Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

We unajua kapigwa na nani huko bar alikokua anakunywa tangu saa moja hadi nne?

Ukisoma barua ya Polisi inahusu mtu mmoja kushikiliwa kwa tuhuma za kujeruhiwa kwa Padri Kitima.

Nikisoma naona umuhimu upo kwenye mtu kushikiliwa kwa hizo tuhuma.

Lakini kwenye barua hii ya mtu kushikiliwa ni sentensi moja kabla ya sentesi ya ku conclude.

Halafu barua yote inaelezea kutokea tukio la kujeruhiwa na kutilia mkazo kuwa aliyejeruhiwa alikuwa kantini "anapata kinywaji" kuanzia saa 1 baada ya mkutano mpaka saa nne na robo alipoenda maliwatoni.🤣

Sasa ndio tumjue Padri Mlevi au tukio halikutokea kalewa na kuanguka etc
 
Kimsingi ungekuwa wewe ni RCO Dar naamini using usingeacha kumhoji huyu mtu anaitwa Frey. Maana kuna chanzo cha taarifa
 
"Sio kila shambulio Lina baraka za mwenyekiti!mengine ni maovu ya watu kwa malengo yao"Mwenye hekima alisikika!!
Mwenyekiti hajiwezi. Hata kukemea hawezi ndiyo maana watu wanahisi amebariki. Maana Ali Kibao katekwa hakuna hatua zimechukuliwa. Sativa katupwa Katavi na SACP Faustine Mafwele naye bado yuko ofsini.
 
Na atoke mwenyewe huyo Dr ili aseme hiyo siyo Account yake na atuoneshe akaunti zake halisi...
Kina mahali kwenye page ya FACEBOOK anajitambulisha kama Mjumbe wa Kamati ya Uhamasishaji CCM Mkoa wa Dar:-
 
Kazi ya upolisi
Kwa uwongo aliosema Muliro juu ya wanachadema waliovunjwa miguu na mikono na Polisi inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu jambazi Muliro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…