The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Shida ya upinzani huanza kujenga chama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu
uchaguzi ukishapita huwa wote wana relax hawana habari wala mkakati wowote....
Kwa hiyo una maana gani hapa kwa kifupi kabisa?
Je, una maana hawa kinadada 19 wamevunja kanuni 1 na kwa hiyo CHADEMA isijali sana kwa sababu wataepuka madhara ya miaka 3?
Madhara gani hayo? Kukosa ruzuku ya pesa kwa miaka mi3 au 5 siyo?
Kama una maana hiyo, basi bila shaka naweza sema hivi, You are so WEAK and COWARD. Hufai kuwa kiongozi wewe..!!