Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Check your grammar; it’s not correct.Brother, should you consider usage of your primary language? Maana kiingereza chako bado mkuu!
Brush your English
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check your grammar; it’s not correct.Brother, should you consider usage of your primary language? Maana kiingereza chako bado mkuu!
😁 😁 😁Le mutuz kala pesa zao nyingi aliwadanganya atawapelekea waganga wa kienyeji wazuie wasifukuzwe chadema
Kwa kosa lipiBaada kutoa tamko naomba ajiuzulu waanze upya kujenga chama.
Kikao hakijafanyika makao makuu, kimepelekwa Kawe kwenye hotel mojawapo! Sasa hizo longolongo zinatoka wapi?Hao walishaasi na wanajua walichokifanya! Kama walikwenda bungeni kwa baraka za chama, iweje wakatae wito wa chama? Si ndio wangeenda kuwaumbua kamati kuu ambao na baadhi yao ni wajumbe!Waliitikia wito lakini wakasema hawawezi kufika Makao Makuu kwa sababu za kiusalama.
Hivi unaweza kusema kweli kuwa haya masaa yanatosha kufikia maamuzi ya kufukuza asilimia 90% ya uongozi wa BAWACHA.
Kwanini hawajatokea kama kweli waliteuliwa na chama? Ndio ujue wako guilty ndio maana wote wameambizana wasiende kwa maelekezo ya Spika!Mumekurupukaaaa. Mumewaonea wamama hao kwakua hakuna mwanaume hapooo.
Ndivyo Katiba yao inavyosema. Na ni haki ya msingi kumpa binadamu nafasi ya kukata rufaa katika mamlaka ya juu zaidi. Hata nje ya mfumo wa chama kilichokuwa chao wana haki ya kwenda Mahakamani. Na huko Mahakama itaangalia kama walitendewa haki kulingana na Katiba ya chama kilichokuwa chao.Ukifutwa uanachama unakata vipi rufaa
Kundi dogo lenye watu wenye akili kuzidi ukoo wenu wote na MATAGA kwa ujumla.Angalia mwehu huyu..kwamba hujajuaga tu kua chadema ni kundi dogo la kihuni?watu wengine sijui hata kwa nini mlikua watu na si viumbe vingine tu au mawe
Mbona umepaniki hivyo,au mpango wenu umebuma hivyo inawauma??? Mtavuna mlichopanda!Akiwa chini ya chama kimoja!
Wakati huhuo alitaka kupinduliwa zaidi ya mara nne.
Usifurahiye chama au nchi kuongozwa na waroho wa madaraka.
CCM kitatawala miaka mingi sana mana kina muda maalumu wa uogozi na kinajibadilisha chenyewe na kuja na sura na itikadi tofauti na iliyopita . Huku waijali suala la dini ,ukanda na hata jinsia.
Mbowe mwisho wake upo karibu kiuongozi mana Chama kinafutwa na hakina sifa tena ya kuwa chama cha siasa kwa usalama wa nchi yetu.
Tutawekewa vikwazo lakini akiwa nje ya siasa za vyama labda aunde kikundi cha harakati ambacho pia hakitasajiliwa.
Sasa mbona wamegoma kwenda kwenye kikao cha kamati kuu Kama hawana kosa?Ndivyo anavyowafundisha ushoga!!
pumbavu sana.
Subiri muone kama hili game mtatoboa!!
Msajili hana sababu ya kukiacha hicho chama .
Majina yamepelekwa na Tume Wakina mama wale kosa lao nini ? Kwa nini wasishitaki tume ili iwatajie aliyepeleka majina?
Karatasi moja yenye orodha ya majina ilishikwa na watu 19 kama sio ujinga wa kimakengeza !!
Hujui kuwa mkosaji ni yule aliyepeleka majina lakini sio walioitwa kuapishwa kikatiba ya nchi sio katiba ya Mbowe na genge lake la kigaidi.
Ruzuku tunaanza kuifuta na kufunga Akaunti zote za chama kinachohujumu uchumi wa nchi . Magaidi na majambazi wakubwa nyie mashoga.
Kikao cha kupitishwa hizo kanuni Mbowe alikuwa mgonjwa kwa kuvunjwa mguu na wahuni wa ccm.Mkuu mleta mada
1. Nusrat hakuapishwa saa moja usiku kama ulivyomnukuu Mbowe kila mmoja aliona tukio hilo ilukwa ni mchana kweupe;
2. Mh Freeman Mbowe kudai taratibu na kanuni za kudumu za bunge zimekiukwa na kwamba mbunge anaapishwa ndani ya bunge pekee wakati akijua anasema uongo wa wazi kabisa maana yeye pamoja na wabunge wengine walishiriki kubadilisha kanuni Agosti 2020 (Rejea TANGAZO LA SERIKALI NA. 626 la tarehe 7/8/2020) na mabadiliko ni haya:
(2) Bila ya kujali masharti ya fasili ya
(1), endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu, Spika atamwapisha katika: (a) kikao chochote cha Bunge iwapo kuna Mkutano wa Bunge; au (b) eneo litakalopangwa na Spika iwapo hakuna Mkutano wa Bunge unaoendelea na baadaye Spika atatoa taarifa Bungeni kwenye Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Bunge unaofuata.
(3) Wakati wa kuapa, Mbunge anayeamini kuwa kuna Mungu, atalazimika kushika Biblia au Kuran au kitabu kingine kitakatifu kinachotambuliwa na imani ya dini yake.
(4) Iwapo Mbunge haamini kuwa kuna Mungu, hatashika Biblia au Kuran au kitabu chochote kitakatifu au kutamka maneno, “Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie,” bali atalazimika kuinua mkono wake wa kuume juu.
(5) Kiapo cha uaminifu cha Mbunge kitakuwa na maneno yafuatayo: “Mimi, ………..., naapa kwamba, nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwamba nitaihifadhi, nitailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Sheria iliyowekwa. Ewe Mwenyezi Mungu, nisaidie.”
Mwamba amewaachia kilio Mataga mmebaki mnahaha 🤣 🤣 🤣Nani nimemkejeri mkuu. Kwani ni siri kuhusu Mbowe na Faru John? Mbona nakunywa naye kila mara hapa Triple 7 na anajua huwa namwambia kila nikikutana naye?
Wanasema walipata vitisho vya kushambuliwa .Sasa mbona wamegoma kwenda kwenye kikao cha kamati kuu Kama hawana kosa ?
We ni kalio sanaAtatoa tamko ila ni uchwara kwa serikali ya CCM, hata akiwafukuza uanachama bado wana baraka za NEC watashinda tuuu
Sasa kimevurugaje Nchi wakati kimefukuza wanachama wake ,au na ww ni mmoja wapo Wa waliofukuzwaWanasema walipata vitisho vya kushambuliwa .
Wakaomba wapewe muda!!
Hivi ni akina mama gani watakiamini tena Chama kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina mama?
Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho ,je, siku akishika dola itakuaje??
CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya Chadema lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.
Silinde alikua na kosa gani kutofautiana msimamo tu wa kuwawakilisha wananchi ndani ya bunge kipindi cha Korona ikawa ndio sababu ya kumvua uanachama ili tu asujudu mbele ya Mbowe!
Rwakatare alikosa nini?
Selasini, Komu, Kubeneaa na wengine wengi ni Chama kisichokua na uvumilivu hata kidogo? Dunia tusipokua tunavumiliana utakua ni uwanja wa vita.
Uvumilivu ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa.
Dawa ya moto ni moto .Ni lazima sasa serikali iliyoko madarakani waseme sasa basi hakuna kulea Chama kinachotengeneza vilio kwa watu ili tu kuwafurahisha mabeberu wa nje!
Kifutwe tu mapema kabisa ,haiwezekani watu wachache ndani ya Chama watumie jukwaa la siasa kuvuruga nchi kila siku halafu hicho Chama kiangaliwe tu .
Itakua jambo la ajabu kwa taifa letu. Nchi zote uchaguzi unapopita unaacha makovu na kinachofanyika ni kuwaleta watu pamoja ikiwa ni pamoja na kushirikiana na serikali kwa nia njema. Sasa Mbowe anazidisha makovu kwa kuhamasisha wao kujitenga hata kwenye mambo yaliyopo kikatiba na yametolewa kisheria.
mwisho wako wewe ambaye hujaolewa