The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Shida ya upinzani huanza kujenga chama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu
uchaguzi ukishapita huwa wote wana relax hawana habari wala mkakati wowote....
Kiongozi bora ni yule anaeweza kuona effect ya maamuzi yanayochukuliwa leo hii kwa miaka mi5 ijayoKwa hiyo una maana gani hapa kwa kifupi kabisa?
Je, una maana hawa kinadada 19 wamevunja kanuni 1 na kwa hiyo CHADEMA isijali sana kwa sababu wataepuka madhara ya miaka 3?
Madhara gani hayo? Kukosa ruzuku ya pesa kwa miaka mi3 au 5 siyo?
Kama una maana hiyo, basi bila shaka naweza sema hivi, You are so WEAK and COWARD. Hufai kuwa kiongozi wewe..!!
Ccm mbona mnateseka, si muwachukue[emoji23][emoji23]Vichwa 19 vimetemwa,hebu acha ni assume nafikiria tu
vichwa 19 vionyeshe makali yale yale kwa miaka hii 5 wakiwa
huko bungeni na ktk utendaji kazi,kufika 2025 vifanyiwe usajili kuja CCM
hivi 2025 CCM ikishinda tena uchaguzi mtalalamika mmeibiwa kura ndugu pipoz?!
Judicial review gani? Wapi? Wapi imeandikwa mahakama ina unlimited jurisdiction?H
Kasome vizuri judicial review ujue nguvu na jurisdiction ya mahakama kwenye masuala hayo
Hawajafukuzwa ni strategy kali tuu ya kuwapumbaza.Mkuu zinakutosha? Hujui Siasa za upinzani zilipigwa pending miaka 5 ama ulikuwa bado unachukua boom shule? Kuvukuzwa hao kinamama ni sawa na alivyofukuzwa Membe tens kosa la Membe was soon smooth nearly to none ukilinganisha na hawa wasiojitambua mpaka wanawake wenzao wanawashangaa.
Kanuni zipi hazijafuatwa mkuu?CHADEMA imejichimbia kaburi kwa kukurupuka kwenye maamuzi badala ya kufuata katiba na kanuni za chama kwenye hili sakata
Future ya Nusrat ni kuwa Mwanaharakati au kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNasrat; ulikuwa ndani miezi kadhaa; umetolewa usiku kwa ulinzi mkali... hukujua.lolote zaidi ya kukutana na deal mezani..
Nadhani hukupata hata nafasi ya kutafakari zaidi ya kuambiwa kesho ni kuapa kwamba unakuwa mbunge. Hata mimi ninge panic.. toka gelezani hadi kuwa mbunge looh
Nimekuombea msamaha kwa kamati Kùu kwamba achana na huo ubunge wa kupewa think about ur future ..think about ur political status...
Jiongeze!! To me ur stil innocent and u still have political future with opposition.
Lakini vichwa hivi hivi ndivyo vile CCM mlikuwa mkiviita makahaba, wasagaji nk. Kwamba sasa hivi humtaki tena Gwaji Boy unamtaka Halima?Vichwa 19 vimetemwa,hebu acha ni assume nafikiria tu
vichwa 19 vionyeshe makali yale yale kwa miaka hii 5 wakiwa
huko bungeni na ktk utendaji kazi,kufika 2025 vifanyiwe usajili kuja CCM
hivi 2025 CCM ikishinda tena uchaguzi mtalalamika mmeibiwa kura ndugu pipoz?!
Hata akiwa angani ndo zake kubadili gear, msimuamini sana huyo hawa wakina mama aliwaruhusu yeye mwenyewe.Kinachompa ushindi Mbowe mara zote ni kwasababu anajua mahitaji ya nyakati....
always yupo on top gear....
Sio kila kitu ni link hivyo ni vitu vidogo sana tena vya mwanzo kabisa katika administrative law. Najua hata beberu uchwara wa ubeligiji anaelewa vizuri athari ya kutokufuata hizi principle tatu katika maamuzi yoyote yaliyodikiwa na vyombo chochote cha kiutawala kinosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanyika hapa.Judicial review gani? Wapi?
Fanya proper citation. Taja publication. Weka link.
Sio unasema tu "soma vizuri judicial review".
Kitu gani ambacho naweza kusoma huko ambacho huwezi kukitaja hapa?
Mbona hujajibu kuhusu hizo scenarios nilizotaja hapo juu?
Nimekupa mifano very specific.
Unanijubu very generally and vaguely.
We ni mwendawazimu takataka unworthy of anybody's attention
Rais akitangazwa na NEC mahakama ina jurisdiction kusikiliza na kuhukumu kesi ya malalamiko ya uchaguzi wa rais Tanzania?Sio kila kitu ni link hivyo ni vitu vidogo sana tena vya mwanzo kabisa katika administrative law. Najua hata beberu uchwara wa ubeligiji anaelewa vizuri athari ya kutokufuata hizi principle tatu katika maamuzi yoyote yaliyodikiwa na vyombo chochote cha kiutawala kinosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanyika hapa.
1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA
2.AUDI ALTERAM PARTEM
3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS
Waliendesha wizi wa kura kwa woga zaidi ya akiliHivi ambaye yupo kamati ya fitna ni kilaza.
Iliwashinda nini kipindi cha Uchaguzi kuwapa upinzani viti hata 50 ili walau hii inayoitwa demokrasia ionekana then mambo yenu yanaendelea fresh tu na mabeberu kumwaga pesa.
Mbona strategist ni kilaza sana aisee.
Tunajua ccm inafanya hujuma lakini fanyeni kwa akili basi kama waliopita walivyofanya.Mnajiaibisha kila kukicha
Bado na vijidudu vikichachamaa maana naskia Mabeberu wamesitisha misaada ya ARV sa itakuajeNiko njiani nawahi dom kumpelekea jobu dawa sukari imeshuka sana
Haswaa yaani ni kama hawana vision ya wanachokitaka kabisa.Waliendesha wizi wa kura kwa woga zaidi ya akili
Kila mtu alitaka jimbo lake lisitoe mbunge mpinzani asikose ugali.
Kama mzee baba alivyosema kwamba nikikulipa mimi usiniletee mpinzani.
Ujanja mwingi, mbele kiza.
Hawa CDM nao..sasa tutazipataje hizo trillion 2 za mabeberu... hawatatustukia kweli? maana siku hizi wanajua kiswahili hao kutwa kucha wamo hadi humu JF... we ushaona wapi beberu anakula hadi ugali bamia hovyoo!!Bado na vijidudu vikichachamaa maana naskia Mabeberu wamesitisha misaada ya ARV sa itakuaje
Mabeberu wanasoma mpaka email za Mzee Baba Ikulu, sio JF tu.Hawa CDM nao..sasa tutazipataje hizo trillion 2 za mabeberu... hawatatustukia kweli? maana siku hizi wanajua kiswahili hao kutwa kucha wamo hadi humu JF... we ushaona wapi beberu anakula hadi ugali bamia hovyoo!!