Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesimamishwa kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 17 hadi Oktoba 23, 2020 kwa kosa la kutumia kipeperushi ambacho hakijaidhinishwa na msimamizi wa uchaguzi
wasafifm
Kwakuwa wanaofungiwa wengi wanajulikana ni Maadui na Washindani hasa wa 'MPJ' sasa anafungiwa 'Rafiki' ili 'Kubalansi' lawama na Kutuzuga tu.