Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Na ndo maana anawapiga kifudi fudiHalima Kawe hatukutaki. Wewe subiri uingie bungeni kwa tiketi ya viti maalum.
Rais nitampigia Lissu,ubunge nitampa kura yangu Gwajiboy. Halafu nani akufungie kampein jamani ?Acha kuleta mizengwe.
Uzuriii matusi yenu yanazidiii kuwatafuna wenyewe.Sio Kawe tu nchi nzima CCM ni laana, Leo kuna mdada kakataa kununua ice cream kisa ni ya kijani. Na kasema kabisa mimi sitaki hii rangi sio CCM Mimi.
Magufuli atakapo tangazwa mshindiHuu usanii utaisha tarehe 28
Matusi ni kama yale ya Gwajima kwenye ile clip. Haya mengine matamshi tu.Uzuriii matusi yenu yanazidiii kuwatafuna wenyewee
Kule Dakawa Morogoro Kuna mwanamke aliulizwa unataka upanuliwe wapi? Huku mwamba anatafuna muhindi.Uzuriii matusi yenu yanazidiii kuwatafuna wenyewee
Hivi nyie mlioshindwa majimboni nanyi mna sauti bado? Au ndio nyie mlioahidiwa kuteuliwa baada ya kushindwa kura za maoni majimboni? Ukishindwa kaa kimya.Kawe ni ya Gwajima kuanzia tarehe 29/10
Ni vigumu kuamini lkn huo ndiyo uhalisia. Finally, hii tabia ya kufungiwa halafu mkafanya kampeni kwa kununua machungwa sokoni iishe.
Hukumu hiyo inafaa kuongezewa masharti ili cku saba zote uwe ndani - kula kulala
ππππ huyo mdada itabidi akatae pia kula WALI maana wali unatoka kwenye mpunga ambao huwa ni Mmea wa kijani.Sio Kawe tu nchi nzima CCM ni laana, Leo kuna mdada kakataa kununua ice cream kisa ni ya kijani. Na kasema kabisa mimi sitaki hii rangi sio CCM Mimi.
Unachosema sikijui - sijawahi wala sina nia ya kuingia ktk vinyanganyiro "umenifananisha".Hivi nyie mlioshindwa majimboni nanyi mna sauti bado? Au ndio nyie mlioahidiwa kuteuliwa baada ya kushindwa kura za maoni majimboni? Ukishindwa kaa kimya.
Labda jina lako nimelifananisha na Muhaya mmoja hivi alishindwa kura za maoni huko Kagera.Unachosema sikijui - sijawahi wala sina nia ya kuingia ktk vinyanganyiro "umenifananisha".
Kifungo cha Mdee hakina uonevu na asilaumu tume