Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

Makonda ndio Anguko la CCM, ni sawa na Bad X kwenye Mahusiano, hakuna ndoa hapo.
 
Halafu CCM wakitoa maazimio kutoka vikaoni, wanavisimamia. wakienda juu kichwa pasi kwa pasu

Wenzetu CHADREAMERS wakifika angani, wanabutua!

Waulizeni Sauti ya Watanzania yaliyowakuta.
 
Fitna, Husda, Jino Pembe, Umbea, Zimejaa Sana Ccm Vinginevyo Hutoboi
 
Haya mambo ya Mtendaji Mkuu kujiuzulu ghafla tulizoea kuyaona Chadema kwa Dr Slaa na baadae Dr Mashinji

Sasa yametokea CCM na nafasi hiyo itakaimiwa na Naibu Katibu mkuu kama wanavyofanya Chadema

Siasa za Tanzania zimefika mahali ambapo Uvumilivu wa ziada unapaswa Kuwa kigezo cha Uteuzi hasa zama hizi za utandawazi na Kuzushiana

Mlale Unono [emoji3]
Kuna dhambi ama jinai imefanyika kwa kujiuzulu!!?
Umewaleta hao makatibu wakuu waliopita wa CDM kuonyesha kuwa Chongolo naye atafuata nyendo zao (kuhamia chama "twawala" kwa Slaa na Mashinji), hivyo yeye ataenda CDM!!???
 
Wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa

Toka maktaba :

TOKA MAKTABA

2 Julai 2023
Mbeya, Tanzania

"HIZI SIO KAULI ZA MWENYEKITI WA CCM" - DR MPANGO AKASIRIKA AMVAA MWENYEKITI WA CCM MBEYA
Miradi mingi imekwama asema mwenyekiti wa CCM mkoa na kauli hiyo kumstua makamu wa rais

View: https://m.youtube.com/watch?v=u_plPg33ltk


Kuhusu bandari, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya alisema haya :

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya ajitosa sakata la Bandari, na uwezekano wa CCM kuanguka kisiasa. Asisitiza Uhuru wa Kusema na kukosoa una manufaa



Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Dr. Stephen Mwakajumilo aliye mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC anajibu swali kuhusu sakata la bandari na uwezekano wa CCM kuanguka kisiasa kwa kukosa ushawishi na mvuto kwa wananchi.

Dr. Stephen Mwakajumilo asisitiza umuhimu wa utamaduni wa kusema kweli na kukosoa ni mzuri ili kuweza kurekebisha pale serikali ilipoishindwa ....
 
Soma zaidi

Anthony Dialo amuomdoa Mwenyekiti wa CCM Mwanza; ajiandaa kuchukua nafasi​


22 September 2022
MWENYEKITI MPYA CCM MWANZA ALIVYOTANGAZWA KWA KISHINDO

Sixbert Jichagu Mwenyekiti CCM Mwanza​

Sixbert Jchagu Mwenyekiti CCM MwanzaSixbert Jichagu Mwenyekiti CCM Mwanza
 
Fitina


22 September 2022
JINSI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA ALIVYOSHINDA KWA KISHINDO

View: https://m.youtube.com/watch?v=i4tYfa9cf-Y

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, ndugu Sixbert Jichabu baadaye 2023 akateuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Masasi.
 
Mbona unamuandama sana huyo jamaa kama ni kichaa kamtengee kijambio chako uone kama atakosea pa kuingizia
Bila shaka yo yote alikupakua kinyesi kimasihara bila kukulipa!

Pole sana kamtafute Ufipa atapunguza deni!
Subhanallah!@Gilbert alale mahala penye giza totoro!Aimiin 🙏
 
Haya mambo ya Mtendaji Mkuu kujiuzulu ghafla tulizoea kuyaona Chadema kwa Dr Slaa na baadae Dr Mashinji

Sasa yametokea CCM na nafasi hiyo itakaimiwa na Naibu Katibu mkuu kama wanavyofanya Chadema

Siasa za Tanzania zimefika mahali ambapo Uvumilivu wa ziada unapaswa Kuwa kigezo cha Uteuzi hasa zama hizi za utandawazi na Kuzushiana

Mlale Unono [emoji3]
wapi katibu mkuu kajiuzulu,hizo ninpropaganda za kijinga
 
Back
Top Bottom