Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

kamanda alizofunga zote ni maji anasema uongo kwenye mfungo au nayo ime kwenye sheria za uislamu wao
 
Kwenye uislamu ni lazima ufuate dini.
 
Kwenye uislamu ni lazima ufuate dini.
Mpendwa dini gani inamlazimisha mtu kutii mafundisho au maagizo yake, dini inakufundisha kutii mafundisho juu imani hiyo, Maana yake unaweza ukayafanyia kazi au usiyafanyie kazi utakayofundishwa

Ingekuwa ni lazima watu wengi hadi sasa wangekuwa hawana dini Maana imani hailazimishwi, hilo ni swala la Mtu yeye na maamuzi yake. Maandiko yanaasema enendeni mkawafundishe au mkawahubiri sio mkawalazimishe, hapo ni kama darasani, kunawatakao elewa na ambae hawataelewa
 
Ritz Njoo uwaone wenzio. Hii dini yenu inakuja na mapepo ndani yake basi hata mwenye akili naye zinaruka ghafla. Huko Masjid huwa mnakaririshwa vitu gani
 
Dini inayomlazimisha mtu kutii mafundisho ni Uislamu.

Kwani wewe unakaa wapi hadi usilijue hili?

Uislamu unafundisha kwamba, wasiofuata mafundisho ya Quran na hadithi za mtume ni makafiri na wanatakiwa kuuawa.
 
Afukuzwe kazi akili hana
 
Dini inayomlazimisha mtu kutii mafundisho ni Uislamu.

Kwani wewe unakaa wapi hadi usilijue hili?

Uislamu unafundisha kwamba, wasiofuata mafundisho ya Quran na hadithi za mtume ni makafiri na wanatakiwa kuuawa.
Mi silijui hilo,mbona ktk mafundisho yao hawatumi neno ni lazima Ila "Nawasihi ndugu zangu waislam" 😊

Basi kama ni lazima, Waachiwe nchi yao 🙌
 
Kabla hatujafikia yaliyojiri leo ni vema tuuone mlolongo mzima ili kupta picha kamili.

Wiki iliyopita Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Zanzibar ACP Abubakar Khamis Ally alisema Watu 12 walikamatwa na polisi Zanzibar kwa kula hadharani mchana Zanzibar

Your browser is not able to display this video.


Pia alisisitza Jeshi hilo litaendelea kuwakamata wale wote wataoonekana au kukutwa wakila chakula mchana hadharani.

Your browser is not able to display this video.


Kukawa na kelele nyingi kwamba kinachofanywa si sawa hasa kwa wakristo wasiohusika na mfungo, serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ikatoa tamko juu ya uvumilivu wa dini na kulaani vitendo vya kinyanyasaji vinavyoendelea.




Leo hii Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani, hata hivyo waliokamatwa wakila wana kesi ya kukutwa wakivuta bangi hadharani

Your browser is not able to display this video.
 
Kiukweli niseme tu, waislam wa huko zanzibar huwezi kutofautisha kati ya professor na aliyeishia la nne, wote akili zao ni level moja. Sijui wana shida gani hawa binadamu! Unaweza kudhani wanaugua utaahira, kumbe ndivyo walivyo..
 
KWA USHHIDI WA VIDEO:

Wiki iliyopita Watu 12 walikamatwa na polisi Zanzibar kwa kula hadharani mchana Zanzibar


View attachment 2951882

Leo hii waliokamatwa wakila wamepewa kesi ya kukutwa wakivuta bangi hadharani

View attachment 2951884
😅🤣🤣🤣🤣
Wataeleweka Tu Zanzibar sio ya Wakristo..
Hahaha Sasa wamegeuziwa case...

Kwamba wote wanaokula mchana watakuwa wanapewa kesi ya bangi🤣🤣😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…