokuja kuwachoma wao wenyewe.Bora Praise Team akina Mzee Mwanakijiji aka MAGATA wanaishi zao nje.
Ndio hata mimi huaga najiuliza; hivi wakinikamata kwamba sio raia, nitaonesha nini ili wao wajue kama mimi kweli ni mtanzania pure nisie na hata chembe za impurities!? Au wanapima MKO.jo!?Nimejiuliza, mpaka mtu ashukiwe "uraia" kuna vigezo gani vinaangaliwa? Maana wengine tusiojua breki ya mdomo tunaweza kuunganishwa humo kama hakuna misingi ya kueleweka.
Nina shaka sana kama waandishi wa kibongo wameuliza hili.
Ingawa hata wao wamo katika hatari ya kushukiwa "uraia" siku yoyote.
ASIYEJULIKANA NI ANAYEJULIKANA ALIYEPEWA 'ASSIGNMENT' YA KU'DEAL' NA MTU ASIYEMJUA!Kwani "wasiojulikana" ni kina nani?
Swali muhimu na la msingi sana, ila Mambosasa anaweza kuitisha press conference halafu asiulizwe.Ndio hata mimi huaga najiuliza; hivi wakinikamata kwamba sio raia, nitaonesha nini ili wao wajue kama mimi kweli ni mtanzania pure nisie na hata chembe za impurities!? Au wanapima MKO.jo!?
Huyo Kabendera shinani wa BBC nae babake alikua mtanzania na alizaliwa na kusoma elimu yake yote Tanzania ila mamake ndo alikua Mnyarwanda. Kwa sasa amebaki binti yake anaitwa Tidjara.Ok Asante.Mimi nikajua labda ni baba wa huyu Eric pia. Maana hata huyo Journalist wa Rwanda nimesoma mahali kuwa walishaishi Tanzania.
Tatizo jeshi la polisi likipelekwa kwa "amri kutoka juu" haya yote linayafumbia macho.Ni mwendelezo wa kujitia aibu tu kwa jeshi la polisi, uwezi kuamua tu kumuita fulani aje umuhakiki uraia chini ya katiba inayotambua raia wote sawa.
Hii ni ‘selective prosecution’ ni kitu ambacho mahakama makini inatakiwa kutupilia mbali shitaka kama hilo hakuna zoezi la jeshi la polisi rasmi linaloendelea la kuhakiki wananchi waliozaliwa Tanzania why iwe kwa huyo bwana Bendera.
Isitoshr sio kazi yao Kama angekuwa anatakiwa kutoa maelezo ya uraia si angeitwa na uhamiaji polisi inahusu vipi; ata mpakani au maeneo yenye matatizo zoezi huwa tunaona mazoezi kama hayo yakiendeshwa na maafisa wa uhamiaji polisi wao wanapewa tu wakishamalizana nae.
Shame on the police force
"Heri kufa ukiwa umesimama, kuliko kuishi huku umekaa"Kufa tutakufa wote siku moja, bora kufa ukisimamia haki yako kuliko kuishi kama mtumwa.