Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Waliitikia wito lakini wakasema hawawezi kufika Makao Makuu kwa sababu za kiusalama.
Hivi unaweza kusema kweli kuwa haya masaa yanatosha kufikia maamuzi ya kufukuza asilimia 90% ya uongozi wa BAWACHA.
Kikao hakijafanyika makao makuu, kimepelekwa Kawe kwenye hotel mojawapo! Sasa hizo longolongo zinatoka wapi?Hao walishaasi na wanajua walichokifanya! Kama walikwenda bungeni kwa baraka za chama, iweje wakatae wito wa chama? Si ndio wangeenda kuwaumbua kamati kuu ambao na baadhi yao ni wajumbe!
 
Ukifutwa uanachama unakata vipi rufaa
Ndivyo Katiba yao inavyosema. Na ni haki ya msingi kumpa binadamu nafasi ya kukata rufaa katika mamlaka ya juu zaidi. Hata nje ya mfumo wa chama kilichokuwa chao wana haki ya kwenda Mahakamani. Na huko Mahakama itaangalia kama walitendewa haki kulingana na Katiba ya chama kilichokuwa chao.

Amandla!
 
Angalia mwehu huyu..kwamba hujajuaga tu kua chadema ni kundi dogo la kihuni?watu wengine sijui hata kwa nini mlikua watu na si viumbe vingine tu au mawe
Kundi dogo lenye watu wenye akili kuzidi ukoo wenu wote na MATAGA kwa ujumla.
 
Akiwa chini ya chama kimoja!
Wakati huhuo alitaka kupinduliwa zaidi ya mara nne.
Usifurahiye chama au nchi kuongozwa na waroho wa madaraka.
CCM kitatawala miaka mingi sana mana kina muda maalumu wa uogozi na kinajibadilisha chenyewe na kuja na sura na itikadi tofauti na iliyopita . Huku waijali suala la dini ,ukanda na hata jinsia.

Mbowe mwisho wake upo karibu kiuongozi mana Chama kinafutwa na hakina sifa tena ya kuwa chama cha siasa kwa usalama wa nchi yetu.

Tutawekewa vikwazo lakini akiwa nje ya siasa za vyama labda aunde kikundi cha harakati ambacho pia hakitasajiliwa.
Mbona umepaniki hivyo,au mpango wenu umebuma hivyo inawauma??? Mtavuna mlichopanda!
 
Ndivyo anavyowafundisha ushoga!!
pumbavu sana.
Subiri muone kama hili game mtatoboa!!

Msajili hana sababu ya kukiacha hicho chama .

Majina yamepelekwa na Tume Wakina mama wale kosa lao nini ? Kwa nini wasishitaki tume ili iwatajie aliyepeleka majina?
Karatasi moja yenye orodha ya majina ilishikwa na watu 19 kama sio ujinga wa kimakengeza !!
Hujui kuwa mkosaji ni yule aliyepeleka majina lakini sio walioitwa kuapishwa kikatiba ya nchi sio katiba ya Mbowe na genge lake la kigaidi.

Ruzuku tunaanza kuifuta na kufunga Akaunti zote za chama kinachohujumu uchumi wa nchi . Magaidi na majambazi wakubwa nyie mashoga.
Sasa mbona wamegoma kwenda kwenye kikao cha kamati kuu Kama hawana kosa?
 
Mkuu mleta mada

1. Nusrat hakuapishwa saa moja usiku kama ulivyomnukuu Mbowe kila mmoja aliona tukio hilo ilukwa ni mchana kweupe;
2. Mh Freeman Mbowe kudai taratibu na kanuni za kudumu za bunge zimekiukwa na kwamba mbunge anaapishwa ndani ya bunge pekee wakati akijua anasema uongo wa wazi kabisa maana yeye pamoja na wabunge wengine walishiriki kubadilisha kanuni Agosti 2020 (Rejea TANGAZO LA SERIKALI NA. 626 la tarehe 7/8/2020) na mabadiliko ni haya:
(2) Bila ya kujali masharti ya fasili ya
(1), endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu, Spika atamwapisha katika: (a) kikao chochote cha Bunge iwapo kuna Mkutano wa Bunge; au (b) eneo litakalopangwa na Spika iwapo hakuna Mkutano wa Bunge unaoendelea na baadaye Spika atatoa taarifa Bungeni kwenye Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Bunge unaofuata.

(3) Wakati wa kuapa, Mbunge anayeamini kuwa kuna Mungu, atalazimika kushika Biblia au Kuran au kitabu kingine kitakatifu kinachotambuliwa na imani ya dini yake.
(4) Iwapo Mbunge haamini kuwa kuna Mungu, hatashika Biblia au Kuran au kitabu chochote kitakatifu au kutamka maneno, “Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie,” bali atalazimika kuinua mkono wake wa kuume juu.
(5) Kiapo cha uaminifu cha Mbunge kitakuwa na maneno yafuatayo: “Mimi, ………..., naapa kwamba, nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwamba nitaihifadhi, nitailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Sheria iliyowekwa. Ewe Mwenyezi Mungu, nisaidie.”
Kikao cha kupitishwa hizo kanuni Mbowe alikuwa mgonjwa kwa kuvunjwa mguu na wahuni wa ccm.
 
Chadema itasubili sana kuiongoza Nchi! Uchu wa madaraka umewatawala.
Unafki, usaliti na dhuluma kuanzia kwa wanachama hadi kwa viongozi
 
Nani nimemkejeri mkuu. Kwani ni siri kuhusu Mbowe na Faru John? Mbona nakunywa naye kila mara hapa Triple 7 na anajua huwa namwambia kila nikikutana naye?
Mwamba amewaachia kilio Mataga mmebaki mnahaha 🤣 🤣 🤣
 
NEC hii ni bonge la Janga kubwa sana , kilichowafanya msisimamie uchaguzi huru nini? Tatizo kubwa ni pale NEC kufanya kazi za ccm, hii Inadhiirisha kuwa upinzani usiwahi jishughulisha na mambo ya siasa tena hadi hapo akili za fake judges tena bila aibu mazee mazima yamejaa NEC kufanya uozo, mtakufa na njaa zenu. Tuna wasomi wa ajabu sana nchi hii tena ni maprofessor na PhD holder lakini hawana tofauti na Wakulima wa mihogo vijiji, mtafanyaje vitu vya ajabu namna hii, Hamuwezi kusema hapana?
 
Wabunge wameapishiwa gereji? 😁 😁 😁 😁 😁.Tanzania yangu unakwenda kasi
 
Ni kweli CDM tumepitia maumivu na inawezekana mengine yanakuja baada ya tulio hili. Ili iwe Taasisi imara lazima taratibu zifuatwe.Mdee na wenzie tunawatakia safari njema CCM.
 
Sasa mbona wamegoma kwenda kwenye kikao cha kamati kuu Kama hawana kosa ?
Wanasema walipata vitisho vya kushambuliwa .
Wakaomba wapewe muda!!

Hivi ni akina mama gani watakiamini tena Chama kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina mama?

Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho ,je, siku akishika dola itakuaje??

CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya Chadema lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.
Silinde alikua na kosa gani kutofautiana msimamo tu wa kuwawakilisha wananchi ndani ya bunge kipindi cha Korona ikawa ndio sababu ya kumvua uanachama ili tu asujudu mbele ya Mbowe!
Rwakatare alikosa nini?

Selasini, Komu, Kubeneaa na wengine wengi ni Chama kisichokua na uvumilivu hata kidogo? Dunia tusipokua tunavumiliana utakua ni uwanja wa vita.
Uvumilivu ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa.

Dawa ya moto ni moto .Ni lazima sasa serikali iliyoko madarakani waseme sasa basi hakuna kulea Chama kinachotengeneza vilio kwa watu ili tu kuwafurahisha mabeberu wa nje!

Kifutwe tu mapema kabisa ,haiwezekani watu wachache ndani ya Chama watumie jukwaa la siasa kuvuruga nchi kila siku halafu hicho Chama kiangaliwe tu .
Itakua jambo la ajabu kwa taifa letu. Nchi zote uchaguzi unapopita unaacha makovu na kinachofanyika ni kuwaleta watu pamoja ikiwa ni pamoja na kushirikiana na serikali kwa nia njema. Sasa Mbowe anazidisha makovu kwa kuhamasisha wao kujitenga hata kwenye mambo yaliyopo kikatiba na yametolewa kisheria.
 
Sasa kimevurugaje Nchi wakati kimefukuza wanachama wake ,au na ww ni mmoja wapo Wa waliofukuzwa
 
Kama Takukuru inajua majukumu yake, basi iichunguze NEC tubaini nani aliefoji barua ya Mnyika. Hili jambo si la kuachwa lipite hivi hivi.

Anyway najifurahisha tu, najua kitu kama hiki hakiwezi kufanyika maana wote hawa lao moja. Wanafuata amri toka juu kwa "mtukufu" ambaye ndo anakesha na kutumia raslimali za nchi kuimaliza CDM kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom