Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Hii ni Afrika Bwana...

Kule Mbele ni nadra kukuta vikao vya chama majengo ya serikali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Haya yote ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere
Fact.

Tulikuwa tunaambiwa zidumu fikra za Mwenyekiti wa chama, tunaitikia ZIDUMU!

Na akiwa kijana huko Scotland anadai alikuwa member wa The Fabian Society... ambacho ni kijiwe cha mijadala na uhuru wa maoni kuanzia mchana mpaka kunakucha.

Mtu mwenye exposure ya siasa za dunia na uhuru wa maoni na sheria na haki za watu na kila kitu kwa kiwango cha Uingereza iweje akaja nyumbani na mawazo ya kidikteta dikteta kama ya kina Amini, Bokassa, Mobutu, Mengistu, Babangida, mijitu ambayo haijaenda shuleeeee ????

Na hili li Muungano lake alilotutwika shingoni. Our history's worst mistake.
 
Hawa wajumbe huwa wapo sehemu moja , kuweza kuwakusanya kwa haraka namna hii? Au kuna namna hela na rasilimali za serikali zinatumika ??
 
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Huu utaratibu wa kufanyia vikao vya ccm ikulu aliuanzisha Magufuli
 
Kutumia Ofisi zetu kwa Shughuli za Chama hii imekaa vipi ? Wanalipia ? Hii sio Mali ya Chama mjue!???

Wanasiasa wa Sasa inabidi wajue ukiwa Rais ni Rais wa Nchi na sio Chama kama vipi Rais asiwe na kofia nyingi shughuli za Chama amwachie mwingine..
 
Nimependa sana hii kitu ya namna Rais alivyokubali jina lake liandikwe, napenda isambae kwa wote wenye madaraka
 
Mavi ya njiwa
 
Wanaenda kujadili mambo ya madaraka, wakati umeme na maji yamewashinda. Wazungu kutuita manyani hawajakosea.
Nafikiri tukodishe viongozi toka Ulaya kama tufanyavyo kwa makocha🤣🤣🤣
 
tuanze kumpongeza mwenyekiti na fikiri kikao ni kwa ajili ya huu umeme unaokatika mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…