Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Shida ya upinzani huanza kujenga chama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu

uchaguzi ukishapita huwa wote wana relax hawana habari wala mkakati wowote....

Kwa hiyo una maana gani hapa kwa kifupi kabisa?

Je, una maana hawa kinadada 19 wamevunja kanuni 1 na kwa hiyo CHADEMA isijali sana kwa sababu wataepuka madhara ya miaka 3?

Madhara gani hayo? Kukosa ruzuku ya pesa kwa miaka mi3 au 5 siyo?

Kama una maana hiyo, basi bila shaka naweza sema hivi, You are so WEAK and COWARD. Hufai kuwa kiongozi wewe..!!
 
Kiongozi bora ni yule anaeweza kuona effect ya maamuzi yanayochukuliwa leo hii kwa miaka mi5 ijayo

ukijiita kiongozi na huna jicho la kuona kesho yako kulingana na unachokifanya leo,wewe hufai kuwa kiongozi.
 
Vichwa 19 vimetemwa,hebu acha ni assume nafikiria tu

vichwa 19 vionyeshe makali yale yale kwa miaka hii 5 wakiwa

huko bungeni na ktk utendaji kazi,kufika 2025 vifanyiwe usajili kuja CCM

hivi 2025 CCM ikishinda tena uchaguzi mtalalamika mmeibiwa kura ndugu pipoz?!
Ccm mbona mnateseka, si muwachukue[emoji23][emoji23]
 
H
Kasome vizuri judicial review ujue nguvu na jurisdiction ya mahakama kwenye masuala hayo
Judicial review gani? Wapi? Wapi imeandikwa mahakama ina unlimited jurisdiction?

Rais akitangazwa na NEC mahakama ina jurisdiction kusikiliza kesi ya malalamiko ya uchaguzi wa rais Tanzania?

Mahakama ina unlimited jurisdiction? Tanzania?

For real? Unaelewa unachoandika?

Fanya proper citation. Taja case ya mfano ambayo utenguzi wa rais ulipingwa mahakamani na rais akashindwa, taja mfano wa kesi ya Mkatoliki aliyekuwa excommunicated na kanisa halafu akapinga mahakamani na kushinda, taja publication. Weka link.

Sio unasema tu "soma vizuri judicial review".

That is rather condescending on top of being shallow.

Kitu gani ambacho naweza kusoma huko ambacho huwezi kukitaja hapa?

Mbona hujajibu kuhusu hizo scenarios nilizotaja hapo juu?

Nimekupa mifano very specific.

Unanijibu very generally and vaguely.
 
Mkuu zinakutosha? Hujui Siasa za upinzani zilipigwa pending miaka 5 ama ulikuwa bado unachukua boom shule? Kuvukuzwa hao kinamama ni sawa na alivyofukuzwa Membe tens kosa la Membe was soon smooth nearly to none ukilinganisha na hawa wasiojitambua mpaka wanawake wenzao wanawashangaa.
Hawajafukuzwa ni strategy kali tuu ya kuwapumbaza.

Toka lini Mangi akaacha pesa ya ruzuku impite hivi hivi?
 
Kinachompa ushindi Mbowe mara zote ni kwasababu anajua mahitaji ya nyakati....
always yupo on top gear....
 
Nasrat; ulikuwa ndani miezi kadhaa; umetolewa usiku kwa ulinzi mkali... hukujua.lolote zaidi ya kukutana na deal mezani..

Nadhani hukupata hata nafasi ya kutafakari zaidi ya kuambiwa kesho ni kuapa kwamba unakuwa mbunge. Hata mimi ninge panic.. toka gelezani hadi kuwa mbunge looh

Nimekuombea msamaha kwa kamati Kùu kwamba achana na huo ubunge wa kupewa think about ur future ..think about ur political status...

Jiongeze!! To me ur stil innocent and u still have political future with opposition.
Future ya Nusrat ni kuwa Mwanaharakati au kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Vichwa 19 vimetemwa,hebu acha ni assume nafikiria tu

vichwa 19 vionyeshe makali yale yale kwa miaka hii 5 wakiwa

huko bungeni na ktk utendaji kazi,kufika 2025 vifanyiwe usajili kuja CCM

hivi 2025 CCM ikishinda tena uchaguzi mtalalamika mmeibiwa kura ndugu pipoz?!
Lakini vichwa hivi hivi ndivyo vile CCM mlikuwa mkiviita makahaba, wasagaji nk. Kwamba sasa hivi humtaki tena Gwaji Boy unamtaka Halima?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Kinachompa ushindi Mbowe mara zote ni kwasababu anajua mahitaji ya nyakati....
always yupo on top gear....
Hata akiwa angani ndo zake kubadili gear, msimuamini sana huyo hawa wakina mama aliwaruhusu yeye mwenyewe.
 
Judicial review gani? Wapi?

Fanya proper citation. Taja publication. Weka link.

Sio unasema tu "soma vizuri judicial review".

Kitu gani ambacho naweza kusoma huko ambacho huwezi kukitaja hapa?

Mbona hujajibu kuhusu hizo scenarios nilizotaja hapo juu?

Nimekupa mifano very specific.

Unanijubu very generally and vaguely.
Sio kila kitu ni link hivyo ni vitu vidogo sana tena vya mwanzo kabisa katika administrative law. Najua hata beberu uchwara wa ubeligiji anaelewa vizuri athari ya kutokufuata hizi principle tatu katika maamuzi yoyote yaliyodikiwa na vyombo chochote cha kiutawala kinosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanyika hapa.

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS
 
We ni mwendawazimu takataka unworthy of anybody's attention

Haisaidiii chochote kutukana mitandaono lakini mtaani mnajikunyata kama mbwa koko!!

Jitokeze hadharani unyoshekidole.
Mimi ninaweza nikakuelekeza mpaka ninapokaa na huna cha kunifanya.

Mnashindwa kufanya siasa za kistarabu mnabaki kuwaumiza wakina mama kwa sababu mmeshawatumia sasa mnataka kuwadanganya wengine.
 
Sio kila kitu ni link hivyo ni vitu vidogo sana tena vya mwanzo kabisa katika administrative law. Najua hata beberu uchwara wa ubeligiji anaelewa vizuri athari ya kutokufuata hizi principle tatu katika maamuzi yoyote yaliyodikiwa na vyombo chochote cha kiutawala kinosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanyika hapa.

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS
Rais akitangazwa na NEC mahakama ina jurisdiction kusikiliza na kuhukumu kesi ya malalamiko ya uchaguzi wa rais Tanzania?

Kutengua kilichotangazwa na NEC kwa mfano?

Hujibu hoja specific, unakimbilia kujificha kwenye generalities.

Katika habari hii.

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA - logical non sequitur

2.AUDI ALTERAM PARTEM - logical non sequitur

3.NULUM ARBITRIUM SINE - logical non sequitur
 
Hivi ambaye yupo kamati ya fitna ni kilaza.
Iliwashinda nini kipindi cha Uchaguzi kuwapa upinzani viti hata 50 ili walau hii inayoitwa demokrasia ionekana then mambo yenu yanaendelea fresh tu na mabeberu kumwaga pesa.
Mbona strategist ni kilaza sana aisee.
Tunajua ccm inafanya hujuma lakini fanyeni kwa akili basi kama waliopita walivyofanya.Mnajiaibisha kila kukicha
 
Waliendesha wizi wa kura kwa woga zaidi ya akili

Kila mtu alitaka jimbo lake lisitoe mbunge mpinzani asikose ugali.

Kama mzee baba alivyosema kwamba nikikulipa mimi usiniletee mpinzani.

Ujanja mwingi, mbele kiza.
 
Haswaa yaani ni kama hawana vision ya wanachokitaka kabisa.
 
Bado na vijidudu vikichachamaa maana naskia Mabeberu wamesitisha misaada ya ARV sa itakuaje
Hawa CDM nao..sasa tutazipataje hizo trillion 2 za mabeberu... hawatatustukia kweli? maana siku hizi wanajua kiswahili hao kutwa kucha wamo hadi humu JF... we ushaona wapi beberu anakula hadi ugali bamia hovyoo!!
 
Mabeberu wanasoma mpaka email za Mzee Baba Ikulu, sio JF tu.
 
Back
Top Bottom