GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jimbo la Ngorongoro
(1) Ndugu Prof. Kokel Letia MELUMBO
(2) Ndugu Elizabeth Sinodya GIBASEYA
(3) Ndugu Yannick Ikayo NDOIYO
(4) Ndugu Marx Simon KAMAONI
(5) Ndugu Rose Ormorijoy NJILO
(6) Ndugu Sylvanus Mizengo Ole PINDA

Bolded, ni mmasai wa wapi huyo ?
 
Mwijuma in
Kabudi in hapo wote udenda unawatoka kwenye nafasi za michezo
hiyo wizara ni kubwa igawanywe, wizara ya michezo mwinjuma na kikeke waiongoze, kabudi ateuliwe wizara nyingine nyeti
 
Reactions: x x
Majimbo ya Kahama mjini na Urambo vipi uko?
Jimbo la Kahama Mjini
1) Ndugu Sweetbert Charles NKUBA
2) Ndugu Francis Fikili MIHAYO
3) Ndugu Jumanne Kibela KISHIMBA
4) Ndugu James Daudi LEMBELI
5) Ndugu David Anyandwile KILALA
6) Ndugu Juliana Kajala PALLANGYO
7) Ndugu Benjamini Lukubha NGAYIWA

Jimbo la Urambo
(1) Ndugu Margaret Simwanza SITTA
(2) Ndugu Daud Jackobo NGASA
(3) Ndugu Haruna Said MASEBU
(4) Ndugu Omary Hassan KISSESA
(5) Ndugu Zakaria Mabubu MGANILWA
(6) Ndugu Athumani Yassini SIZYA
 
Ahsante sana kaka.
 
Aah hizo akili za huyo jamaa dp (pac) na dear mama yake,nikifikiria ninavyopambana kwenye vibarua mashambani,site nk.. nywele za korodani nyeupe kwa jasho mgando,salute nyingi sana kwa mshua kuhakikisha milo mitatu haikosekani
Sijawahi mtweza mzee, ila sina proof yake sasa, mzee kaondoka mie bwana mdogo sana, halafu bimkubwa kapambana, kaziba sana pengo la mshua..
Nimekuwa nimekuwa baba naona jitihada zangu, huenda mzee angekuwa kama mim, ningekuwa proud nae, ila sasa mie nakuwa ni bimkubwa anapambana katika namna haielezeki.

Kwangu mama yangu ni kiumbe bora zaidi kwangu.
 
Reactions: Tsh
mmasai wa kuhamia
 
Asilimia kubwa kama sio wote hawana uwezo wa uongozi…uchawi na uchawa kila mahala….
 
Tuendelee kuchambua vigogo waliotemwa, je watarudi mzigoni kwa namna nyingine?
 
January Out.
Nape Inn
Vigezo???
 
Tunaenda na Nyambari Nyangwine alisaidia sana katika elimu na vitabu vyake vilikuwa straight forward topic moja ya hesabu unaikata siku moja kwenye geography ndio usiseme points ame analyse vizuri kweli. Wana Tarime vijijini twendeni na bwana Nyambari Nyangwine. CCM oyeeeeeee
 
Makalla asema ccm inapendwa na makundi mengi, mama lishe, bodaboda, bongo muvi, wasanii, waandishi. Sasa mbona sijaona mama lishe na bodaboda waliopeta? Shilole kapeta? Kwa kundi gani la mama lishe, wasanii au bongo muvi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…