Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

Jamaa anaweza kujinyonga kabisa. Wapambe wake inabidi wawe karibu naye kuepusha madhara yanyoweza kutokea.
Mmeshindwa kumuua kwa risasi, hivi sasa mnatabiri kuwa Tundu Lissu atajiua kwa kujinyonga?!

Wa kujinyonga ni huyo Mwenyekiti wenu Jiwe, ambaye "wishes" zake ilikiwa ifikapo mwaka huu wa 2020, upinzani uwe umeshakufa kabisa................

Badala yake ameshikwa na bumbuwazi, kuuona upinzani hususani Chadema unazidi kujiimarisha na kuwa more stronger and stronger!
 
UPUUZI MTUPU! Kamati FAKE ya maadili.

 
Lissu kuna kitu hakiko sawa, anahitaji wanasaikolojia la sivyo baada ya October anaweza kujidhuru
Huyu siyo kwamba hayuko sawa, bali amekubaliana na mabwana zake afanye kila liwezekanalo ili nchi yetu iingie katika machafuko kwa manufaa ya hao mabwana zake. Na hasa waliyokuwa wakinufaika na mali za nchi yetu.
 
Mimi nikiliona lilivyojazia mashavu nakeleka kweli nahisi kutapika na linavyoongea hadi kinyaa,poor lissu
Mm nikiliangalia lizee la upara lilivyo na kidevu kama kikombe cha kahawa natamani kutapika naona kama kinanuka kabisaa yaani kinyaa kweli kweli
 
Mabwana zake wameula wa chuya
Huyu siyo kwamba hayuko sawa, bali amekubaliana na mabwana zake afanye kila liwezekanalo ili nchi yetu iingie katika machafuko kwa manufaa ya hao mabwana zake. Na hasa waliyokuwa wakinufaika na mali za nchi yetu.
 
Uhuru gani mnautaka wakati sisi tuna uhuru toka 1961. Kama mnataka uhuru wa kupumuliana kisogoni kama sera zenu mtasubiri sana au hamieni huko huko kwa watetezi wenu

Uhuru wa 1961 ni wa wakolini lakini hata waandishi wa habari hawako huru ! Watu waliopo huru ni wale tu wanaounga mkono kila kitu cha Magufuli. Tanzania imekuwa nchi ya kinafki sana. Watu wanatekwa, kupigwa risasi bila kesi, sheria ambazo zinawabana upinzani pekee. Kama unafikiri tuko huru ni uelewa mdogo maana hata South Africa ilipata uhuru kabla yetu. Unaweza kunyimwa uhuru hata na ndugu zako wa damu! Kama hujawahi kuishi nje huwezi kuelewa
 
Sijawahi kumwamini Lissu na sitamwamini kwani anatumia ujinga wa watanzania wengi kuwapotosha na kuwatoa kafara.
Alimgeuka Dr. Slaa na kumpokea na kumnadi Lowassa ambaye alimwita fisadi.
Alimtukana baba wa taifa lakini juzi ameenda butiama na kujifanya anamuenzi.
Alianza kutetea rasilimali za madini lakini serikali ilipochukua hatua yeye akawa msitari wa mbele kutishia ili mradi maslahi yake yawekwe mbele.
 
 

Usidanganywe. Uhuru wa vyombo vya habari nchini ni wa kiwango cha juu. Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa uhuru wa vyombo vya habari.
 
Lissu mbabe wa siasa, kanyaga baba twende! Mungu yuko na wewe!
 
Yaani kuepuka haya yote ni kurekebisha Katiba kama ilivyopendekezwa "Tume ya Warioba"; na kuundwa Tume Huru ya Uchaguzi.

Ila kwasababu tumekaidi kutekeleza hayo kwa kuwa ni mtaji wa Chukua Chako Mapema (CCM). Kwa maana hiyo, tusishangae yanayo endelea kutoka kwa vyama vya upinzani kwasababu wao wanakuwa wametengwa na ndiyo maana wanatumia udhaifu huo kutoa madukuduku yao sana wale wanaotekeleza majukumu yao kwa kutaka kukilidhisha chama tawala ni lazima wataona upinzani wanakosea na siyo chama tawala hapo ndiyo ugonjwa mwingine unatokea.

Tukiweze kutibu haya maradhi makubwa mawili mbona Uchaguzi huru na haki unakuwepo. Ila tofauti na hivyo ni lazima watu wataendelea kutema simu na nyongo majukwaani.

Kwahiyo haya ya kamati ya Uchaguzi kutoa adhabu kwenye mambo madogo ni dharau na kujidhalilisha tu. Wanatakiwa waanze kushughulika na vyanzo vya kwanini hayo yanatokea na siyo kudandia gari kwa mbele.
 
Maneno anayotumia Lissu yameshasababisha kifo huko Tunduma , anawajaza jazba misukule wake wanakua kama wamevuta bangi wakiamini kila analosema yuko sahihi kumbe mwongo mkubwa, Huyu Lissu ndio anasubiri kupelekwa The Heague

Tuliza mshono sindano izame kunako
 

Kwani kama hajatengeneza Mgogoro na NEC ndio Atashinda?

Hebu kuweni wa kweli bhana mnapoteza muda.

Hakuna namna yoyote Mtu yoyote anaweza kushinda Urais zaidi ya JPM . Sio kwamba anapendwa sana, bali ni kwasababu mifumo yetu ipo very closed kuruhusu kitu kama hicho. Rejea uchaguzi wa ZNZ , 2015

uchaguzi uliweza kufutwa ZNZ pamoja na Shein kukubali kuachia nchi na CCM kuanguka, Sasa unajipa moyo na Upinzani hapo ?

Lets me tell you the bitter truth; Yaani ikitoke Lissu kashinda, tunafuta uchaguzi na tunaanza upya hadi CCM tushinde.

Haitokuja kutokea Upinzani kushinda kiti cha Urais, that is absurd and many years to come wakati huo wewe na Mimi ni Mavumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…